Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa bwasheeHuu mgogoro tutakao athirika zaidi ni sisi waafrica.
Labda USA ya ikwiririTHE END OF USA [emoji631] JINIASI NIMESEMA
Hili ni swali la msingi sana.MIMI NIULIZE SWALI KWANINI MAREKANI WANAENDA KUFANYA MAZOEZI KATIKA MPAKA WA CHINA, KIPI KINAKUA KIGUMU KWA CHINA NAO KWENDA KUFANYA MAZOEZI KARIBU NA MIPAKA YA MAREKANI.
SASA VITA IKITOKEA WANANCHI WA MAREKANI SI HAWATOGUSWA? LAKINI WACHINA WATAGUSWA?
HahaahaaahaaaLabda USA ya ikwiriri
Umbali sio ishuMIMI NIULIZE SWALI KWANINI MAREKANI WANAENDA KUFANYA MAZOEZI KATIKA MPAKA WA CHINA, KIPI KINAKUA KIGUMU KWA CHINA NAO KWENDA KUFANYA MAZOEZI KARIBU NA MIPAKA YA MAREKANI.
SASA VITA IKITOKEA WANANCHI WA MAREKANI SI HAWATOGUSWA? LAKINI WACHINA WATAGUSWA?
Hivi mnaposema China atapigika,mnatumia vigezo gani?
Si ndio hapo mkuu, nilisha wambia watu hapa kwamba China iliwahi kupigana vita na Merikani ana kwa ana na matokeo hayakuwa mazuri kwa upande wa jeshi la Amerika lilivurumishwa vikali mpaka likarudishwa nyuma - mwanzo US ilidharau jeshi la China lakini walipo pambana ana kwa ana walipata kisago cha nguvu hawakurudia tena kudharau jeshi la China - kiongozi wa jeshi la Merikani aliadhilika katika operation hiyo kwa aibu kaomba idhini ya Rais wa Merikani wa wakati huo Harry Truman ili amuruhusu kutumia mabom ya Nuclear dhidi ya China lakini Truman alimkatalia mpaka wakafikia hatua ya kufarakana, akatimuliwa kazi unceremoniously. That was almost 70 years ago, je,Hivi mnaposema China atapigika,mnatumia vigezo gani?
Hii mpya..Si ndio hapo mkuu, nilisha wambia watu hapa kwamba China iliwahi kupigana vita na Merikani ana kwa ana na matokeo hayakuwa mazuri kwa upande wa jeshi la Amerika lilivurumishwa vikali mpaka likarudishwa nyuma - mwanzo US ilidharau jeshi la China lakini walipo pambana ana kwa ana walipata kisago cha nguvu hawakurudia tena kudharau jeshi la China - kiongozi wa jeshi la Merikanibalifhalalakina
Hilo watu wala hawaliwekei maanani kwamba Wachina wana mpaka missiles ambazo Merikani hawana kinga dhidi ya missiles hizo hatari, zina uwezo wa kushambulia karibu miji yote muhimu nchini Merikani.Kuna silaha zinaweza kutoka Beijing [ China] mpaka Washington DC [ U.S.A ].
Kwasababu China imejipanga zaidi katika kudifensi. Sio kwenda kuanzisha vitaHili ni swali la msingi sana.
Lakini watu wengi watajibu bila kutafakari.
Watajibu kwa ushabiki tu.
Hata Mimi nashangaa bwashee
Russia Kuna namna ya kudeal Naye, mbwa kichaa huwezi kumchapa hivihivi, lazima umlie timing kwanzaKama kawaida wababe kuonea wakimya.
Marekani ameshapoteza heshima yake tayari, angeheshimika tena kama angethubutu kwenda kucheza ngoma zake karibu na maeneo ya wanaume. au ngoja niseme Russia.
Binafsi naamini hakuna vita ni kupigiana mikwara tu.
Bwashee una pointRussia Kuna namna ya kudeal Naye, mbwa kichaa huwezi kumchapa hivihivi, lazima umlie timing kwanza
Nyie jamaa kwa maneno ya kanga na mikwara ndio pake, hivyo sikushangai mkuu.Russia Kuna namna ya kudeal Naye, mbwa kichaa huwezi kumchapa hivihivi, lazima umlie timing kwanza
Jamaa kapiga mle mle.Bwashee una point
Hiyo misimamo yake itadhihirika vyema baada ya hii anayoiita special epereshen, ngoja tuone atamaliza akiwa na Hali ganiNyie jamaa kwa maneno ya kanga na mikwara ndio pake, hivyo sikushangai mkuu.
Russia ni taifa lenye misimamo na will isiyoelezeka, na USA wanajua madhara ya taifa kama hilo.