Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,890
- 5,632
Kama vipi Bank inunue tu hiyo Nyumba wampe hiyo 250 apanue biashara yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanainunua kwa hati ipi wakati ulishaambiwa imepoteaKama vipi Bank inunue tu hiyo Nyumba wampe hiyo 250 apanue biashara yake.
ikiwa hawajajiuzia hiyo nyumba basi huo ni uzembe mkubwa kwa benki na inafaa wakomeshwe ili wawe waangalifu.Dah, pesa inasakwa kwa kila njia,mwamba anaisakanya kinguvu[emoji23]
Kabisa kinachofuata ni kupoteza pesa za watejaNi uzembe kiukweli. Hivi taasisi kama hiyo tutaiamini vipi na pesa zetu? red flag kubwa sana aisee.