Mkulima mbaroni kwa kumvunjia heshima Rais Samia na Dkt. Kikwete mtandaoni

Daaa, sasa faida ya hayo aliyofanya ni nini?
 
Ni ujinga tu.

Watu wanakwapua mabilioni, ripoti za cag zimejaa madudu wanakenuliana meno.
 
Sasa umuhimu wa JF kuwa anonymous ji nini? Kama mnaogopa kuiweka na huku?
 
Tupo busy kukamata watu mitandaoni badala ya kukaa kama kwa pamoja tujadili jinsi ya kukabiliana na majanga maana yapo...hizi drama za kitoto zikiendelea hatutaacha kutumia kamba za kufungia mbuzi kuzitumia kwenye majanga badala ya kuwa na Wazamiaji kwenye kina kirefu...
 
sawa mzee wa "hence"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…