Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Niliifuta Hata hivyo nisingeweza kuiweka hapaHebu iweke hapa.
Huu uzi bila ka-video ka kusindikizia ni batili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliifuta Hata hivyo nisingeweza kuiweka hapaHebu iweke hapa.
Huu uzi bila ka-video ka kusindikizia ni batili
N wimbo flan hv wa Kingereza maarufu sana ila nimeusahau jinaNyimbo ni nzuri au ina matusi? Hiki ni katoto wakipige viboko wakiache hakitarudia tena
Daaa, sasa faida ya hayo aliyofanya ni nini?MKAZI wa Kidete mkoani Morogoro anayejishughulisha na kilimo,Piniston Nzali (20) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kujibu mashtaka matatu ya kuchapisha mtandaoni taarifa yenye kuharibu hadhi ya Rais wa sha Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiimba kosa alilolitenda Oktoba 10, 2022 huku akijua kuwa jambo hilo halina ukweli.
Katika shtaka la mwisho, inadaiwa katika tarehe tofauti kati ya Oktoba Mosi, 2022 na Oktoba 20, 2022 mshtakiwa alitumia laini ya simu ambayo awali ilikuwa inamilikiwa na Benjamani Chaji bila kutoa taarifa ya mabadiliko ya umiliki kwa mtoa huduma.
Hata hivyo, mshtakiwa amekana mashtaka hayo na amerudishwa mahabusu mpaka kesho kesi hiyo itakapotajwa kwa ajili ya kueleza hatua za upelelezi ulipofikia.
View attachment 2412715
Shangaa na weweEnzi zile sasa tungesikia makelele feki ya Haki za binadamu na demokrasia.
Aisee ....
Awamu ile ukipelekwa mahakamani shukuru Mungu. Mara nyingi walikuwa wanakuulia poriniIngekua awamu ile zingesikika kelele za udikteta
Awamu ile ukipelekwa mahakamani shukuru Mungu. Mara nyingi walikuwa wanakuulia porini
Aliimba wimbo gani?Ila ile video mama akiwa anaimba ilinichekesha sana 😂 utadhani kweli
Katiba inasemaje kuhusu kumkosoa raisi?Tuishi kwa mujibu wa sheria na kanuni pamoja na katiba ya jamuhuli
Iwekeni hapaIla ile video mama akiwa anaimba ilinichekesha sana 😂 utadhani kweli
Una ujinga sana, na ukabila. Msukuma mwenzako is dead. Take it or leave itIngekua awamu ile zingesikika kelele za udikteta
Acha ujuaji wa kishambaKutokujua kosa sio utetezi wa kisheria. Au kwa lugha ya kilatini ignorantia juris non excusat.
Noma sanaI can guarantee freedom of speech but I can't guarantee u freedom after speech
Una ujinga sana, na ukabila. Msukuma mwenzako is dead. Take it or leave it
sawa mzee wa "hence"Hizo pesa za kuhangaika na watu hawa minor wangezipeleka VETA au kule wanakopeleka TOZO zetu hence kutupunguzia TOZO huenda badala ya kutumia nguvu kuziba midomo kwa wanaomuona Mtawala kwa jicho la ku-criticise wangemuona vinginevyo..., hence wasingehangaika kuziba watu midomo...
Hivi wale kila siku wanaojaza humu nyuzi kwamba anaupiga mwingi sio wapotoshaji pia hence wafunguliwe mashitaka !!!
Huenda huyo Mkulima alishikwa na msongo wa mawazo hence kuchanganyikiwa kutokana na bei ya mbolea kuwa juu... Na sisi walaji sijui tumekosa mazao kilo ngapi kwa kupoteza hii nguvu kazi...