Hizi siasa zetu hizi 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂WATANI ZANGU
Mwaka 2020 nilijitokeza kuweka nia kugombea ubunge kwenye jimbo la uchaguzi la Butiama kupitia Chama cha Mapinduzi. Sikufanikiwa: niliambulia kura mbili za wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wilaya.
Wakati wa mchakato, mtani wangu mmoja aliniomba nimkopeshe Sh.50,000. Nilimwambia nikishinda asinirudishie ule mkopo. Tangu wakati huo namtafuta kumpa taarifa kuwa sikushinda. Hapatikani. Nasikia kahama nchi.
Ukoo una watu wana vituko sanaWATANI ZANGU
Mwaka 2020 nilijitokeza kuweka nia kugombea ubunge kwenye jimbo la uchaguzi la Butiama kupitia Chama cha Mapinduzi. Sikufanikiwa: niliambulia kura mbili za wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wilaya.
Wakati wa mchakato, mtani wangu mmoja aliniomba nimkopeshe Sh.50,000. Nilimwambia nikishinda asinirudishie ule mkopo. Tangu wakati huo namtafuta kumpa taarifa kuwa sikushinda. Hapatikani. Nasikia kahama nchi.
Binadamu hamna jema, Hii famiia wangekwa wanamiliki Mabenki Nchi hii (angetaka asingesindwa) pia msingekosa la kusema na kuwatukana kila kukicha.Tatizo baba yao. Penda sana sifa za kijinga kupeleka pesa na rasilimali zetu kukomboa watu na mataifa uchwara yasiyo nashukran eti akidhani ataacha legacy.
Matokeo yake Kaambulia tu jina lake kubakia kwenye vibarabara uchwara vya uchochoroni kwenye hizo nchi. Na huku kwetu katuachia mifisi na mchwa inatafuna nchi kwa fujo bila aibu.
#MboweSiyoGaidi
#MboweForever
Hao hamna kitu mzee mwenyewe alishaona hata akiwaachia mabenki hakuna watakachofanya zaidi ya ulevi tu Hadi wajukuu ni hewa tupu wanaishiaga kuvurumishiana ngumi pale msasani walinzi ndio wanawatenganisha wasipigane.Binadamu hamna jema, Hii famiia wangekwa wanamiliki Mabenki Nchi hii (angetaka asingesindwa) pia msingekosa la kusema na kuwatukana kila kukicha.
Hivi hao Mafisadi kwani wao hawana jukumu la kuona wanachofanya sio sawa mpaka wangeambiwa na Mwalimu?.
Ok basi Mwalimu yeye alicheza part yake iliyokuwa ndani ya uwezo wake, wewe ume/unafanya nini kuweka mambo sawa?.
Duh.Hao hamna kitu mzee mwenyewe alishaona hata akiwaachia mabenki hakuna watakachofanya zaidi ya ulevi tu Hadi wajukuu ni hewa tupu wanaishiaga kuvurumishiana ngumi pale msasani walinzi ndio wanawatenganisha wasipigane.
Hakuna kitu hao yaani hata baba yao alijua hamna kitu, we unadhani watawala waliofuata wameshindwa kuwapa vyeo? Yaani mtoto wa Mwinyi awe Rais wa Nyerere asiwe? Kwamba hata kama baba yao hakuwapa maisha Ina maana wao hawatamani hata mmoja awe Waziri au hata Makamu wa Rais?
Watoto wa Kawawa wapo kwenye system hao wa Nyerere wanazubaa tu hata kwenye kura za wajumbe hawakubaliki Yani infact hao ni hewa tupu hawabebeki na ndio maana tunawalisha tu na vimisaada vya hapa na pale kuhakikisha hawapati vichaa.
Tena afadhali hata huyu Madaraka kidogo ana akili kushinda hata yule RC chapombe. Hawa watu hawabebeki taia limejaribu sana kuwabeba Ila ndio wameishia na njia zao jiulize watoto wa viongozi wote wanapewaga michongo mirefu Hawa wenzetu mbona kimya? Basi hata wapige mabiashara kwa kutumia connection za jina la baba yao wangekuwa hata na biashara ubia mkubwa sana pale TBL Ila wao ni kukimbilia Ulaya kusoma visivyoeleweka na kurudi kulewa tu.
