Mkristo kushabikia au kuwa na upande vita vya Israel na Hamas ni matokeo ya ujinga wa maandiko

Waafrika na Dini za Kuletewa. Waafrika na Elimu za Kuletewa. Waafrika na Magari ya Kuletewa. Waafrika na Teknolojia ya Kuletewa. Waafrika na Ustaarabu wa Kuletewa.
Akili zako fupi?
Wewe mwenyewe umeletwa duniani
 
IN FACT, wote wanaokufa, awe myahudi au mpalestina, hawajaokoka. na Mungu hafurahii kifo cha mwenye dhambi kabisa. ni kweli tunatakiwa kuombea amani ili wote waishi na wamjue Mungu wa kweli. wote wapalestina na waisrael wanaishi katika wrong doctrine ya kuabudu Mungu, mmoja ambaye ni Myahudi anamjua Mungu wa kweli lakini hamwabudu kwa usahihi, na mwingine mpalestina huyu ndio hamjui kabisa Mungu wa kweli, anaabudu tu mzimu fulani wa kiarabu huko mfano wa Baal yuleyule Eliya Mtishbi alipambana nao. Wote wanamhitaji Mungu na tuombe Mungu vita iishe, wanavyokufa hata haimfurahishi Mungu.
 
Amina
 
Mama yake Yesu ni mwarabu, kwahiyo Yesu ni mwarabu
Yesu hana DNA za mwanamke Mariam kibailojia. Kule alipitia tu kama njia ya kuja duniani katika ubunadamu.
Ndio maana ukoo wake unakuja hadi kwa Yusufu sio Mariam kuanzia kwa ibrahim. Ila hakuna mchango wa Yusuph katika mimba ya mariam zaidi ya kusaidia malezi.
 
Mmeingizwa mjini kwa kukaririshwa ujinga. Wazazi wa Mama yake Yesu Bi Mariumu hamkuambiwa historia yao kwasababu walikuwa waarabu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ hata hyu Yesu mnayemwita Mungu na mwokozi wenu alikuwa na wadogo zake wengi tu bi Marium na mumewe Yusufu waliendelea kuzaa
 
INRI (IESVS NAZARENVS REX IVDร†ORVM) au kwa Kiswahili "Ywsu Mnzareti Mfalme wa Mayahudi"

Hayo ni maneno ya Pontius Pilato (Yohana 19:19). Mimi ni nani nimkatae Mfalme wa Mayahudi?
 
INRI (IESVS NAZARENVS REX IVDร†ORVM) au kwa Kiswahili "Ywsu Mnzareti Mfalme wa Mayahudi"

Hayo ni maneno ya Pontius Pilato (Yohana 19:19). Mimi ni nani nimkatae Mfalme wa Mayahudi?
Unamsikiliza Pilato au Yesu?
 
Palestine ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ธ will be free in shaa Allah
Allh tena? Palestina lini ilikuwa Taifa? naomba nitajie... Mji mkuu wake pia ulikuwa wapi na mtawala wake alikuwa wapi unaposema iwe free kwa uwezo wa Allah nakuhakikishia hilo halipo sababu Allah ni fake God. even the name unavyojua wewe haitwi Allah ni Lah ambalo ni Pagan Moon God...

and Allah hana Mamlaka ya Hapa Duniani ni Jesus only kwani ndie Muumba.. Jesus is Word and Word ndie kaumba kila kitu even Qoran ime confirm Jesus is a Messenger, Jesus is Word and Spirit ila Allah haa Spirits.
 
Wewe pia unahitaji kujifunza zaidi kuhusu Taifa la Israel. Huwezi kudai wewe ni Mkristo na bado usijue umuhimu wa Wayahudi kwa mujibu wa Biblia. Hata kama asilimia kubwa ya Wayahudi sio Wakristo, haijalishi pia kuwa walimkana Yesu, bado Mungu ana mpango nao wa muda mrefu kwa mujibu wa Biblia.
 
Uko sahihi mtu wa Mungu
 
๐Ÿ˜‚So DNA inasoma Mungu? Haya if so...mbona wanaonyesha uzao wa yosefu Kama kweli kazaliwa na bikra. Uzao wa yosefu ambao katika Mathew na Luke Kuna mkanganyiko unahusianaje na Yesu?
 
Anaokoa wanaotaka. Mwanadamu ni kiumbe cha hiyari. Haukolewi kwa shuruti, unaokolewa kwa kupenda na kuchagua.
Dhambi ipo maana chanzo kipo kimewekwa hakiba siku sio chache kitateletezwa na wanaokipenda na kuunga mkono hizo juhudi watapotea nacho.
๐Ÿ˜‚1. Chanzo Cha dhambi ni mwanamke uchi kula tunda alilopewa na nyoka anayeongea katika bustani yenye wanyama wote...ukiamini hii story unaweza amini chochote...so sikushangai
2. Je huyo Mungu wako muweza yote hawezi umba dunia yenye hiyari isiyo na dhambi? If hawezi, he's not all powerful, if anaweza basi hakutaka...then hatupendi..
 
Wewe unajiona unamuabudu kwa usahihi kwa misingi gani? Mzungu kaleta hio dini ili akutumikishe Babu yako na bibi yako wakafata mpaka imekufikia wewe. We unajuaje wao Wana makosa afu we ndo upo sahihi?
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚So why Kuna ukoo wa yusuph In the first place
It means hakuwa bikra kweli...๐Ÿ˜‚Biblia Ina Mambo lakini
 
Hata kwenye bible Yesu ana kaka anaitwa James lakini Watakuambia kaka ni mafumbo cjui kaka kiroho...๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Huna hoja zaidi ya udini
 
Why Mungu aumbe sayari billion afu achague Taifa moja katikati ya jangwa miaka 4000 iliyopita...๐Ÿ˜‚na wewe unaamini kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