Mkopo alioutoa Madaraka Nyerere wamuhamisha mtu nchi

Madaraka boya sana
 
Ulitaka usikie madaraka Nyerere ni waziri wa fedha au ulinzi ndio ufurahi?
Nyerere angetata iwe hivyo ingewezekana na asingekuwepo wa kuhoji.
Mu7 mwanae ni Lt. General, mkuu wa jeshi la ardhini.
Labda ingekuwa hivyo na kwa Nyerere ndo wengine wangeridhika.
 
Teh teh teh teh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ haya maneno yamenifurahisha sana haaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚....maana huyo mtu ninamfahamu.....

Ila siasa ni biashara inayolipa vizuri ila inahitaji uwekezaji mkubwa sana, mpaka mtu atoe 500,000 kwa watu 400?....

Ila najiulize huyo aliteoa million 100 hakuona hata uelekeo wa upepo kabla ya kuchezea pesa yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…