Mkristo ambaye hufungi na kuomba unatumia mbinu gani kujilinda na wachawi kwenye Biashara na maofisini?

Hahaaaaa, pole yako mkuresh wa Dongobeshi. Ebu kunywa maji kwanza ushushe pressure. Dini gani ya kuletewa?
Mi sio zumbukuku kama wewe, wazungu hawajakuletea dini yako?
Mimi ni Muafrica, siwezi kukubali dini za kuletewa.
 
Wacha weeeee, mzungu gani aliniletea dini dogo? Yaani hapo ndio umejiona mjanjaa ukowa kwa shemeji yako.
Too bad sina dada. There is no way nikaishi kwa shemeji.
On the other hand I am far ahead of you in everything. Unachoweza kunizidi ni umasikini tu.
 
Too bad sina dada. There is no way nikaishi kwa shemeji.
On the other hand I am far ahead of you in everything. Unachoweza kunizidi ni umasikini tu.
Hahaaaa, dogo mnaanzaga hivi hivi then mkifuatwa inbox mnaanza kulia. Haya twende taratibu. Dini ipi imeletwa na wazungu.
 
Habari yako,wanasemaje kanda ya ziwa
 
Wacha weeeee. Nina mtoto wa kike anaitwa Gift ndio umri wako wewe.
Nani kakuuliza yote haya?
una jamba jamba tu. Tatizo nini?
Basi mi nina mjukuu anaitwa Zawadi ndio age mate wako. Una maneno?
 
natoa ushughuda ni mwaka tu sasa tangu nifungue bisahara yang ya chakula mkoa fulan hivi ,,,nakumbuka nililetewa habar na mwamba means mshkaj wangu kua aliskia tetesi wakat yupo bar watu wananijadili kua huyu jamaa amewezaje kuisimamia buashara yke mpka muda huu maana weng wanakuja wanakaa wiki wanafunga biashra sasa yeye amewezaje kwakweli maneno yakawa ni meng sana maana iyo sehem inasifika kwa husda ni nying na uchawi chuma ulete yan kila uchafu hupo hapo mtaani lakin ukweli naujua mm mwenyewe kiimani ni muislam nna kawaida kila alhamis lazma nifunge yani sili chochote na vilevile nafunga biashara pia siku hiyo nashinda ndani kutwa nikiwa najisomea na kuiombea ulinzi biashara yangu,,nmeachana na wanawke nmeachana na ulevi yani nafanya yote ambayo mungu anapenda ili nsijenikaharibu harakat zang ma mara nying natumia mas-hafu na baadh ya vitabu vinavyohusiana na mamb ya kiiman kama visomo vya kuondoa uchawi wa zongo na vijicho kwakweli nlikua nafanya biashara kila siku watu weng wakawa wananifata aty wanataka niwapeleke kwa mganga wangu ..basi hubaki nacheka maana nawaza nkimwambia afanye kama niyafanyayo ili atoboe nahis kua haatoweza kiukweli khasa nawambia hivi ili utoboe biashara yoyote lazima ukubali kutafuta ulinzi baina ya pande mbili either kwa mungu au kwa wachawi ukichagua kwa mungu kafara yake ni matendo mema ,,kuacha uzinz na mambo yote yanayomchukiza nakupa uhakika wa biashara yako kusimama na kuendelea lakin vile vile ukielekea upande uchawi pia kuna taratibu zke za makafara ni hayo tu aliesikia na asikie
 
Mnajiuguza vidonda vya tumbo tu kisa kufunga Mungu kama alinitengeneza mm nimwabufu ama nisimwabudu basi atanibariki tu. Majambazi na wauaji wasingekuwa wanafanikiwa misheni zao
 
Reference ya hayo maandiko umeorodhesha please.
 
Wale wenzetu hutumia uganga, nyie huo ujasiri wa kuwa wakavu kiroho alafu mnatafuta mali bila maombi na kufunga mnatoboaje huko?
Ndio maana wengine hulalamika sana, biashara ngumu na haziendi kumbe wanafanya kwa juhudi zao binafsi badala ya kumtanguliza Mungu.
 
Wanapambana na Maadui wa kweli na sio wa kufikirika....

Yaani Binadamu tungejua kwamba kitu cha kupambana nacho ni mazingira ili tuyakabili na kuishi kwa ubora zaidi tungekuwa mbali sana kama specie..., ila ndio hivyo tunashikana uchawi (potential msaidizi wako / rafiki au mteja unamuona mchawi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…