NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
Mkuu wa majeshi yeye hafamu kuhusu utekaji na mauaji pia hajui kama tume ya uchaguzi sio huru.
Hebu ngoja kwanza nitafiti kuhusu elimu yake.
Kweli nimeamini kuwa ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni
Hebu ngoja kwanza nitafiti kuhusu elimu yake.
Kweli nimeamini kuwa ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni