Mkristo ambaye hufungi na kuomba unatumia mbinu gani kujilinda na wachawi kwenye Biashara na maofisini?

Mkristo ambaye hufungi na kuomba unatumia mbinu gani kujilinda na wachawi kwenye Biashara na maofisini?

Ushoga una ingiaje hapa?

Ushoga ni tabia ya mtu kama ilivyo ulevi,wizi, uongo, umbea n.k

Hakuna uhusiano wowote wa Atheism na ushoga.

Mkisha ishiwa hoja mna ingiza ushoga maana mnapenda sana ku usikia na ku utaja taja, Bila shaka hata wewe ni shoga.

Ndio maana viongozi wenu wa makanisa, Ma askofu na Papa wanadhamiria kuhalalisha ndoa za jinsia moja.

Makanisani na nyumba nyingi za ibada ndio zina ongoza kwa matendo ya ulawiti na ushoga.
Dini ndio inaelekeza Mungu aliumba ke na me. Atheism inakubali vyote maana haina source ya kusimamia.

Manguli propagator wa Atheism ni mashoga. Ukibisha nakuwekea mmoja ambaye anapendwa sana vitabu vyake na JF members na wakuu wa atheism humu.
 
Kuomba na kufunga ni kutafuta maelekezo ya Mungu ikiwemo kufanya hayo matendo ya baraka mkuu.

Ukijifanyia tu utagundua moja ya sharti la freemason kwenye low level ni charity, kufanya matendo ya huruma ndio maana wakina hayati Chande walijenga visima vingi na kusaidia watu.

Hakikisha kila unachofanya unamstari wake na unakifanya kutokea kwenye kuomba. Maana kila maelekezo ya Mungu wachawi, wafanga na vijana wa ibrisi wameagizwa kufanya ili wachanganye mashabiki.
Itategemea upo upande gani
 
Hi swali najiuliza kila siku ...

Watu waombaji maisha yao ni ya kawaida..
Wanaomba bila kujua kanuni za kupata.Mungu ni wa kanuni na Sio kuomba tu.
Unaomba umeshinda ndani utafuti,utoi,roho yako chafu,una hila mbaya,unaomba sababu una shida na
 
Dini ndio inaelekeza Mungu aliumba ke na me. Atheism inakubali vyote maana haina source ya kusimamia.

Manguli propagator wa Atheism ni mashoga. Ukibisha nakuwekea mmoja ambaye anapendwa sana vitabu vyake na JF members na wakuu wa atheism humu.
Hata makanisani na kwenye nyumba za ibada kumejaa mashoga na walawiti.

Habari nyingi za watoto wadogo wa mafundisho kubakwa na kulawitiwa zina eleza vitendo hivyo wamefanyiwa na viongozi wa dini.

Nakwambia hivi, Hakuna uhusiano wa ushoga na Atheism.

Si kila shoga ni Atheist, Acha kufanya generalization zisizo na mantiki.

Ushoga ni tabia ya mtu kama ilivyo uzinzi, uasherati, ulevi na uwizi.
 
Kwanza wengi hatujui kuomba unaomba halafu unampangia Mungu mda wa kukujibu. Hutoi sadaka kwa wahitaji, moyoni kuna watu kibao una mgogoro nao hutaki kuwa samehe.Halafu hatujui kushukuru baada ya kupata,kwani kushukuru ni kuomba tena.
 
Kufunga ni kuutesa mwili.. kuutoa katika hali yake pendwa na kuwa katika hali ya tafakari ya namna ya kurudi katika hali ya starehe yake.

Kufunga kuna aina nyingi sio kutokula tuu japo ndio njia maharufu ijulikanayo katika funga.

mwili unapenda sana kula na kulala.. kwahiyo funga inaweza hat kuwa ni ya mkesha wa kutokulala.

Kuthibitisha hili, toa kufunga weka kuwa na njaa.. na hii ya kutokulala sema kukosa usingizi... naimani hamtapingana na mimi. katika moment ya njaa na kukosa usingizi, huwa tunawaza vitu deep sana.. Mawazo mengi yenye utatuzi wa kadhia mbalimbali tunayapata hasa tukiwa kwenye njaa au kukosa usingizi..

hivyo basi nguvu ya maombi katika funga automatically... itabustiwa na nguvu ya fikra za akili iwapo na njaa au kukosa usingizi..

Mwisho.. naamini unapokua na njaa na ukafanya maombi asilimia kubwa utafanikiwa vivyo hivyo unapofanya maombi muda wa mwili kuwa usingizin ila umekatisha usingiz..

na ndio maana tunashauriwa kusali usiku wa manane.. lengo ni lilelile kama lakutokula ili tusali tukiwa tunautesa mwili na maombi yatafika kwa uhakika na haraka...

tukumbuke usafi wa mwili na nafsi ndilo daraja kuu lakutashuhudi makibu ya maombi na sala tuzifanyazo.

