Mkristo ambaye hufungi na kuomba unatumia mbinu gani kujilinda na wachawi kwenye Biashara na maofisini?

Mkristo ambaye hufungi na kuomba unatumia mbinu gani kujilinda na wachawi kwenye Biashara na maofisini?

Hahaaaaa, pole yako mkuresh wa Dongobeshi. Ebu kunywa maji kwanza ushushe pressure. Dini gani ya kuletewa?
Mi sio zumbukuku kama wewe, wazungu hawajakuletea dini yako?
Mimi ni Muafrica, siwezi kukubali dini za kuletewa.
 
Wacha weeeee, mzungu gani aliniletea dini dogo? Yaani hapo ndio umejiona mjanjaa ukowa kwa shemeji yako.
Too bad sina dada. There is no way nikaishi kwa shemeji.
On the other hand I am far ahead of you in everything. Unachoweza kunizidi ni umasikini tu.
 
Too bad sina dada. There is no way nikaishi kwa shemeji.
On the other hand I am far ahead of you in everything. Unachoweza kunizidi ni umasikini tu.
Hahaaaa, dogo mnaanzaga hivi hivi then mkifuatwa inbox mnaanza kulia. Haya twende taratibu. Dini ipi imeletwa na wazungu.
 
Wenzenu wapi hao?!!
Funga sio Kwa wakristo tu hata waislam Tena ukifunga unakubaliwa mapema Sana maombi Yako...
Kwenye waganga Sasa hv hakuna dini kaka yangu,dini zote wengi washirkina sijui nisemeje mkoa niliopo Kwa Sasa una wakristo wengi Jamani,sijawahi ona watu wachawi km Hawa balaaaa....siku hizi Tena uchawi wameumodenaizi hawavai mahirizi mabegi ,wanavaa bangili za shaba au chuma mikononi Kuna mmoja huyo la kwake Limechingwa halafu limewekewa nyoka huyo haibiwi,havamiwiht awe na 100mls
Cha muhimu sisi wanadamu tuambizane kumrudia Mungu Kwa Imani zetu kidhati Kabisa,shirki ,uchawi,uganga ni dhambi kubwa na Mungu ukimshirkisha anachukia sanaa km sisi tunaambiwa kabisa mtu yoyote anayeenda Kwa mganga kupiga ramli Ibada zake hazikubaliki siku 40, na kama akienda akakubali alivoambiwana mganga baasi huyo ametoka kwenye dini Moja Kwa Moja Mpk atubu Kwa Mola wake
Hvyo hapa duniani Kuna watu wengi sana hawana dini ila hawajijui
Sorry maelezo Mengi ila nilikua nasisitiza umuhimu Wa ibada zote
Waislamu tumeambiwa 'fungeni mtapata afya'
Bado tukaambiwa,tumeteremshiwa funga km waliokua kabla yetu Ili tupate kua Wacha Mungu...
Funga ni muhimu Sanaa Tena sana na inajenga Imani
Habari yako,wanasemaje kanda ya ziwa
 
Wacha weeeee. Nina mtoto wa kike anaitwa Gift ndio umri wako wewe.
Nani kakuuliza yote haya?
una jamba jamba tu. Tatizo nini?
Basi mi nina mjukuu anaitwa Zawadi ndio age mate wako. Una maneno?
 
