Mkristo ambaye hufungi na kuomba unatumia mbinu gani kujilinda na wachawi kwenye Biashara na maofisini?

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Nimekuwa kqnisani nikajifunza jambo la ajabu.

Wafanyabiashara na waajiriwa wakubwa ndio wasiopenda maombi na kufunga. Wengi hata wakati wa mambo siriasi ya kiroho hawana muamko nayo.

Huko kwenye biashara na ofisini hawa jamaa wanatoboa vipi? Maana kwa uzoefu wangu hata ukifungua kigenge chenye mtaji wa 10K TSh utashambuliwa kama ni billionea. Inabidi huwe ngangari ndio utoboe.

Wale wenzetu hutumia uganga, nyie huo ujasiri wa kuwa wakavu kiroho alafu mnatafuta mali bila maombi na kufunga mnatoboaje huko?
 
Wenzenu wapi hao?!!
Funga sio Kwa wakristo tu hata waislam Tena ukifunga unakubaliwa mapema Sana maombi Yako...
Kwenye waganga Sasa hv hakuna dini kaka yangu,dini zote wengi washirkina sijui nisemeje mkoa niliopo Kwa Sasa una wakristo wengi Jamani,sijawahi ona watu wachawi km Hawa balaaaa....siku hizi Tena uchawi wameumodenaizi hawavai mahirizi mabegi ,wanavaa bangili za shaba au chuma mikononi Kuna mmoja huyo la kwake Limechingwa halafu limewekewa nyoka huyo haibiwi,havamiwiht awe na 100mls
Cha muhimu sisi wanadamu tuambizane kumrudia Mungu Kwa Imani zetu kidhati Kabisa,shirki ,uchawi,uganga ni dhambi kubwa na Mungu ukimshirkisha anachukia sanaa km sisi tunaambiwa kabisa mtu yoyote anayeenda Kwa mganga kupiga ramli Ibada zake hazikubaliki siku 40, na kama akienda akakubali alivoambiwana mganga baasi huyo ametoka kwenye dini Moja Kwa Moja Mpk atubu Kwa Mola wake
Hvyo hapa duniani Kuna watu wengi sana hawana dini ila hawajijui
Sorry maelezo Mengi ila nilikua nasisitiza umuhimu Wa ibada zote
Waislamu tumeambiwa 'fungeni mtapata afya'
Bado tukaambiwa,tumeteremshiwa funga km waliokua kabla yetu Ili tupate kua Wacha Mungu...
Funga ni muhimu Sanaa Tena sana na inajenga Imani
 
Nyie mnafunga au mnabadikisha ratiba ya kula toka kula mchana na mnashinda kula usiku?😀😃😄😁😆😅🤣😂
 
kwa hiyo utajiri unapatikana kwa kufunga na kusali!?
bhasi kama hivyo walokole wangekuwa millionaire in Tsh
We bado mtoto sana unayeipima utajiri kwenye angle ya makaratasi(Tsh). Akina Mansa Mussa, Suleiman and cos tunaoambiwa ndio matajiri hawakuwa na hizo karatasi. Pia term utajiri kila mtu ana angle yake ta kulitafsiri. Pole yako.
 
Mungu ni mwaminifu sana katika kulinda vitu kupiia sadaka..Shida ni kwamba watu hwafati shemu sahihi ya kutoa sadaka. Mambo yote ya ulinzi wa kiroho mguu wakuingilia ni sadaka sadaka sadaka .halafu wengine wanaamini sadaka ni pesa tu hapana
 
Tufundishe nyie mnofunga mnafunga vipi?
Hahaaaaa, nyie hamfungi ila mnabadikisha ratiba na kula kwa wingi usiku. Yaani usiku kucha ni kwacha kwacha kwacha. Mavyakula chungu nzima, mara magimba, mihogo, ugali, kachumbali, karanga za kuchemsha, karanga mbichi, tambi mara mayai ya kuchemsha. Mchana ni kunuka midomo na kutujambia tu.

