Mkurugenzi aliyetenguliwa Mafia, kuchunguzwa kwa Ubakaji

Jiwe gizani ukisikia yalaa limempata mhusika. Punguza kupanic na kukurupuka
Uliyepanic ni wewe, post yako ya Kwa kwenye hii thread umesema tunaomkosowa mke wa DED wote hatuna akili, huoni kama hapa umetukosea adabu?
 
Wanawake mna wivu sana nyie, DED alipaswa kuhalalisha kabisa awe mke wa pili.
Wanaume ni wabinafsi sana
Sasahivi hawahawa wapo upande wa DED
Ila ni hawahawa wapo kumnanga mke wa Sedekia kuolewa tena.
 
😂 kwa style hii ndio maana hutokaa upate. Wenzako wanapiga hela waongeze mali , wewe unapiga hela uongeze michepuko
Wacha walimbikize Mali wafe kwa kisukari wawaachie watu watakua wanatembea na wake zao na binti zao.
Mimi sikudanganyi, supu kwa Sana, beer usiseme na michepuko. Silimbikizi Mali PSSSF yangu itanilinda.
 
Wacha walimbikize Mali wafe kwa kisukari wawaachie watu watakua wanatembea na wake zao na binti zao.
Mimi sikudanganyi, supu kwa Sana, beer usiseme na michepuko. Silimbikizi Mali PSSSF yangu itanilinda.
Wacha walimbikize mali watengeneze future nzuri ya watoto wao na vizazi vijavyo.
Baadae uje ulalamike viongoz wanatajirisha watoto wao na kuwaridhisha uongozi
 
Wanawake wana akili fupi sana. Mnisamehe kwa kusema ukweli. Au nasema uwongo ndugu zangu
 
Peleka moto mpelekee moto.....usikute Ded alisikiliza nyimbo za hawa vijana wa mjini akanata na biti
 
Eti Mzee wa kupambania
 
Shida ipo kwa mke wake. Mambo ya nyumbani yaishe nyumban tu. Wanawake wanatakiwa kuwa na Siri. Siri za ndani ziishie ndani. Jamaa akifungwa mke hakuna faida yoyote anapata
Okay ni kweli usemayo, Aibu yako.., aibu yangu...; Lakini let's say kweli huyu Binti ni under 18 (hatujui huenda huyu alitaka ila Kisheria ataambiwa alimshinikiza) let's say hakutaka Je tuki-sweep scenarios zote za kwamba mke afiche Siri na mtoto under 18 hawezi kushinikizwa siku akipatikana under 18 ambaye boss anatumia U-boss wake kufanya anachofanya ni nani wa kumtetea huyu Binti....

Siongelei scenario hii (binafsi sina Data) naongelea statement yako kwa ujumla kwama tukiitumia kama msaafu huenda kuna wengi wataumia....
 
Ukute mkurugenzi kajikimbikizia Mali halafu kaoa Machame.
 
Wanawake ni viumbe wa ajabu sana
Mwanamke atakuvumilia Kama umechepuka huko nje na mwanamke asiyemjua. Lakini beki tatu ambaye ana bikra zote halafu umri wake Ni under 18. Au rafiki yake au jirani, aisee Yuko tayari kupoteza kila kitu lakini uadibishwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…