Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Mkunda hatuwezi kuwa watulivu wakati tunaibiwa na kutekwa kinyume cha sheria pia
Mali za mafisadi ndio zinalengwa na sio kitu kingine na kwasababu uwepo wake ni haramu sio dhambi wala kosa la jinai kukiteketezaKama umemuelewa kamaanisha maandamano ruksa, kuharibu mali no! So mnauweza kuunda Tahrir square sasa mkatulia kwa shift na watawalinda!
Mali za mafisadi ndio zinalengwa na sio kitu kingine na kwasababu uwepo wake ni haramu sio dhambi wala kosa la jinai kukiteketeza
Labda hujanielewa kutekezwa kwa mali ni kosa kisheria kama ni mali halali sio ya wizi kama ni haramu hakuna utakae mfunga tumia akili kidogo,Uharibifu wa mali ni jinai regardless ni ya nani technically! Ndicho anachomaanisha, so kama mnataka support ya jeshi ni kwamba uchomaji wa mali usimame. Kama ni za mafisadi itafanyika due process baadaye mkipewa nchi! Kuchoma maana yake ni kuchoma pesa za umma zilizotumika kuzitengeneza!
Sio ugomvi nimekupa ufahamu tu, take or leave it brotherLabda hujanielewa kutekezwa kwa mali ni kosa kisheria kama ni mali halali sio ya wizi kama ni haramu hakuna utakae mfunga tumia akili kidogo,
Umenipa ufahamu gani sasa hapo ?Sio ugomvi nimekupa ufahamu tu, take or leave it brother
Nenda kachome moto kila kilicho mbele yako utajua matokeo yake genius! Am outUmenipa ufahamu gani sasa hapo ?
Vilaza sana na ujinga kichwani ngoja tuichukue nchi yetu hapa target ni kuchukua ikulu na bunge tunaweza kuchukua nchi bila jeshiMliokuwa mnamtegemea huyo Mkunda mnachekesha sana.
Kwa kumuangalia tu unaona kabisa kichwani mwake hamna kitu.
Angalia tu hata alivyokuwa anasoma statement yake. Third grade reading level.
Tunaongozwa na vilaza nchi hii.
Huyo Samia sidhani hata kama anaweza kukuelezea concept yoyote ile ya kiuchumi na ukamwelewa!
Wewe nae kilaza tunachoma kama kawaida njoo tukuchome na weweNenda kachome moto kila kilicho mbele yako utajua matokeo yake! Am out
Wewe nae kilaza tunachoma kama kawaida njoo tukuchome na weweNenda kachome moto kila kilicho mbele yako utajua matokeo yake! Am out
Miundo mbinu ya mwendokasi ni mali za mafisadi? Kuvunja ATM's kusudio lake ni nini?Mali za mafisadi ndio zinalengwa na sio kitu kingine na kwasababu uwepo wake ni haramu sio dhambi wala kosa la jinai kukiteketeza
Kuiba kura na kupindua utawala wa kiraia na mauwaji ya kiholela holela na utekaji hovyo kusudio lake nini ? hii wewe ndio imekuuma sana sindiyo?Miundo mbinu ya mwendokasi ni mali za mafisadi? Kuvunja ATM's kusudio lake ni nini?
SawaMliokuwa mnamtegemea huyo Mkunda mnachekesha sana.
Kwa kumuangalia tu unaona kabisa kichwani mwake hamna kitu.
Angalia tu hata alivyokuwa anasoma statement yake. Third grade reading level.
Tunaongozwa na vilaza nchi hii.
Huyo Samia sidhani hata kama anaweza kukuelezea concept yoyote ile ya kiuchumi na ukamwelewa!
Kama umemuelewa kamaanisha maandamano ruksa, kuharibu mali no! So mnauweza kuunda Tahrir square sasa mkatulia kwa shift na watawalimbavu