Mkristo kushabikia au kuwa na upande vita vya Israel na Hamas ni matokeo ya ujinga wa maandiko

Mimi naunga mkondo upande wowote unaotembeza kichapo dhidi ya magaidi yenu, mkipigana na Wahindi nakua upande wao, mkinyukwa na Wachina vile vile naunga Wachina, yaani popote mnalazimisha ugomvi mkipigwa nawachekelea...

Muslims conflicts
Fight with hindus
Fight with Jews
Fight with Christians
Fight among themselves - shias and baha
Figjt with buddhists
Fights with atheists ( all over the world)

Fight fight everywhere

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Hata kwenye bible Yesu ana kaka anaitwa James lakini Watakuambia kaka ni mafumbo cjui kaka kiroho...😂😂😂
La haula lakwata astaghafulilai mambo ya ba mpyedoz hii watu ya mtume mudi iko na wongo mwingi sana🤣😂😆
 
Nawewe bado huyajui maandiko.
Wayahudi tangu kale mpaka itakapopigwa vita ya Almagedoni wanahumiwa kwa Sheria ya torati.
Muulize mwanazuoni makini atakuambia.
 
Yesu sio myahudi.
Maana hakuzaliwa kwa mbegu za kiyahudi ni kwa Roho mtakatifu. Wayahudi ni walezi wake tu.
Kibailojia Yesu sio myahudi.

Mtumishi haelewi kitabu cha ufunuo. Anakitafsiri kimwili.
Utakuwa umekurupuka kujibu bila kusikiliza clip yote!
 
Kushabikia Wayahudi au Waislam katika vita hivi ni matokeo ya ujinga wa maarifa.

Wayahudi na waislam wote hawamjui Yesu. Wananyozidi kuuana wanaongeza idadi ya watu wa jehanam.

Mkristo unatakiwa kuombea amani, na katika amani hiyo hao Wayahudi wasiomjua Yesu na Waislam wakiwemo hamas wasiomjua Yesu waokolewe.

Maana pasipo kumuamini Yesu unakoswa njia ya kuingia mbinguni.

Nimeona kuna ushabiki mkubwa hadi makanisani. Watu badala ya kutembea na bendera ya nchi wanayembea na tubendera twa israel ambao hawamjui Yesu. Kwana hakuna ushahidi kama hao ni waisrael kweli wa kwenye maandiko.

Ni hayo tu.

Ukielewa basi mfahamishe na mwenzako.
Unabii lazima utimie. Yesu aliomba lakini bado msalabani alikaa. Kama imeandikwa watapigana achana na hiyo vita beba jembe ukalime.
 
Kushabikia Wayahudi au Waislam katika vita hivi ni matokeo ya ujinga wa maarifa.

Wayahudi na waislam wote hawamjui Yesu. Wananyozidi kuuana wanaongeza idadi ya watu wa jehanam.

Mkristo unatakiwa kuombea amani, na katika amani hiyo hao Wayahudi wasiomjua Yesu na Waislam wakiwemo hamas wasiomjua Yesu waokolewe.

Maana pasipo kumuamini Yesu unakoswa njia ya kuingia mbinguni.

Nimeona kuna ushabiki mkubwa hadi makanisani. Watu badala ya kutembea na bendera ya nchi wanayembea na tubendera twa israel ambao hawamjui Yesu. Kwana hakuna ushahidi kama hao ni waisrael kweli wa kwenye maandiko.

Ni hayo tu.

Ukielewa basi mfahamishe na mwenzako.

Hapa watakuwa wamenuna!

Cc: MK254, johnthebaptist, FaizaFoxy na wenzao Kwa Taarifa.
 
Mimi huwa nashabikia upande unaotembeza kichapo kwenu nyie maana nawajua mnavyopenda kulazimisha ugomvi na kila watu, mkipigwa na Wachina, Warusi, Wayahudi au hata Wahindi huwa nashabikia upande wao hao maana siku zote nyie ndio huwa mnalianzisha kwa kutaka kulazimisha uzombi wa dini yenu kwa kila mtu.
Hadi mkome hayo maugaidi yenu.

Muslims conflicts
Fight with hindus
Fight with Jews
Fight with Christians
Fight among themselves - shias and baha
Figjt with buddhists
Fights with atheists ( all over the world)

Fight fight everywhere

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Mimi huwa nashabikia upande unaotembeza kichapo kwenu nyie maana nawajua mnavyopenda kulazimisha ugomvi na kila watu, mkipigwa na Wachina, Warusi, Wayahudi au hata Wahindi huwa nashabikia upande wao hao maana siku zote nyie ndio huwa mnalianzisha kwa kutaka kulazimisha uzombi wa dini yenu kwa kila mtu.
Hadi mkome hayo maugaidi yenu.

Muslims conflicts
Fight with hindus
Fight with Jews
Fight with Christians
Fight among themselves - shias and baha
Figjt with buddhists
Fights with atheists ( all over the world)

Fight fight everywhere

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”

Ushabiki shabiki kama Luo Union au Abaluya FC, una nini cha kufanya na haki za watu ndugu?
 
Wayahudi Wametajwa ufunuo 144,000 wataingia Mbinguni Kwa tiketi ya torati Yao, sababu ya AGANO.

