matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Nyie mnafunga au mnabadikisha ratiba ya kula toka kula mchana na mnashinda kula usiku?ππππππ π€£πWenzenu wapi hao?!!
Funga sio Kwa wakristo tu hata waislam Tena ukifunga unakubaliwa mapema Sana maombi Yako...
Kwenye waganga Sasa hv hakuna dini kaka yangu,dini zote wengi washirkina sijui nisemeje mkoa niliopo Kwa Sasa una wakristo wengi Jamani,sijawahi ona watu wachawi km Hawa balaaaa....siku hizi Tena uchawi wameumodenaizi hawavai mahirizi mabegi ,wanavaa bangili za shaba au chuma mikononi Kuna mmoja huyo la kwake Limechingwa halafu limewekewa nyoka huyo haibiwi,havamiwiht awe na 100mls
Cha muhimu sisi wanadamu tuambizane kumrudia Mungu Kwa Imani zetu kidhati Kabisa,shirki ,uchawi,uganga ni dhambi kubwa na Mungu ukimshirkisha anachukia sanaa km sisi tunaambiwa kabisa mtu yoyote anayeenda Kwa mganga kupiga ramli Ibada zake hazikubaliki siku 40, na kama akienda akakubali alivoambiwana mganga baasi huyo ametoka kwenye dini Moja Kwa Moja Mpk atubu Kwa Mola wake
Hvyo hapa duniani Kuna watu wengi sana hawana dini ila hawajijui
Sorry maelezo Mengi ila nilikua nasisitiza umuhimu Wa ibada zote
Waislamu tumeambiwa 'fungeni mtapata afya'
Bado tukaambiwa,tumeteremshiwa funga km waliokua kabla yetu Ili tupate kua Wacha Mungu...
Funga ni muhimu Sanaa Tena sana na inajenga Imani
Tufundishe nyie mnofunga mnafunga vipi?Nyie mnafunga au mnabadikisha ratiba ya kula toka kula mchana na mnashinda kula usiku?[emoji3][emoji2][emoji1][emoji16][emoji38][emoji28][emoji1787][emoji23]
We bado mtoto sana unayeipima utajiri kwenye angle ya makaratasi(Tsh). Akina Mansa Mussa, Suleiman and cos tunaoambiwa ndio matajiri hawakuwa na hizo karatasi. Pia term utajiri kila mtu ana angle yake ta kulitafsiri. Pole yako.kwa hiyo utajiri unapatikana kwa kufunga na kusali!?
bhasi kama hivyo walokole wangekuwa millionaire in Tsh
Hahaaaaa, nyie hamfungi ila mnabadikisha ratiba na kula kwa wingi usiku. Yaani usiku kucha ni kwacha kwacha kwacha. Mavyakula chungu nzima, mara magimba, mihogo, ugali, kachumbali, karanga za kuchemsha, karanga mbichi, tambi mara mayai ya kuchemsha. Mchana ni kunuka midomo na kutujambia tu.Tufundishe nyie mnofunga mnafunga vipi?
Heshimu mizimu weweNimekuwa kqnisani nikajifunza jambo la ajabu.
Wafanyabiashara na waajiriwa wakubwa ndio wasiopenda maombi na kufunga. Wengi hata wakati wa mambo siriasi ya kiroho hawana muamko nayo.
Huko kwenye biashara na ofisini hawa jamaa wanatoboa vipi? Maana kwa uzoefu wangu hata ukifungua kigenge chenye mtaji wa 10K TSh utashambuliwa kama ni billionea. Inabidi huwe ngangari ndio utoboe.
Wale wenzetu hutumia uganga, nyie huo ujasiri wa kuwa wakavu kiroho alafu mnatafuta mali bila maombi na kufunga mnatoboaje huko?
kwanini unachanganya utajiri na mafanikio!?We bado mtoto sana unayeipima utajiri kwenye angle ya makaratasi(Tsh). Akina Mansa Mussa, Suleiman and cos tunaoambiwa ndio matajiri hawakuwa na hizo karatasi. Pia term utajiri kila mtu ana angle yake ta kulitafsiri. Pole yako.
SIO YEYE WENGI TU HUWA WANACHANGANYA HAYA MANENO MAWILIkwanini unachanganya utajiri na mafanikio!?