Wenzenu wapi hao?!!
Funga sio Kwa wakristo tu hata waislam Tena ukifunga unakubaliwa mapema Sana maombi Yako...
Kwenye waganga Sasa hv hakuna dini kaka yangu,dini zote wengi washirkina sijui nisemeje mkoa niliopo Kwa Sasa una wakristo wengi Jamani,sijawahi ona watu wachawi km Hawa balaaaa....siku hizi Tena uchawi wameumodenaizi hawavai mahirizi mabegi ,wanavaa bangili za shaba au chuma mikononi Kuna mmoja huyo la kwake Limechingwa halafu limewekewa nyoka huyo haibiwi,havamiwiht awe na 100mls
Cha muhimu sisi wanadamu tuambizane kumrudia Mungu Kwa Imani zetu kidhati Kabisa,shirki ,uchawi,uganga ni dhambi kubwa na Mungu ukimshirkisha anachukia sanaa km sisi tunaambiwa kabisa mtu yoyote anayeenda Kwa mganga kupiga ramli Ibada zake hazikubaliki siku 40, na kama akienda akakubali alivoambiwana mganga baasi huyo ametoka kwenye dini Moja Kwa Moja Mpk atubu Kwa Mola wake
Hvyo hapa duniani Kuna watu wengi sana hawana dini ila hawajijui
Sorry maelezo Mengi ila nilikua nasisitiza umuhimu Wa ibada zote
Waislamu tumeambiwa 'fungeni mtapata afya'
Bado tukaambiwa,tumeteremshiwa funga km waliokua kabla yetu Ili tupate kua Wacha Mungu...
Funga ni muhimu Sanaa Tena sana na inajenga Imani
natoa ushughuda ni mwaka tu sasa tangu nifungue bisahara yang ya chakula mkoa fulan hivi ,,,nakumbuka nililetewa habar na mwamba means mshkaj wangu kua aliskia tetesi wakat yupo bar watu wananijadili kua huyu jamaa amewezaje kuisimamia buashara yke mpka muda huu maana weng wanakuja wanakaa wiki wanafunga biashra sasa yeye amewezaje kwakweli maneno yakawa ni meng sana maana iyo sehem inasifika kwa husda ni nying na uchawi chuma ulete yan kila uchafu hupo hapo mtaani lakin ukweli naujua mm mwenyewe kiimani ni muislam nna kawaida kila alhamis lazma nifunge yani sili chochote na vilevile nafunga biashara pia siku hiyo nashinda ndani kutwa nikiwa najisomea na kuiombea ulinzi biashara yangu,,nmeachana na wanawke nmeachana na ulevi yani nafanya yote ambayo mungu anapenda ili nsijenikaharibu harakat zang ma mara nying natumia mas-hafu na baadh ya vitabu vinavyohusiana na mamb ya kiiman kama visomo vya kuondoa uchawi wa zongo na vijicho kwakweli nlikua nafanya biashara kila siku watu weng wakawa wananifata aty wanataka niwapeleke kwa mganga wangu ..basi hubaki nacheka maana nawaza nkimwambia afanye kama niyafanyayo ili atoboe nahis kua haatoweza kiukweli khasa nawambia hivi ili utoboe biashara yoyote lazima ukubali kutafuta ulinzi baina ya pande mbili either kwa mungu au kwa wachawi ukichagua kwa mungu kafara yake ni matendo mema ,,kuacha uzinz na mambo yote yanayomchukiza nakupa uhakika wa biashara yako kusimama na kuendelea lakin vile vile ukielekea upande uchawi pia kuna taratibu zke za makafara ni hayo tu aliesikia na asikie
 
Mnajiuguza vidonda vya tumbo tu kisa kufunga Mungu kama alinitengeneza mm nimwabufu ama nisimwabudu basi atanibariki tu. Majambazi na wauaji wasingekuwa wanafanikiwa misheni zao
 
Pia kuna kanuni, universal laws Mungu kaziweka ambazo yeyote akikomaa hata kama hana Mungu anatoboa.

Wengi tumekuwa pia wavivu tukisubiri Mungu na maombi yafanye kile ambacho tayari Maandiko yameshatoa muongozo.

Bidii
Kuamka mapema
Kutunza hesabu
Kuwa na connection za maana
Kula kwa afya usiugueugue
Kujitamkia positive affirmation.
Kutokata tamaa
Kuweka akiba
Kutunza wakati wa wingi na kuuza wakati wa scarcity. (Kucheza na soko.)

Etc
Reference ya hayo maandiko umeorodhesha please.
 
Wale wenzetu hutumia uganga, nyie huo ujasiri wa kuwa wakavu kiroho alafu mnatafuta mali bila maombi na kufunga mnatoboaje huko?
Ndio maana wengine hulalamika sana, biashara ngumu na haziendi kumbe wanafanya kwa juhudi zao binafsi badala ya kumtanguliza Mungu.
 
Wanapambana na Maadui wa kweli na sio wa kufikirika....

Yaani Binadamu tungejua kwamba kitu cha kupambana nacho ni mazingira ili tuyakabili na kuishi kwa ubora zaidi tungekuwa mbali sana kama specie..., ila ndio hivyo tunashikana uchawi (potential msaidizi wako / rafiki au mteja unamuona mchawi)
 
Back
Top Bottom