BAKIIF Islamic
JF-Expert Member
- Jul 11, 2021
- 600
- 1,843
- Thread starter
- #21
Kwasababu gani ndugukatika wajinga ambao nchii imejaaliwa ni 1.TAIFA STAZI
2. MTOA HII MADA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwasababu gani ndugukatika wajinga ambao nchii imejaaliwa ni 1.TAIFA STAZI
2. MTOA HII MADA
Wapo wanaofunga Ramadhan, hivyo ni vyema wawe kwanza waislamuYa Ramadhani na imani yako yanatuhusu nini sisi wengine?
Ikiwa unawapa pesa kwa mnasaba wa ngono pesa hiyo ni haramu, lakini ikiwa unawapa kwa mnasaba wa kibinaadamu hakuna tatizo.Wao kwa sasa hivi wamefunga na mimi ni ATM yao ya kudownload pesa kwa ajili ya mahitaji ya chakula sasa nimekuuliza je pesa ninayo toa kwa ni halali na mimi na faidika kwa Mungu kwa kuwahudumia hawa warembo kipindi hiki cha mfungo? achana na masuala ya zinaa na usherati
Mussa aliambiwa amlinganie firauni kwa upoleMkuu umesoma andiko vizuri lakini
Wakati wa kula daku ni baina ya usiku wa manane na alfajiri. Inakuwa ni vizuri zaidi kuichelewesha (yaani, karibu zaidi ya alfajiri kwa kadri inavyowezekana). Daku ni mlo uliobarikiwa, hivyo usiupuuze japo kwa fundo la maji,kwanini mnakula asubuhi kabla ya kudanganya watu kuwa mmefunga
Ahsante, picha hiyo imeshaondolewa, lakini haikua na maana yoyote katika kuudhi ukristo wala kukebehi. Samahani sana kwa hilo, na pole sana kwa kukuumiza kihisia. Natanguliza msamaha juu ya hilo.Mussa aliambiwa amlinganie firauni kwa upole
Mtume tabia zake pekee tu bila kusema chochote kuhusu dini zilitosha kuwafanya wengine wakaingia katika uislamu....
Tunaamini kuwa kila anapotajwa Mtume ni lazima tuitikie swalallahu alayhi wa aalihi wa salam (s.a.w.w).Katika kuwasilisha hoja yako mleta mada wakati unamtaja mtume uliweka maneno yaliyo fungwa ya Rehema na amani ziwe nae...
Kila kitu binadamu tunafanya kwa nia, kuanzia ulivyoiona ile picha ukachukia ndio ikawa kusudio lako kuiweka wewe ukitamani hiyo mkristo hapo kwenye futari asiwepo.Ahsante, picha hiyo imeshaondolewa, lakini haikua na maana yoyote katika kuudhi ukristo wala kukebehi. Samahani sana kwa hilo, na pole sana kwa kukuumiza kihisia. Natanguliza msamaha juu ya hilo.
Barikiwa sana, nimepokea nasaha na mashauri yako katika kujenga. Muwe na usiku mwema hapo nyumbani.Kila kitu binadamu tunafanya kwa nia, kuanzia ulivyoiona ile picha ukachukia ndio ikawa kusudio lako kuiweka wewe ukitamani hiyo mkristo hapo kwenye futari asiwepo...
TakibiiiirUchokozi tu. Mkuu hapo pichani imekuuma sana kuona sitta na mbatia wakila futari wakati sio waislam?
kwasababu Huwa mnabadili ratiba ya kula tu "The eating festival"Kwasababu gani ndugu
Jibu swali usikimbilie kuruka ruka kama bisi.Hate is such a weak emotion.
Ovyo sanaaaKatika nyumba kama mnaishi na Mkristo hakikisheni mnampatia chakula kama ilivyo desturi, Kama kuna Mkristo ambaye anafunga mwezi wa Ramadhani, jambo la kwanza ni yeye kuukubali na kuingia kwenye Uislamu, kwa sababu kufunga bila kuingia Uislamu hakutamnufaisha.
Kwa hiyo ni muhimu kwake, kwanza kabisa, Kuamini MUNGU mmoja na kumwamini Mtume Muhammad (rehema na amani za Allah ziwe juu yake) na kuingia katika Uislamu.
Iwapo atamwamini Muhammad (rehema na amani za Allah ziwe juu yake) na akaingia katika Uislamu, katika hali hiyo atatakiwa kuswali, kufunga, kutoa zakaah, kuhiji na kadhalika. Kuhusiana na kufunga kwake au kusali wakati angali Mkristo, hilo si sahihi; Swalah yake ni batili, Saumu yake ni batili, na haitamnufaisha, kwa sababu mojawapo ya masharti ya ibada hizi ni kuwa Mwislamu. Iwapo ataswali wakati yeye si Muislamu na akafunga akiwa si Muislamu, basi ibada yake ni batili.
Uliza swali lolote kuhusu Ramadhan: Nitakujibu kwa Comment
![]()