Akili zako fupi?Waafrika na Dini za Kuletewa. Waafrika na Elimu za Kuletewa. Waafrika na Magari ya Kuletewa. Waafrika na Teknolojia ya Kuletewa. Waafrika na Ustaarabu wa Kuletewa.
Wewe mwenyewe umeletwa duniani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili zako fupi?Waafrika na Dini za Kuletewa. Waafrika na Elimu za Kuletewa. Waafrika na Magari ya Kuletewa. Waafrika na Teknolojia ya Kuletewa. Waafrika na Ustaarabu wa Kuletewa.
IN FACT, wote wanaokufa, awe myahudi au mpalestina, hawajaokoka. na Mungu hafurahii kifo cha mwenye dhambi kabisa. ni kweli tunatakiwa kuombea amani ili wote waishi na wamjue Mungu wa kweli. wote wapalestina na waisrael wanaishi katika wrong doctrine ya kuabudu Mungu, mmoja ambaye ni Myahudi anamjua Mungu wa kweli lakini hamwabudu kwa usahihi, na mwingine mpalestina huyu ndio hamjui kabisa Mungu wa kweli, anaabudu tu mzimu fulani wa kiarabu huko mfano wa Baal yuleyule Eliya Mtishbi alipambana nao. Wote wanamhitaji Mungu na tuombe Mungu vita iishe, wanavyokufa hata haimfurahishi Mungu.Kushabikia Wayahudi au Waislam katika vita hivi ni matokeo ya ujinga wa maarifa.
Wayahudi na waislam wote hawamjui Yesu. Wananyozidi kuuana wanaongeza idadi ya watu wa jehanam.
Mkristo unatakiwa kuombea amani, na katika amani hiyo hao Wayahudi wasiomjua Yesu na Waislam wakiwemo hamas wasiomjua Yesu waokolewe.
Maana pasipo kumuamini Yesu unakoswa njia ya kuingia mbinguni.
Nimeona kuna ushabiki mkubwa hadi makanisani. Watu badala ya kutembea na bendera ya nchi wanayembea na tubendera twa israel ambao hawamjui Yesu. Kwana hakuna ushahidi kama hao ni waisrael kweli wa kwenye maandiko.
Ni hayo tu.
Ukielewa basi mfahamishe na mwenzako.
AminaIN FACT, wote wanaokufa, awe myahudi au mpalestina, hawajaokoka. na Mungu hafurahii kifo cha mwenye dhambi kabisa. ni kweli tunatakiwa kuombea amani ili wote waishi na wamjue Mungu wa kweli. wote wapalestina na waisrael wanaishi katika wrong doctrine ya kuabudu Mungu, mmoja ambaye ni Myahudi anamjua Mungu wa kweli lakini hamwabudu kwa usahihi, na mwingine mpalestina huyu ndio hamjui kabisa Mungu wa kweli, anaabudu tu mzimu fulani wa kiarabu huko mfano wa Baal yuleyule Eliya Mtishbi alipambana nao. Wote wanamhitaji Mungu na tuombe Mungu vita iishe, wanavyokufa hata haimfurahishi Mungu.
Yesu hana DNA za mwanamke Mariam kibailojia. Kule alipitia tu kama njia ya kuja duniani katika ubunadamu.Mama yake Yesu ni mwarabu, kwahiyo Yesu ni mwarabu
Mmeingizwa mjini kwa kukaririshwa ujinga. Wazazi wa Mama yake Yesu Bi Mariumu hamkuambiwa historia yao kwasababu walikuwa waarabu🤣🤣 hata hyu Yesu mnayemwita Mungu na mwokozi wenu alikuwa na wadogo zake wengi tu bi Marium na mumewe Yusufu waliendelea kuzaaYesu hana DNA za mwanamke Mariam kibailojia. Kule alipitia tu kama njia ya kuja duniani katika ubunadamu.
Ndio maana ukoo wake unakuja hadi kwa Yusufu sio Mariam kuanzia kwa ibrahim. Ila hakuna mchango wa Yusuph katika mimba ya mariam zaidi ya kusaidia malezi.