Wakristo pia Wametajwa 144,000 Kwa tiketi ya Yesu.

Waislamu hawajatajwa.

Ikupe kufahamu kuwa mkristo na myahudi ni ndugu.

Amen
 
Kushabikia Wayahudi au Waislam katika vita hivi ni matokeo ya ujinga wa maarifa.

Wayahudi na waislam wote hawamjui Yesu. Wananyozidi kuuana wanaongeza idadi ya watu wa jehanam.

Mkristo unatakiwa kuombea amani, na katika amani hiyo hao Wayahudi wasiomjua Yesu na Waislam wakiwemo hamas wasiomjua Yesu waokolewe.

Maana pasipo kumuamini Yesu unakoswa njia ya kuingia mbinguni.

Nimeona kuna ushabiki mkubwa hadi makanisani. Watu badala ya kutembea na bendera ya nchi wanayembea na tubendera twa israel ambao hawamjui Yesu. Kwana hakuna ushahidi kama hao ni waisrael kweli wa kwenye maandiko.

Ni hayo tu.

Ukielewa basi mfahamishe na mw

Goals of the HAMAS:

'The Islamic Resistance Movement is a distinguished Palestinianmovement, whose allegiance is to Allah, and whose way of life is Islam. It strives to raise the banner of Allah over every inch ofPalestine.' (Article 6)

On the Destruction of Israel:
'Israel will exist and will continue to exist until Islam will obliterate it, just as it obliterated others before it.' (Preamble)

The Exclusive Moslem Nature of the Area:

'The land of Palestine is an Islamic Waqf [Holy Possession]consecrated for future Moslem generations until Judgment Day. No onecan renounce it or any part, or abandon it or any part of it.'(Article 11)'Palestine is an Islamic land... Since this is the case, theLiberation of Palestine is an individual duty for every Moslemwherever he may be.' (Article 13)
 
Wayahudi Wametajwa ufunuo 144,000 wataingia Mbinguni Kwa tiketi ya torati Yao, sababu ya AGANO.

Wakristo pia Wametajwa 144,000 Kwa tiketi ya Yesu.

Waislamu hawajatajwa.

Ikupe kufahamu kuwa mkristo na myahudi ni ndugu.

Amen
Wayahudi wote wanatakiwa kuingia mbinguni kupitia imani kwa Yesu.
Yeye ndiye njia.
Tafsiri zote za maandiko za kutaka wayahudi waingia mbinguni kijanjakijanja ni potofu.

Ndio maana wayahudi wenzao walikubali na wapo wayahudi wengi ni wakristo. Hawa vichwa ngumu itakula kwao. Yesu alisema sio tu torati bali maandiko yote yanamuelezea yeye. Agano la kale na jipya yote yanamfafanua Yesu.
 
Neno la Mungu lichukue lilivyo hata kama hukulielewa.

Ingekuwa wote wataingia Mbinguni kupitia Yesu pekee, vipi kuhusu waliokufa kabla ya Kuzaliwa Kwa Yesu AGANO la kale?

Na vipi kuhusu Wayahudi watakaobaki duniani na kupita kipindi Cha DHIKI kuu?

BIBLIA imetaja 144,000 Wayahudi na 144,000 kupitia Kristo.

Ingekuwa kheri kwako ungelipokea neno lilivyo na kumwomba Mungu akufafanulie kuliko kupotosha.
 
Ufunuo imeandikwa symbolically. Ikitumia mifano majina na alama zilizoandikwa agano la kale kutufikishia ujumbe. Kuanzia ufunuo moja hadi mwisho. Sasa ukichukulia eti hiyo idadi na maneno wameandikiwa wayahudi kupata ofa nje ya Yesu utakuwa unajipotosha.

Waliokufa kabla ya Yesu, wengi walikufa wakitarajia masihi ajaye Yesu kwa imani.
Waebrania 11. Inaonyesha hata Musa aliondoka kwa farao ili ateseke kwa uzuri wa kuwa na Yesu. Ibrahim kabla hata ya Wayahudi alimtarajia Yesu na mji alioenda kuuandaa.

Hizo tafsiri sisisi za maandiko ndio zimewatega walokole wengi na makundi ya walimu wao. Maana hata hivyo mega preachers wengi wa kilokole kiasili ni wayahudi, hivyo lazima wajipigie promo.
 
Wasabato changamoto sana.

Mkaribisheni Roho mtakatifu awasaidie kufunua maandiko.
 
Ushabiki shabiki kama Luo Union au Abaluya FC, una nini cha kufanya na haki za watu ndugu?

Mkiishi bila kuanzisha ugomvi mbona hakuna atakayewabughudhi, abuduni huyo muarabu tena hautasikia mtu anawafanyia fujo, lakini tatizo liko kwenye maandiko yake, kawaponza na nyie mnaingia kijinga kijinga kuyatimiza, kasema mchinje wasiomuabudu na kwa ujinga mnachinja, mnaishia kupigwa na ndio maana mimi kila mkianzisha ugomvu huwa naunga mkono upande unaowapiga mpaka mtie adabu na kujua namna ya kuishi na watu kwa amani...
Mnateka bus na kuchinja watu kisa hawamuabudu huyo muarabu na maukatili yake

View: https://www.youtube.com/watch?v=zLqkXl2YYhQ

Back
Top Bottom