Jamaa huwa mnaogopa sana njaa. Rti kabla jua kuchomoza ndio mnashindilia hayo madaku. Aiseeeeeee
 
Muda wa faragha ya mtu na Mungu wake ni siri
Halafu kufunga si lazima.
Tafuta origin bible verse ya lile neno kwa kuomba na kufunga utaona lile neno kufunga limewekewa mabano .
Mabano maana yake ni neno lililoongezwa na mwandishi mwingine baadaye.
Suala la kuomba nakuunga mkono, bila maombi ni sawa na mtu mfu ila hayo maombi lazima yawe ya rohoni (kunena kwa lugha).
Shetani ametumia neno lile lililoongezwa na wahuni kuwaondolea ujasiri wana wa Mungu. Imefika wakati mwana wa Mungu kama hajafunga anashindwa hata kutoa pepo, akiaambiwa kesho tukamwombee mgonjwa au tukapige maombi ya vita mahali basi atakimbilia kufunga.
Screenshot_20231017-074700.jpg
 
Nimekuwa kqnisani nikajifunza jambo la ajabu.

Wafanyabiashara na waajiriwa wakubwa ndio wasiopenda maombi na kufunga. Wengi hata wakati wa mambo siriasi ya kiroho hawana muamko nayo.

Huko kwenye biashara na ofisini hawa jamaa wanatoboa vipi? Maana kwa uzoefu wangu hata ukifungua kigenge chenye mtaji wa 10K TSh utashambuliwa kama ni billionea. Inabidi huwe ngangari ndio utoboe.

Wale wenzetu hutumia uganga, nyie huo ujasiri wa kuwa wakavu kiroho alafu mnatafuta mali bila maombi na kufunga mnatoboaje huko?
Heshimu mizimu wewe
 
We bado mtoto sana unayeipima utajiri kwenye angle ya makaratasi(Tsh). Akina Mansa Mussa, Suleiman and cos tunaoambiwa ndio matajiri hawakuwa na hizo karatasi. Pia term utajiri kila mtu ana angle yake ta kulitafsiri. Pole yako.
kwanini unachanganya utajiri na mafanikio!?
 
Unakuta mfanyabiashara anajifanya mchamungu halafu pesa anaweka kwenye kindoo hivi..wakati dukani ana kabati zenye droo za kutosha...unakuta kindoo kiko Kona hivi ndo anaenda tumbukiza hela ukimpa...
 
Nimekuwa kqnisani nikajifunza jambo la ajabu.

Wafanyabiashara na waajiriwa wakubwa ndio wasiopenda maombi na kufunga. Wengi hata wakati wa mambo siriasi ya kiroho hawana muamko nayo.

Huko kwenye biashara na ofisini hawa jamaa wanatoboa vipi? Maana kwa uzoefu wangu hata ukifungua kigenge chenye mtaji wa 10K TSh utashambuliwa kama ni billionea. Inabidi huwe ngangari ndio utoboe.

Wale wenzetu hutumia uganga, nyie huo ujasiri wa kuwa wakavu kiroho alafu mnatafuta mali bila maombi na kufunga mnatoboaje huko?
Look here matunduizi Watu wa aina hii usiwachukulie poa ukiona pamoja na kutoomba mambo yao yanabamba! Katika familia kuna kitu kinaitwa matambiko! Kutambikia mizimu kwa kutoa sadaka za vyakula, vinywaji, maneno, hela, nadhiri, n.k vina nguvu sana kulinda hiyo familia au ukoo! Wanapotoa sadaka za aina hiyo utaja majina ya wahusika wa hayo matambiko na hayo mashetani (mizimu) uwafuatilia popote walipo! Sasa hapa hutegemea na nguvu za hiyo mizimu! Ikikutana na upinzani wa mashetani makubwa basi hali ya huyo mtu inakuwa mbaya! Hasara za haya matambiko lazima yakuwekee mazingira hasi kwa afya, mahusiano, n.k. kwa mfano kutakuwepo magonjwa ya kurithi! Aina fulani ya vifo, kutokosekana kilema au kichaa au zezeta katika familia/ukoo! Kutokuoa au kuolewa! Kutozaa mtoto wa kiume! Mafanikio yanakuwa na ukomo wa kiwango fulani na huwezi kuzidi! Kwa ufupi kuna hali unafikia ukijiuliza unaona kama kuna mtu/kitu kinamonitor maisha yako! Njia nzuri na nyepesi yenye amani ni kuokoka! Gharama yake ni kupata njia sahihi kwasababu shetani kaanzisha imani zinazoonekana za kilokole kumbe ni shetani!
 
