fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,911
Hilo hawalijui wako kishabiki zaidi.Hilo watu wala hawaliwekei maanani kwamba Wachina wana mpaka missiles ambazo Merikani hawana kinga dhidi ya missiles hizo hatari, zina uwezo wa kushambulia karibu miji yote muhimu nchini Merikani.
Wewe ni nani uzuie ushabiki maandazi?Wewe China umeipima kwa kutumia kigezo kipi mpaka useme atabondwa?
Acheni ushabiki maandazi
Hivi China huea anatoa jeshi lake kweli kuungana na majeshi mengine UN?Mchina haijui Vita Hana historia na Vita amejanjaruka juz tu tofauti na Russia na marekani wao n watu wa Vita enzi na enzi
Uyakuwa jini weweTHE END OF USA [emoji631] JINIASI NIMESEMA
Wewe unapokataa unatumia kigezo gani?Hivi mnaposema China atapigika,mnatumia vigezo gani?
Anawadhoofisha wapinzani wake wote kwa pamoja...divaidi endi rulUS wamefanikiwa kuanzisha vita Ulaya,sasa wamehamia Asia kuanzisha vita nyingine. Kweli Lucifer yupo kazini.
We falla Putin anajua upinde?Vya pombe [emoji38]
Yaani mtu hata upinde hajui kuutumia halafu strategy za vita zote anazijua
US ana allies.Hivi mnaposema China atapigika,mnatumia vigezo gani?
Fala mama yakoWe falla Putin anajua upinde?
NdioUnaamini China wameshindwa kuichukua Taiwan? Unaamini Taiwan ni nchi huru?[emoji848]
Acha kamba zako wewe kadanganye wajinga wenzako huko kwenye vijiwe vya kahawa. Mchina katawaliwa wee na mjapani alifanya nini. Mchina hajui vita bwana.Si ndio hapo mkuu, nilisha wambia watu hapa kwamba China iliwahi kupigana vita na Merikani ana kwa ana na matokeo hayakuwa mazuri kwa upande wa jeshi la Amerika lilivurumishwa vikali mpaka likarudishwa nyuma - mwanzo US ilidharau jeshi la China lakini walipo pambana ana kwa ana walipata kisago cha nguvu hawakurudia tena kudharau jeshi la China - kiongozi wa jeshi la Merikani aliadhilika katika operation hiyo kwa aibu kaomba idhini ya Rais wa Merikani wa wakati huo Harry Truman ili amuruhusu kutumia mabom ya Nuclear dhidi ya China lakini Truman alimkatalia mpaka wakafikia hatua ya kufarakana, akatimuliwa kazi unceremoniously. That was almost 70 years ago, je,
hivi sasa jeshi la China limekwisha piga hatua gani in terms of science na teknolojia kwenye medani za uundaji wa silaha za kisasa kabisa na space exploration - Wachina si wanadamu wa kuchukulia poa hata kidogo.
Wanatoa.Hivi China huea anatoa jeshi lake kweli kuungana na majeshi mengine UN?
Naona ni wabinafsi sana hao nguchiro
vijana mnafurahisha nyie yaani china awe na silaha za kupiga Newyork afu Us asiwe na silaha za masafa marefu ya kupiga us to beijing [emoji1787][emoji1787][emoji1787] burudan kama hizi utakutana nazo kweny vijiwe vya gahawa tuHilo watu wala hawaliwekei maanani kwamba Wachina wana mpaka missiles ambazo Merikani hawana kinga dhidi ya missiles hizo hatari, zina uwezo wa kushambulia karibu miji yote muhimu nchini Merikani.
kwa hiyo china ni wanawake mzee mbona mnajitoa ufahamu namna hii mwanzo mlisema mtalipua ndege ya kibibi bibi katimba taiwan na speech katoa kisha uyo macho madogo mme baki kubung'aa tu uko ukraine mnachezeshwa shere tu mmerud miji ya mipakan uko si ndo dalil za kushindwa hizo ukraineKama kawaida wababe kuonea wakimya.
Marekani ameshapoteza heshima yake tayari, angeheshimika tena kama angethubutu kwenda kucheza ngoma zake karibu na maeneo ya wanaume. au ngoja niseme Russia.
Binafsi naamini hakuna vita ni kupigiana mikwara tu.