Mkono wa vita ya China na US unanukia

Hakuna vita hapo ni mbwembwe tu 🤣🤣.Nchi inajitegemea kwa kila kitu unasemaje ni sehemu yako.ulishindwa kuichukua zamani huko,leo hii utawezea wapi?
 
Kuna silaha zinaweza kutoka Beijing [ China] mpaka Washington DC [ U.S.A ].
 
Hakuna vita hapo ni mbwembwe tu 🤣🤣.Nchi inajitegemea kwa kila kitu unasemaje ni sehemu yako.ulishindwa kuichukua zamani huko,leo hii utawezea wapi?
Unaamini China wameshindwa kuichukua Taiwan? Unaamini Taiwan ni nchi huru?🤔
 
1.Vithibitisho gani unatumia ukisema wameshindwa? 🤔

2. Unaamini Taiwan ni nchi huru?🤔
Vithibitisho vipi unatumia wataweza?

Nchi ina jeshi lake,kiongozi wake,haiko kwenye muungano wowote na china unasemaje haiko huru?
 
Korean war 1953, Japan 1937, Soviet 1969, Indian 1962, Vietnam n.k
Mkuu mbabe wa hiyo kanda alikuwa Japan tu Japan alikuwa anaogopeka na hiyo kanda yote ya Pacific Marekani ndo alitulizaga wenge la Japan s bora ungesema Vietnam
 
Kwa hiyo unataka kubisha kuwa China hakupigana na Japan kuanzia 1937?🤔
 
Dunia ya tatu eti tunashabikia vita kati ya hao mafahali wawili duh..tutaumia ndugu zangu
 
Hakuna vita hapo ni mbwembwe tu 🤣🤣.Nchi inajitegemea kwa kila kitu unasemaje ni sehemu yako.ulishindwa kuichukua zamani huko,leo hii utawezea wapi?
Kabisa mkuu
 
Mkuu mbabe wa hiyo kanda alikuwa Japan tu Japan alikuwa anaogopeka na hiyo kanda yote ya Pacific Marekani ndo alitulizaga wenge la Japan s bora ungesema Vietnam
Umenena mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…