Asante!
 
Nyie mnafunga au mnabadikisha ratiba ya kula toka kula mchana na mnashinda kula usiku?[emoji3][emoji2][emoji1][emoji16][emoji38][emoji28][emoji1787][emoji23]
Ndio amri tuliyopewa kama ni kubadilisha ratiba sawa,sipingi mawazo Yako una hako ya kutoa maoni
Sisi tunafata tulivoamrishwa na vitabu vyetu funga kabla jua kuchomoza na fubgua jua linapozama
Sisi funga ni ibada na msingi wa nguzo za Uislam
 
Kuna mmomlnyoko wa dhati wa imani.
Ila naamini ukijitoa kwa Mungu kwelikweli Waganga na hao wachawi hawakugusi.

Naunga mkono hoja, wapo waislam waaminifu katika imani zao kwenye biashara.
Sahihi kabisa ukijitoa kweli kweli Mungu hakuachi
Sasa wazazi wa kidijitali watoto hawafundiishwi dini kabisaa ni tabu sana
 
Sasa hayo ni makubaliano yao kwa misingi ya imani yao, sio sahihi kuwabeza maana ndio imani yao. Labda kuwashawishi ukiacha ile ya mfungo wa Ramadhan wawe na funga zao binafsi kwa ajili ya mambo yanayowahusu wao ili Mungu aingilie kati.

Maana hata wabudha na wachina wanafunga kwa taratibu zao.

Katika hili ni busara kuheshimu tu watu na imani zao
Sisi funga sio ramadhana tu Kuna Sunna za j3 na Alhamisi,funga za masiku meupe,funga za ukiwa na jambo lako unaomba ,funga ya Arafa,Kuna funga ya Nabii Adam as n.k ni vile tu zingine Sunnah ila ya lazima ni hii ya ramadhani Kwa wote ila hakuna akatazwae kufunga mfano kijana kama hajaoa au kuolewa anashauriwa kufunga Ili kujiepusha na matamanio ya kimwili...
Shida wengi hatujui dini ndo maana ila ukifata dini kihaki huna haja ya kufanya shirk
 
Nimekuwa kqnisani nikajifunza jambo la ajabu.

Wafanyabiashara na waajiriwa wakubwa ndio wasiopenda maombi na kufunga. Wengi hata wakati wa mambo siriasi ya kiroho hawana muamko nayo.

Huko kwenye biashara na ofisini hawa jamaa wanatoboa vipi? Maana kwa uzoefu wangu hata ukifungua kigenge chenye mtaji wa 10K TSh utashambuliwa kama ni billionea. Inabidi huwe ngangari ndio utoboe.

Wale wenzetu hutumia uganga, nyie huo ujasiri wa kuwa wakavu kiroho alafu mnatafuta mali bila maombi na kufunga mnatoboaje huko?
Hayo mambo ni mind set tu, ukiyaweka akili lazima uhisi yanakutikea na kukuzibia mafanikio.

Amini Mungu yupo na jikabidhi kwake awe mlinzi wako siku zote za maisha yako, hakuna kitakacho kusumbua, iwe Ofisini, Sikoni au dukani.
 
Ndio amri tuliyopewa kama ni kubadilisha ratiba sawa,sipingi mawazo Yako una hako ya kutoa maoni
Sisi tunafata tulivoamrishwa na vitabu vyetu funga kabla jua kuchomoza na fubgua jua linapozama
Sisi funga ni ibada na msingi wa nguzo za Uislam
Amina sister. Nilikutania tu. Mungu akutie nguvu Dada yangu.
 
Ili iwe funga inabidi iweje?
Mbona una lazimisha funga iwe kama vile unavyojua?
Kama sala, ibada, maombi hamfanani na wote mnaita majina hayo hayo kwanini funga yao unaibeza?
Kila mtu anafunga vile alivyofundishwa. We kama unaamini ili iwe funga usile kabisa sawa endelea kufanya hivyo, na wale wengine waache wafanye walivyofundishwa.
Dini zote za kuletewa halafu kuna mmoja anajifanya ana dini sahihi. Pathetic
Hahaaaaa, pole yako mkuresh wa Dongobeshi. Ebu kunywa maji kwanza ushushe pressure. Dini gani ya kuletewa?
 
Hakuna makaratasi kipindi yao ilikuwa gold na walikunayo .hakuna mbadala wa kutokuwa na hela za makaratasi kama huna ww ni katuni na shoga
Mbona unapenda kuisifia mvua dogo? Vipi unaliwa kiboga nini? Mbona umeleta na kuongelea ushoga kwenye issue zisizo husband nao. Unajipa promo dogo. Tutolee harufu ya mavi yako humu. Hatutaki hilo K lako. Pelekea wengine. Ptuuuuuuuuuuuuu.
 
Back
Top Bottom