Tetesi: MKT wa CHADEMA, Freeman Mbowe, Kuanza Ziara ya Ulaya na US Kupitia Dubai 28/08/2016? !.

Mnaonaje mkasubiria tar 28 ili mpate majibu na kuja kumtukana huyu Pasco? Hii ni tetesi na ameshasema inabaki kuwa tetesi mpaka tar 28, sasa matusi yote haya ni ya nini? Je ikitokea kweli Mh. Mbowe akasafiri kwa matibabu kweli kwani afya yake ni muhimu kuliko hayo maandamano mtakuja kumuomba radhi Pasco?
Hamjifunzi kwa Dr. Slaa? zilikuja tetesi watu wakatukana ilipotimia kila mtu kimya.
 
mbona kamanda anatimka. anaogopa kufia mstari wa mbele kama jonas savimbi. yule mpenda madaraka na mpinga maendeleo wa angola aliyepigania urais hadi kufa kwenye uwanja wa vita kule cuando cubango angola.
 
Tena haendagi mwenyewe anabebaga na kiti maalum vipi tetesi hazigusi kiti maalum chochote wakati huu?
 
Hahahahahah huyu mchaga mjanja sana.. Kuna watu watabaki na ulemavu wa kudumu yeye anaenda kula bata mbelez.. Msheambiwa kibiriti cha gesi akitingishwi.. Tusubiri nyumbuz watapokuja kuhesabiwa siku ya siku pale MOI.
Hutaona Kilimanjaro wameshikishwa ukuta.

Ole wao watie timu mtaani kwetu
 
Sasa ataongoza nani maandamano kama yeye na familia yake wataenda ulaya na kuacha raia wakila kichapo...
 
Pasco huu Uzi sio type yako. It seems Unauma na kupuliza wakati MMOJA.

Watu wanahisi unajaribu kubabaisha maneno. Wwshang:amua.

Kuna watu wazima humu ndani wanaelewa psychology na wamesoma pia ..
ungeupiga ban huu Uzi. K

Waachie magazeti pendwa waandike story za vijiweni, wewe bakia kuandika makala

Ukuu wa mkoa hawatakupa. Washamaliza kugawana.

Usidhohofishe harakati za ukombozi wa Mtanzania.
Hasa wale wasio na previledge kama wewe kule vijijini.
 
Makamanda wamechafukwa.
 
Akisafiri ni nani akakae mbele ili bomu liingie kwake, watoto wa maskini ndo wanazugwa na huyu tapeli
 
Inawezekana Pasco siku hizi ushageuka kuwa muongo ila kwakuwa ni tetesi sitakuhukumu; labda niseme hili moja tu kwamba atakayetoka barabarani siku hiyo ni kwa hasara yake na familia yake. Upinzani wetu huu wa uchumia tumbo sio wa kuupa uhai wako au kiungo cha mwili wako; yet siasa ni mchezo mchafu ukiamua kuucheza lazima ujue utachafuka na kwa maana hiyo sijui kelele ni za nini kama uongozi unawamwagia tope, si hata wao wangekuwa madarakani wangeleta michezo michafu kuliko hata hiyo wanayoilalamikia? Hebu tuwape kijimda walioko madarakani wafanye klle walichoahidi wakishindwa si kila mtu atajua tu wameshindwa? na hapo si watageukia upinzani kwa point bila mashinikizo? wakati wote muda/wakati ni mwalimu mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…