Look here matunduizi Watu wa aina hii usiwachukulie poa ukiona pamoja na kutoomba mambo yao yanabamba! Katika familia kuna kitu kinaitwa matambiko! Kutambikia mizimu kwa kutoa sadaka za vyakula, vinywaji, maneno, hela, nadhiri, n.k vina nguvu sana kulinda hiyo familia au ukoo! Wanapotoa sadaka za aina hiyo utaja majina ya wahusika wa hayo matambiko na hayo mashetani (mizimu) uwafuatilia popote walipo! Sasa hapa hutegemea na nguvu za hiyo mizimu! Ikikutana na upinzani wa mashetani makubwa basi hali ya huyo mtu inakuwa mbaya! Hasara za haya matambiko lazima yakuwekee mazingira hasi kwa afya, mahusiano, n.k. kwa mfano kutakuwepo magonjwa ya kurithi! Aina fulani ya vifo, kutokosekana kilema au kichaa au zezeta katika familia/ukoo! Kutokuoa au kuolewa! Kutozaa mtoto wa kiume! Mafanikio yanakuwa na ukomo wa kiwango fulani na huwezi kuzidi! Kwa ufupi kuna hali unafikia ukijiuliza unaona kama kuna mtu/kitu kinamonitor maisha yako! Njia nzuri na nyepesi yenye amani ni kuokoka! Gharama yake ni kupata njia sahihi kwasababu shetani kaanzisha imani zinazoonekana za kilokole kumbe ni shetani!Nimekuwa kqnisani nikajifunza jambo la ajabu.
Wafanyabiashara na waajiriwa wakubwa ndio wasiopenda maombi na kufunga. Wengi hata wakati wa mambo siriasi ya kiroho hawana muamko nayo.
Huko kwenye biashara na ofisini hawa jamaa wanatoboa vipi? Maana kwa uzoefu wangu hata ukifungua kigenge chenye mtaji wa 10K TSh utashambuliwa kama ni billionea. Inabidi huwe ngangari ndio utoboe.
Wale wenzetu hutumia uganga, nyie huo ujasiri wa kuwa wakavu kiroho alafu mnatafuta mali bila maombi na kufunga mnatoboaje huko?
Kuna mmomlnyoko wa dhati wa imani.Wenzenu wapi hao?!!
Funga sio Kwa wakristo tu hata waislam Tena ukifunga unakubaliwa mapema Sana maombi Yako...
Kwenye waganga Sasa hv hakuna dini kaka yangu,dini zote wengi washirkina sijui nisemeje mkoa niliopo Kwa Sasa una wakristo wengi Jamani,sijawahi ona watu wachawi km Hawa balaaaa....siku hizi Tena uchawi wameumodenaizi hawavai mahirizi mabegi ,wanavaa bangili za shaba au chuma mikononi Kuna mmoja huyo la kwake Limechingwa halafu limewekewa nyoka huyo haibiwi,havamiwiht awe na 100mls
Cha muhimu sisi wanadamu tuambizane kumrudia Mungu Kwa Imani zetu kidhati Kabisa,shirki ,uchawi,uganga ni dhambi kubwa na Mungu ukimshirkisha anachukia sanaa km sisi tunaambiwa kabisa mtu yoyote anayeenda Kwa mganga kupiga ramli Ibada zake hazikubaliki siku 40, na kama akienda akakubali alivoambiwana mganga baasi huyo ametoka kwenye dini Moja Kwa Moja Mpk atubu Kwa Mola wake
Hvyo hapa duniani Kuna watu wengi sana hawana dini ila hawajijui
Sorry maelezo Mengi ila nilikua nasisitiza umuhimu Wa ibada zote
Waislamu tumeambiwa 'fungeni mtapata afya'
Bado tukaambiwa,tumeteremshiwa funga km waliokua kabla yetu Ili tupate kua Wacha Mungu...
Funga ni muhimu Sanaa Tena sana na inajenga Imani
Afadhali hilo kulikp kibugia misosi 24/7.Nyie mnafunga au mnabadikisha ratiba ya kula toka kula mchana na mnashinda kula usiku?ππππππ π€£π
Chumvi, sala maombi na kujitenga na uchafu wa kingono na shirki za kiroho na kimwiliNimekuwa kqnisani nikajifunza jambo la ajabu.
Wafanyabiashara na waajiriwa wakubwa ndio wasiopenda maombi na kufunga. Wengi hata wakati wa mambo siriasi ya kiroho hawana muamko nayo.
Huko kwenye biashara na ofisini hawa jamaa wanatoboa vipi? Maana kwa uzoefu wangu hata ukifungua kigenge chenye mtaji wa 10K TSh utashambuliwa kama ni billionea. Inabidi huwe ngangari ndio utoboe.
Wale wenzetu hutumia uganga, nyie huo ujasiri wa kuwa wakavu kiroho alafu mnatafuta mali bila maombi na kufunga mnatoboaje huko?
Baada ya milakati ya kibiashara kuna adui. Shetani hataki watu wa Mungu wafanikiwe maana wakitoboa yeye anaathirika. Sasa ataelekeza mashambulizi makali kwao.kwa hiyo utajiri unapatikana kwa kufunga na kusali!?