INRI (IESVS NAZARENVS REX IVDÆORVM) au kwa Kiswahili "Ywsu Mnzareti Mfalme wa Mayahudi"Kushabikia Wayahudi au Waislam katika vita hivi ni matokeo ya ujinga wa maarifa.
Wayahudi na waislam wote hawamjui Yesu. Wananyozidi kuuana wanaongeza idadi ya watu wa jehanam.
Mkristo unatakiwa kuombea amani, na katika amani hiyo hao Wayahudi wasiomjua Yesu na Waislam wakiwemo hamas wasiomjua Yesu waokolewe.
Maana pasipo kumuamini Yesu unakoswa njia ya kuingia mbinguni.
Nimeona kuna ushabiki mkubwa hadi makanisani. Watu badala ya kutembea na bendera ya nchi wanayembea na tubendera twa israel ambao hawamjui Yesu. Kwana hakuna ushahidi kama hao ni waisrael kweli wa kwenye maandiko.
Ni hayo tu.
Ukielewa basi mfahamishe na mwenzako.
Unamsikiliza Pilato au Yesu?INRI (IESVS NAZARENVS REX IVDÆORVM) au kwa Kiswahili "Ywsu Mnzareti Mfalme wa Mayahudi"
Hayo ni maneno ya Pontius Pilato (Yohana 19:19). Mimi ni nani nimkatae Mfalme wa Mayahudi?
Allh tena? Palestina lini ilikuwa Taifa? naomba nitajie... Mji mkuu wake pia ulikuwa wapi na mtawala wake alikuwa wapi unaposema iwe free kwa uwezo wa Allah nakuhakikishia hilo halipo sababu Allah ni fake God. even the name unavyojua wewe haitwi Allah ni Lah ambalo ni Pagan Moon God...Palestine 🇵🇸 will be free in shaa Allah
Wewe pia unahitaji kujifunza zaidi kuhusu Taifa la Israel. Huwezi kudai wewe ni Mkristo na bado usijue umuhimu wa Wayahudi kwa mujibu wa Biblia. Hata kama asilimia kubwa ya Wayahudi sio Wakristo, haijalishi pia kuwa walimkana Yesu, bado Mungu ana mpango nao wa muda mrefu kwa mujibu wa Biblia.Wayahudi wa Kweli, ni wale wanaompoea Yesu kama Bwana na mwokozi wao.
Hao wakibaiolojia umuhimu wao uliosha baada ya Yesu kufufuka. Hawa tunaowaona waliowaweka hapo ndio wanajua walikowatoa. Hata hivyo hata wakiwa ndio wenyewe, hawana umuhimu wowote kiroho labda kama historical site tu ya kwenda kushangaa mambo ya zamani.
Uko sahihi mtu wa MunguIN FACT, wote wanaokufa, awe myahudi au mpalestina, hawajaokoka. na Mungu hafurahii kifo cha mwenye dhambi kabisa. ni kweli tunatakiwa kuombea amani ili wote waishi na wamjue Mungu wa kweli. wote wapalestina na waisrael wanaishi katika wrong doctrine ya kuabudu Mungu, mmoja ambaye ni Myahudi anamjua Mungu wa kweli lakini hamwabudu kwa usahihi, na mwingine mpalestina huyu ndio hamjui kabisa Mungu wa kweli, anaabudu tu mzimu fulani wa kiarabu huko mfano wa Baal yuleyule Eliya Mtishbi alipambana nao. Wote wanamhitaji Mungu na tuombe Mungu vita iishe, wanavyokufa hata haimfurahishi Mungu.
😂So DNA inasoma Mungu? Haya if so...mbona wanaonyesha uzao wa yosefu Kama kweli kazaliwa na bikra. Uzao wa yosefu ambao katika Mathew na Luke Kuna mkanganyiko unahusianaje na Yesu?Yesu aliingia kwa Maria kwa uwezo wa roho mtakatifu. Maria alikuwa kama medium tu ya kutimizia kusudi la Mungu kuzaliwa kupitia mwanadamu. Alipata hiyo heshima ya kubeba hilo jukumu. Maana kulikuwa na mabikra wengi.