Mkuu Bujibuji Simba Nyanaume , naomba umtendee haki Madaraka, usimuaibishe ikaeonekana sasa na yeye akili zake zimeanza kuwa kama za kaka yake Andrew!. Kama kaka yao mkubwa Magige ni issue excuse ikawa ni alikuwa jeshini kikosi cha mizinga na alipigana Vita vya Kagera, hivyo zile kelele za mizinga ndio sababu. Mako, tulikuwa tunakesha nae night clubs hadi majongoo, ni kukata maji na naniliu. Mtoto mtulivu wa Mwalimu ni Madaraka, Anna na Pauleta, sasa kitendo cha kuileta hii humu, unamaanisha na Madaraka nae... Oh please not!.WATANI ZANGU
Mwaka 2020 nilijitokeza kuweka nia kugombea ubunge kwenye jimbo la uchaguzi la Butiama kupitia Chama cha Mapinduzi. Sikufanikiwa: niliambulia kura mbili za wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wilaya.
Wakati wa mchakato, mtani wangu mmoja aliniomba nimkopeshe Sh.50,000. Nilimwambia nikishinda asinirudishie ule mkopo. Tangu wakati huo namtafuta kumpa taarifa kuwa sikushinda. Hapatikani. Nasikia kahama nchi.
Walipe hela ya watu mzee. Hao watu wameendekeza kubebwabebwa tu.Mkuu Bujibuji Simba Nyanaume , naomba umtendee haki Madaraka, usimuaibishe ikaeonekana sasa na yeye akili zake zimeanza kuwa kama za kaka yake Andrew!. Kama yao mkubwa Magige ni issue excuse ikawa ni alikuwa jeshini kikosi cha mizinga na alipigana Vita vya Kagera, hivyo zile kelele za mizinga ndio sababu. Mako, tulikuwa tunakesha nae night clubs hadi majongoo, ni kukata maji na naniliu. Mtoto mtulivu wa Mwalimu ni Madaraka, Anna na Pauleta, sasa kitendo cha kuileta hii humu, unamaanisha na Madaraka nae... Oh please not!.
P
Tuliokua na kumfahamu vyema Mwalimu, angekuita malaya!Tatizo baba yao. Penda sana sifa za kijinga kupeleka pesa na rasilimali zetu kukomboa watu na mataifa uchwara yasiyo nashukran eti akidhani ataacha legacy.
Matokeo yake Kaambulia tu jina lake kubakia kwenye vibarabara uchwara vya uchochoroni kwenye hizo nchi. Na huku kwetu katuachia mifisi na mchwa inatafuna nchi kwa fujo bila aibu.
#MboweSiyoGaidi
#MboweForever
Yes siku zote, dawa ya deni ni kulipa, kwa vile Madaraka Nyerere ni mtoto wa Mwalimu Nyerere, na Mwalimu alichukia rushwa, hivyo it is expected Madaraka hawezi kutoa rushwa yoyote.Walipe hela ya watu mzee. Hao watu wameendekeza kubebwabebwa tu.
Anataka style ya Nyerere usawa huu aisee? Wao wameishi vizuri bana hatufanani nao hata kama ni watoto wa mchonga Ila huwezi kumfananisha na akina sisi aisee.Yes siku zote, dawa ya deni ni kulipa, kwa vile Madaraka Nyerere ni mtoto wa Mwalimu Nyerere, na Mwalimu alichukia rushwa, hivyo it is expected Madaraka hawezi kutoa rushwa yoyote.
Kilichotokea ambacho Madaraka hakukisema, ni baada ya kujaza fomu kuomba ubunge, mmoja wa wajumbe akamfuata na kumweleza ukweli wa mambo kuwa bila kunyoosha mkono, kutoa kidogo dogo, huwezi kupita, hivyo Madaraka akauliza kama kiasi gani kwa mjumbe, jamaa akamjibu 50,000. Madaraka akakubali na kumpa 50,000 ili ateuliwe, ila akamwambia, usipoteuliwa nitakurudishia.
Kitu ambacho Madaraka hakujua, ni hiyo 50,000 ni kwa kila mjumbe!. Yeye katoa kwa mtu mmoja tuu!. Matokeo yake ni moja ya zile kura mbili ndio 50,000 yake!. Hiki ni kiendacho kwa mganga!.
Madaraka hakutakiwa hata kulisemea hili!.
Jimbo la Kawe kuna watu wametoa hadi 500,000 kwa kila mjumbe!. Wajumbe wako 400!.
Kuna mtu namfahamu, katoa TZS 10,000,000 kila kata, Kawe ina kata 10, kaambulia kura 1!. Alipouliza vipi, akaambia wewe unatoa kwenye kata, wenzio wanawawekea watu mifukoni!.
Yaani Madaraka ni mtu wa kuilizia hiyo 50,000 wakati ndio kiwango cha short time mitaa fulani!.
P
Binadamu hamna jema, Hii famiia wangekwa wanamiliki Mabenki Nchi hii (angetaka asingesindwa) pia msingekosa la kusema na kuwatukana kila kukicha.
