Mkuchika ni Waziri Kazi Maalum, hii ilikuwepo pia enzi za Mwalimu Nyerere

Mkuchika ni Waziri Kazi Maalum, hii ilikuwepo pia enzi za Mwalimu Nyerere

Me namwona asiye na wizara maalum Kama mtu maalum kabisa serekalini.

1. Awe na nguvu za ziada za kiafrika

2. Mtu mzima ambaye anaweza kutuliza mihemko serekalini na kwenye vikao vyao

3.mwenye uwezo wa kudhibiti mienendo kwenye Baraza na kuonya

4. Mwenye uwezo wa kumshairu raisi inapofikia pagumu hili swali linahusika "ungekiwa wewe raisi ungefanyaje"

5. Lazima Ni mzee wa busara
 
Unafikiri kama wewe unaelala na watoto wa dada yako full kukujambia ushuzi wa maharage usiku kucha na kukuwekea miguu ya kifua ukiamka asubuhi nuka mikojo kama dudumizi!
Utatoa mapovu utakavyo ila hayataweza kumrudisha kwenye hiyo nafasi aliyo hudumu kwa mwezi
 
Kuna uchawi Fulani ambao wachawi wanajikinga na kifo. Huwa wanaoza lakini roho inadunda mpaka mwenzake anayejua kilinge chake kilipowekwa ndio anawaambia wazee, kinatafutwa na lile agano linafutwa halafu mchawi anakufa na kwenda kuungana na wenzie motoni.
Vile vile unaweza kuweka agano Kama Hilo na ofisi Fulani au mpenzi fulani, kwamba inyeshe au liwake Mimi na Hii ofisi au huyu mpenzi mpaka nitakapoingia kaburini halafu kile kilinge Cha Hilo agano kinakwenda kufichwa sehemu salama.
Uchawi huu uko Njombe, TANGA, Umakondeni mpaka msumbiji. Kwa hili wasukuma na wazee wa Katavi , Sumbawanga wanakuwaga wapole.
Habari zoote za Maumbiji niulizeni mimi MMAWIA
 
Hivi kwani kuna tatizo gani akipumzika tu kula pensheni yake. Asipokuwa kiongozi wa serikali atakufa?
 
Wakati wa Mwalimu Nyerere kulikuwa na Waziri asiye na wizara maalumu na mara nyingi hapa aliwekwa Mzee Kawawa

Hongera mh Mkuchika wewe sasa utakuwa Waziri "kiraka"

Kila zama na kitabu chake.

Maendeleo hayana vyama!
Kwa watu wanaojua kusoma ndani ya mistari, au wanaojua kusoma midomo ya wasemaje, na wanaojua Tanzania iko vipi, naweza kusema huu ni uteuzi sahihi kabisa katika wakati mwafaka kabisa. Naweza kusema kwa uteuzi wa huyu mzee au uwepo wake tu hata kama asingeteuliwa, unafanya baadhi ya watu tulale usingizi mnono bila kuwa na hofu yoyote juu ya Tanzania.
 
Wakati wa Mwalimu Nyerere kulikuwa na Waziri asiye na wizara maalumu na mara nyingi hapa aliwekwa Mzee Kawawa

Hongera mh Mkuchika wewe sasa utakuwa Waziri "kiraka"

Kila zama na kitabu chake.

Maendeleo hayana vyama!
Sijamsikia wala kumuona Mzee Mkuchika siku nyingi.
 
Alirudi na alikuwa dodoma hospital mpaka siku anaagwa jiwe, huyu mzee wa newala alikuwa mahututi kitandani,. Ngoja nipeleleze tena hali yake ikoje
Huyu mzee namuombea apone kabisa tena kabisa maana anajua kuishi na watu vizuri sn
 
Back
Top Bottom