Tajiri mpole JF-Expert Member Joined Apr 15, 2018 Posts 2,890 Reaction score 5,632 Mar 4, 2023 #81 Kama vipi Bank inunue tu hiyo Nyumba wampe hiyo 250 apanue biashara yake.
C cj21125 JF-Expert Member Joined May 12, 2013 Posts 3,358 Reaction score 3,107 Mar 4, 2023 #82 Tajiri mpole said: Kama vipi Bank inunue tu hiyo Nyumba wampe hiyo 250 apanue biashara yake. Click to expand... Wanainunua kwa hati ipi wakati ulishaambiwa imepotea
Tajiri mpole said: Kama vipi Bank inunue tu hiyo Nyumba wampe hiyo 250 apanue biashara yake. Click to expand... Wanainunua kwa hati ipi wakati ulishaambiwa imepotea
B bitimkongwe JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 7,794 Reaction score 7,551 Mar 4, 2023 #83 DullyJr said: Dah, pesa inasakwa kwa kila njia,mwamba anaisakanya kinguvu[emoji23] Click to expand... ikiwa hawajajiuzia hiyo nyumba basi huo ni uzembe mkubwa kwa benki na inafaa wakomeshwe ili wawe waangalifu. Inakuwaje hati ya nyumba inapotea benki?
DullyJr said: Dah, pesa inasakwa kwa kila njia,mwamba anaisakanya kinguvu[emoji23] Click to expand... ikiwa hawajajiuzia hiyo nyumba basi huo ni uzembe mkubwa kwa benki na inafaa wakomeshwe ili wawe waangalifu. Inakuwaje hati ya nyumba inapotea benki?
Mlolongo JF-Expert Member Joined Jul 4, 2019 Posts 3,483 Reaction score 6,257 Jul 23, 2023 #84 Sijui kesi iliishaje. Dada atakua tajiri Sasa hivi
raraa reree JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 11,504 Reaction score 35,520 Jul 23, 2023 #85 TheCrocodile said: Ni uzembe kiukweli. Hivi taasisi kama hiyo tutaiamini vipi na pesa zetu? red flag kubwa sana aisee. Click to expand... Kabisa kinachofuata ni kupoteza pesa za wateja
TheCrocodile said: Ni uzembe kiukweli. Hivi taasisi kama hiyo tutaiamini vipi na pesa zetu? red flag kubwa sana aisee. Click to expand... Kabisa kinachofuata ni kupoteza pesa za wateja
both teams to score-YES JF-Expert Member Joined Nov 11, 2022 Posts 974 Reaction score 1,876 Jul 24, 2023 #86 Mrejesho vp