Kibailojia bikra hawezi kupata mimba.
😂1. Chanzo Cha dhambi ni mwanamke uchi kula tunda alilopewa na nyoka anayeongea katika bustani yenye wanyama wote...ukiamini hii story unaweza amini chochote...so sikushangaiAnaokoa wanaotaka. Mwanadamu ni kiumbe cha hiyari. Haukolewi kwa shuruti, unaokolewa kwa kupenda na kuchagua.
Dhambi ipo maana chanzo kipo kimewekwa hakiba siku sio chache kitateletezwa na wanaokipenda na kuunga mkono hizo juhudi watapotea nacho.
Wewe unajiona unamuabudu kwa usahihi kwa misingi gani? Mzungu kaleta hio dini ili akutumikishe Babu yako na bibi yako wakafata mpaka imekufikia wewe. We unajuaje wao Wana makosa afu we ndo upo sahihi?IN FACT, wote wanaokufa, awe myahudi au mpalestina, hawajaokoka. na Mungu hafurahii kifo cha mwenye dhambi kabisa. ni kweli tunatakiwa kuombea amani ili wote waishi na wamjue Mungu wa kweli. wote wapalestina na waisrael wanaishi katika wrong doctrine ya kuabudu Mungu, mmoja ambaye ni Myahudi anamjua Mungu wa kweli lakini hamwabudu kwa usahihi, na mwingine mpalestina huyu ndio hamjui kabisa Mungu wa kweli, anaabudu tu mzimu fulani wa kiarabu huko mfano wa Baal yuleyule Eliya Mtishbi alipambana nao. Wote wanamhitaji Mungu na tuombe Mungu vita iishe, wanavyokufa hata haimfurahishi Mungu.
😂😂😂So why Kuna ukoo wa yusuph In the first placeYesu hana DNA za mwanamke Mariam kibailojia. Kule alipitia tu kama njia ya kuja duniani katika ubunadamu.
Ndio maana ukoo wake unakuja hadi kwa Yusufu sio Mariam kuanzia kwa ibrahim. Ila hakuna mchango wa Yusuph katika mimba ya mariam zaidi ya kusaidia malezi.
Hata kwenye bible Yesu ana kaka anaitwa James lakini Watakuambia kaka ni mafumbo cjui kaka kiroho...😂😂😂Mmeingizwa mjini kwa kukaririshwa ujinga. Wazazi wa Mama yake Yesu Bi Mariumu hamkuambiwa historia yao kwasababu walikuwa waarabu🤣🤣 hata hyu Yesu mnayemwita Mungu na mwokozi wenu alikuwa na wadogo zake wengi tu bi Marium na mumewe Yusufu waliendelea kuzaa
Huna hoja zaidi ya udiniAllh tena? Palestina lini ilikuwa Taifa? naomba nitajie... Mji mkuu wake pia ulikuwa wapi na mtawala wake alikuwa wapi unaposema iwe free kwa uwezo wa Allah nakuhakikishia hilo halipo sababu Allah ni fake God. even the name unavyojua wewe haitwi Allah ni Lah ambalo ni Pagan Moon God...
and Allah hana Mamlaka ya Hapa Duniani ni Jesus only kwani ndie Muumba.. Jesus is Word and Word ndie kaumba kila kitu even Qoran ime confirm Jesus is a Messenger, Jesus is Word and Spirit ila Allah haa Spirits.
Why Mungu aumbe sayari billion afu achague Taifa moja katikati ya jangwa miaka 4000 iliyopita...😂na wewe unaamini kabisaWewe pia unahitaji kujifunza zaidi kuhusu Taifa la Israel. Huwezi kudai wewe ni Mkristo na bado usijue umuhimu wa Wayahudi kwa mujibu wa Biblia. Hata kama asilimia kubwa ya Wayahudi sio Wakristo, haijalishi pia kuwa walimkana Yesu, bado Mungu ana mpango nao wa muda mrefu kwa mujibu wa Biblia.