Wenzenu wapi hao?!!
Funga sio Kwa wakristo tu hata waislam Tena ukifunga unakubaliwa mapema Sana maombi Yako...
Kwenye waganga Sasa hv hakuna dini kaka yangu,dini zote wengi washirkina sijui nisemeje mkoa niliopo Kwa Sasa una wakristo wengi Jamani,sijawahi ona watu wachawi km Hawa balaaaa....siku hizi Tena uchawi wameumodenaizi hawavai mahirizi mabegi ,wanavaa bangili za shaba au chuma mikononi Kuna mmoja huyo la kwake Limechingwa halafu limewekewa nyoka huyo haibiwi,havamiwiht awe na 100mls
Cha muhimu sisi wanadamu tuambizane kumrudia Mungu Kwa Imani zetu kidhati Kabisa,shirki ,uchawi,uganga ni dhambi kubwa na Mungu ukimshirkisha anachukia sanaa km sisi tunaambiwa kabisa mtu yoyote anayeenda Kwa mganga kupiga ramli Ibada zake hazikubaliki siku 40, na kama akienda akakubali alivoambiwana mganga baasi huyo ametoka kwenye dini Moja Kwa Moja Mpk atubu Kwa Mola wake
Hvyo hapa duniani Kuna watu wengi sana hawana dini ila hawajijui
Sorry maelezo Mengi ila nilikua nasisitiza umuhimu Wa ibada zote
Waislamu tumeambiwa 'fungeni mtapata afya'
Bado tukaambiwa,tumeteremshiwa funga km waliokua kabla yetu Ili tupate kua Wacha Mungu...
Funga ni muhimu Sanaa Tena sana na inajenga Imani
Kuna mmomlnyoko wa dhati wa imani.
Ila naamini ukijitoa kwa Mungu kwelikweli Waganga na hao wachawi hawakugusi.

Naunga mkono hoja, wapo waislam waaminifu katika imani zao kwenye biashara.
 
Nimekuwa kqnisani nikajifunza jambo la ajabu.

Wafanyabiashara na waajiriwa wakubwa ndio wasiopenda maombi na kufunga. Wengi hata wakati wa mambo siriasi ya kiroho hawana muamko nayo.

Huko kwenye biashara na ofisini hawa jamaa wanatoboa vipi? Maana kwa uzoefu wangu hata ukifungua kigenge chenye mtaji wa 10K TSh utashambuliwa kama ni billionea. Inabidi huwe ngangari ndio utoboe.

Wale wenzetu hutumia uganga, nyie huo ujasiri wa kuwa wakavu kiroho alafu mnatafuta mali bila maombi na kufunga mnatoboaje huko?
Chumvi, sala maombi na kujitenga na uchafu wa kingono na shirki za kiroho na kimwili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa hiyo utajiri unapatikana kwa kufunga na kusali!?
bhasi kama hivyo walokole wangekuwa millionaire in Tsh
Baada ya milakati ya kibiashara kuna adui. Shetani hataki watu wa Mungu wafanikiwe maana wakitoboa yeye anaathirika. Sasa ataelekeza mashambulizi makali kwao.

Kufunga na kuomba ni njia ya kuyapangua na kumgaragaza katika battlefield ofisini na ujasiliamalini.
Sasa kama ndugu zetu hawafungu, wanachukiq maombi wao wanaendeshaje biashara katikati ya wachawi na walozi.
 
Back
Top Bottom