Hivi hao Mafisadi kwani wao hawana jukumu la kuona wanachofanya sio sawa mpaka wangeambiwa na Mwalimu?.
Ok basi Mwalimu yeye alicheza part yake iliyokuwa ndani ya uwezo wake, wewe ume/unafanya nini kuweka mambo sawa?.
Yes siku zote, dawa ya deni ni kulipa, kwa vile Madaraka Nyerere ni mtoto wa Mwalimu Nyerere, na Mwalimu alichukia rushwa, hivyo it is expected Madaraka hawezi kutoa rushwa yoyote.
Kilichotokea ambacho Madaraka hakukisema, ni baada ya kujaza fomu kuomba ubunge, mmoja wa wajumbe akamfuata na kumweleza ukweli wa mambo kuwa bila kunyoosha mkono, kutoa kidogo dogo, huwezi kupita, hivyo Madaraka akauliza kama kiasi gani kwa mjumbe, jamaa akamjibu 50,000. Madaraka akakubali na kumpa 50,000 ili ateuliwe, ila akamwambia, usipoteuliwa nitakurudishia.
Kitu ambacho Madaraka hakujua, ni hiyo 50,000 ni kwa kila mjumbe!. Yeye katoa kwa mtu mmoja tuu!. Matokeo yake ni moja ya zile kura mbili ndio 50,000 yake!. Hiki ni kiendacho kwa mganga!.
Madaraka hakutakiwa hata kulisemea hili!.
Jimbo la Kawe kuna watu wametoa hadi 500,000 kwa kila mjumbe!. Wajumbe wako 400!.
Kuna mtu namfahamu, katoa TZS 10,000,000 kila kata, Kawe ina kata 10, kaambulia kura 1!. Alipouliza vipi, akaambia wewe unatoa kwenye kata, wenzio wanawawekea watu mifukoni!.
Yaani Madaraka ni mtu wa kuilizia hiyo 50,000 wakati ndio kiwango cha short time mitaa fulani!.
P
Sajini alimwaga pesa akuchukua jimbo kuwa ubunge. Leo ni naibu waziri wa mambo ya ndani. Nani atakemea rushwa huko jeshi la polisi?WATANI ZANGU
Mwaka 2020 nilijitokeza kuweka nia kugombea ubunge kwenye jimbo la uchaguzi la Butiama kupitia Chama cha Mapinduzi. Sikufanikiwa: niliambulia kura mbili za wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wilaya.
Wakati wa mchakato, mtani wangu mmoja aliniomba nimkopeshe Sh.50,000. Nilimwambia nikishinda asinirudishie ule mkopo. Tangu wakati huo namtafuta kumpa taarifa kuwa sikushinda. Hapatikani. Nasikia kahama nchi.
Madaraka ni Public figure, kauli yake yoyote inahamasisha kumsikiliza. Kumuona kuwa dish limeyumba, huo utakuwa ni mtizamo wa msikilizaji mwenyewe.Mkuu Bujibuji Simba Nyanaume , naomba umtendee haki Madaraka, usimuaibishe ikaeonekana sasa na yeye akili zake zimeanza kuwa kama za kaka yake Andrew!. Kama yao mkubwa Magige ni issue excuse ikawa ni alikuwa jeshini kikosi cha mizinga na alipigana Vita vya Kagera, hivyo zile kelele za mizinga ndio sababu. Mako, tulikuwa tunakesha nae night clubs hadi majongoo, ni kukata maji na naniliu. Mtoto mtulivu wa Mwalimu ni Madaraka, Anna na Pauleta, sasa kitendo cha kuileta hii humu, unamaanisha na Madaraka nae... Oh please not!.
P
Huo ukoo vichwa vimepata moto sanaMkuu Bujibuji Simba Nyanaume , naomba umtendee haki Madaraka, usimuaibishe ikaeonekana sasa na yeye akili zake zimeanza kuwa kama za kaka yake Andrew!. Kama kaka yao mkubwa Magige ni issue excuse ikawa ni alikuwa jeshini kikosi cha mizinga na alipigana Vita vya Kagera, hivyo zile kelele za mizinga ndio sababu. Mako, tulikuwa tunakesha nae night clubs hadi majongoo, ni kukata maji na naniliu. Mtoto mtulivu wa Mwalimu ni Madaraka, Anna na Pauleta, sasa kitendo cha kuileta hii humu, unamaanisha na Madaraka nae... Oh please not!.
P
Tuwaombee kwa Mungu awabariki vipoe vitulieHuo ukoo vichwa vimepata moto sana
Well saidTuwaombee kwa Mungu awabariki vipoe vitulie
P