KERO Mkurugenzi Garda World jitafakari, wafanyakazi tumekuchoka

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Unanikumbusha zenji nimeka zangu lindo kisiwani kaja boti man wa kisiwa na boti kaipaki nje. Kuja ndani tunapiga hesabu za mafuta ndani ya dakika 15 tu, kutoka nje boti haipo πŸ˜‚
Kazi ya Ulinzi ni ya Kiboya sana yaani kwanza Walinzi wanaonekana wana afya mgogoro na njaa kibao yaani kama sio mtu wa kujiongeza mtaani huko kwenye lindo utakuwa fala sana.
 
Kweli? Enh sasa hapo WS insight nafanyaje mkuu nizamepo
 
Mshahara mdogo lakin wanakula bange na gongo vibaya sana. Miksa stress hujui kesho yako.. ulinzi sio kaz walahi
Mkuu Mimi nilienda kuomba nafasi ya control room ndio nikatupwa lindo kwanza lakini nilikuwa na ishu zingine kabisa lengo la.kwenda kuomba pale niwe na uhakika wa kipato niombe mkopo sehemu. Lakini sasa ndio.nilikuja kugundua Ulinzi kwenye Kampuni za Kitanzania ni Upuuzi mtupu. Ma Supervisor nilikuwa nazinguana nao sana mpaka Zone Manager alishawahi kuniletea itikadi za kingese nilichomfanyia aisee hakuamini mpaka akajua Mimi ni Geti jeusi 🀣🀣🀣
 
Boss kama mungu inaboa sana. Kun shirika flan Tanzania linaongoz kufanya marketing Tanzania nalo lina bos kichefchef kam huyo. Ni balaa tupu
 

Hivi mwanaume unashindwa tafuta eneo zuri ukaweka matunda na Mboga Mboga ujapata faida ya 10,000 kwa siku mpaka ufanye kazi Garda World kama mlinzi?

Akili tegemezi ni mzigo!

Angalizo:

Ukiamua kuajiriwa umeamua kuwa mtumwq, mnafiki na mtu wa kujipendeza ( and either mshirikina sana au mtu wa ibada sana)
 

Heee! Sasa si kampuni itakosa mishahara, Tena this time huyu mkurugenzi boya ataitisha kikao kwa kutumia sauti iliyorekodiwa kwenye flash!
 
Umenikumbusha katika harakati za maisha, nikiwa na degree yangu, niliwahi kufanya kazi ya ulinzi KK Security. Nasikia nayo imechukuliwa na Gardaworld. Kazi ya ulinzi siyo ya kitoto. Unayemlinda anahisi wewe ni mtu baki kumbe hata elimu inawezakuwa unamzidi. Naamini ujumbe ameupata huyo mkurugenzi mpya kutoka Tigo.
 
Kabisa kabisa asee
 

Anaitisha kikao huku anakula nyeto hahahah nyie si ham muoni? Wazee wa speaker kwa speaker hahahahah watu wanadharau hii nchi!
 
Mkuu,

Tafadhali tueleweshe pima katika hili zonge!!!

Inasemekana Gardaworld imenunua KK Security na Ultimate Security na kuanzisha kampuni kwa usajili wa Tanzania iitwayo Gardaworld West. Lakini cha ajabu mchakato wa kuwabadilisha kutoka kampuni za zamani unafanyika kwa kampuni ya Ultimate Security pekee na kwamba hao ndio watalipwa wengine inadaiwa walishamalizana nao!
Je, kuna ukweli kiasi gani kuhusu mchakato huo kwamba KK Security na Gardaworld West wenyewe sio sehemu ya kulipwa? uttoh2002 Extrovert OKW BOBAN SUNZU Kalaga Baho Nongwa
Wakilipwa, Ultimate Security na KK Security wakaachwa ni halali na mahusiano kati ya walinzi wa kampuni hizo mfilisi zitakuwa katika hali gani na hujuma zikakosekana?
Elimu au ushauri unaotolewa na wataalamu wa kukodi una tija kwa kampuni na wafanyakazi au ni utumbuaji wa posho ambazo laiti watu wote wangelipwa wangepunguza gharama na hasara baada ya zoezi kukamilika kisha kesi nyingi kufunguliwa na baadhi yao wakidai kutoridhishwa na uendeshaji wa zoezi la uhamishaji ajira?
 
Mkuu mm sina utaalam sana na jambo hili mana sijawah kuwa mfanyakaz wa senior level katika kampuni. Lakin inawezekana hili likafanywa katika ngaz ya chini ili kuficha vitu vingi kutetea maslahi ya kampuni na kuipigania faida
 

We fanya kazi; ukiona umechoka wacha, achana na uharakati kwenye kazi za watu, Sifa ya kuajiriwa ni Kuwa mnafikiri, mvumilivu, Mmbeya na mtu wa kujipendekeza
 
We fanya kazi; ukiona umechoka wacha, achana na uharakati kwenye kazi za watu, Sifa ya kuajiriwa ni Kuwa mnafikiri, mvumilivu, Mmbeya na mtu wa kujipendekeza
Boss uttoh2002
Mawazo na maoni ya mwingine yaheshimiwe
Eti mfanyakazi ajivike sifa za
1. Unafiki
2. Kuvumilia
3. Kujipendekza
4. Mmbeya (mtu wa kutia chumvi au kuongeza maji mengine) kuondoa au kukoleza ladha ya sifa au lalamiko wakati anateseka na kuogelea kwenye viashiria vya umasikini kwa mshahara wa kula bia kuweka akiba kwa maendeleo binafsi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…