Mkono wa vita ya China na US unanukia

Mkono wa vita ya China na US unanukia

Marekani imeanza mazoez ya kijeshi mpakani kwa China kwenye boda inayopitia India ,hii ni baada ya China kuanza kupeleka vifaa na zana za kijeshi mpakan mwa Taiwan.MUNGU ATUNUSURU SISI HUKU MAANA HUU MKONO UKIPIGWA DUNIA ITASIMAMA KWA MDA
CNN)The United States is to take part in a joint military exercise with India less than 100 kilometers (62 miles) from the South Asian country's disputed border with China.
The military drills will be held in mid-October at an altitude of 10,000 feet in Auli in the Indian state of Uttarakhand and will focus on high-altitude warfare training, according to a senior Indian Army officer with knowledge of the matter.
Hakuna vita hapo ni mbwembwe tu 🤣🤣.Nchi inajitegemea kwa kila kitu unasemaje ni sehemu yako.ulishindwa kuichukua zamani huko,leo hii utawezea wapi?
 
MIMI NIULIZE SWALI KWANINI MAREKANI WANAENDA KUFANYA MAZOEZI KATIKA MPAKA WA CHINA, KIPI KINAKUA KIGUMU KWA CHINA NAO KWENDA KUFANYA MAZOEZI KARIBU NA MIPAKA YA MAREKANI.

SASA VITA IKITOKEA WANANCHI WA MAREKANI SI HAWATOGUSWA? LAKINI WACHINA WATAGUSWA?
Kuna silaha zinaweza kutoka Beijing [ China] mpaka Washington DC [ U.S.A ].
 
Hakuna vita hapo ni mbwembwe tu 🤣🤣.Nchi inajitegemea kwa kila kitu unasemaje ni sehemu yako.ulishindwa kuichukua zamani huko,leo hii utawezea wapi?
Unaamini China wameshindwa kuichukua Taiwan? Unaamini Taiwan ni nchi huru?🤔
 
1.Vithibitisho gani unatumia ukisema wameshindwa? 🤔

2. Unaamini Taiwan ni nchi huru?🤔
Vithibitisho vipi unatumia wataweza?

Nchi ina jeshi lake,kiongozi wake,haiko kwenye muungano wowote na china unasemaje haiko huru?
 
Korean war 1953, Japan 1937, Soviet 1969, Indian 1962, Vietnam n.k
Mkuu mbabe wa hiyo kanda alikuwa Japan tu Japan alikuwa anaogopeka na hiyo kanda yote ya Pacific Marekani ndo alitulizaga wenge la Japan s bora ungesema Vietnam
 
Mkuu mbabe wa hiyo kanda alikuwa Japan tu Japan alikuwa anaogopeka na hiyo kanda yote ya Pacific Marekani ndo alitulizaga wenge la Japan s bora ungesema Vietnam
Kwa hiyo unataka kubisha kuwa China hakupigana na Japan kuanzia 1937?🤔
 
Dunia ya tatu eti tunashabikia vita kati ya hao mafahali wawili duh..tutaumia ndugu zangu
 
Back
Top Bottom