KERO Mkurugenzi Garda World jitafakari, wafanyakazi tumekuchoka

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Ni mfumo tuu watu wana taka kuonana onana kila saa na ndio mwanzo wa kuharibiana CV bwana Luq hataki 😆
Kwenye huo mfumo kuna kama socket una bonyeza mnaweza kusikilizana na kuongea wote wawili
Majungu tu. Ukiwaendekeza Wabongo makazini wataharibia haraka sana.
 
Salute.

Naomba niende kwenye maada mimi kama askari (mlinzi) wa kampuni binafsi wa Garda world nimeamua kutumia platform hii kuleta kero ya kiongozi wetu mkuu wa kampuni ya ulinzi Garda world.

Kiukweli kiongozi wetu LuQmay tangu umepata kazi kwenye kampuni yetu sisi kama walinzi upande wa ultimate zamani kiukweli umekuwa tatizo kubwa na ni kero katika ufanyaji kazi.

Kwanza tangu umepata nafasi ya kuendesha kampuni ukitokea tigo hujawahi kuitisha kikao ujue wafanyakazi wako wanapitia shida gani na Nini malengo yako katika kampuni badala yake umekuwa (MUNGU MTU).

Naomba nieleze hapa kampuni ya ultimate kabla yakuwa Gardaworld imepitia mikononi mwa wamiliki wengi na Kila walipokuwa wanaamua kuuza kampuni Kwa mmiliki mwingine tulikuwa tuitwa kinafanyika kikao tunaeleweshwa na karibu hao maboss wote watu Ziballa & shivva nk.

Walikuwa wanafanya press tunajulishwa Kila kitu na walitoa pesa ya Asante nakumbuka nilipokea 1.2m maana nilifanya kazi Kwa miaka kumi na kipindi hicho chote tukiwa ultimate Kila baadae ya miezi sita.

Mkurugenzi aliitisha kikao tukasema kero zetu na zikafanyiwa kazi sasa tangu kampuni ya ultimate iuzwe na kuchukuliwa na Garda world.

Kiufupi tunaona tunaendeshwa kihuni hivi inakuwaje tunaenda kumuona mkuu wa mkoa mh chalmila hatupati ugumu wa kumuona iweje kwako Mkurugenzi ndugu luQmay utuwekee uzibe tusikuone kuleta kero zetu.

Pli kampuni imeuzwa mmiliki ambao ni wazungu wamekupa fedha wafanyakazi walipwe kama fidia ya kubadili mikataba Yao kutoka ultimate kwenda Garda world lakini kutokana na roho yako mbaya unataka kutuzima kinguvu Ili fungu uchukue na ni pesa nyingi ukiweza kutuzima tunaamini utatajirika sana tatu week mbili nyuma umenitisha kikao tumekuja kwenye kikao umetuwekea spika ndani ya ukumbi Yani wewe na team yako ya upigaji munaongea bila kuonekana sisi tunasikia tu kwenye spika mtu hatumuoni it's ok hata kama mmeamua kutufanya wajinga lakini sio Kwa level hiyo kikao.

Kilivyoshindikana ukapanga kikao tarehe Saba ulivyosikia na sisi tunakuja na wanasheria wetu mkaahirisha kikao Kwanini kiongozi LuQmay usijifunze

Kwa wenzio akina Eliuta mwanjawike walikuwa wanakula na kipofu alikuwa hakimbiii wafanyakazi mwisho usifikiri utatuendesha kirahisi kama unavyodhani..

Pia sisi tulidhani wewe mtu mweusi uwe mkombozi wetu Kwa hao wazungu lkn wewe ndio umekuwa mwiba kwetu hata kama ukifanikiwa kutudhurumu it's tutakuombea hata Dua mbaya tu maana mahakamini tukipekeleka kesi tukishinda unakuja kuappeal then uinaweka kapuni na kutishia kufukuza kazi wafanyakazi.

Ila Kwa hili la malipo ya mikataba tutaenda hata ubalozi wa Canada kushinikiza waiitwe wamiliki wa kampuni mwisho jifunzeni G4s na SGA uone kampuni zinavyoendeshwa.
Kijana mambo ya kunianika huku sio vizuri 😊
 
Kuna kazi yao niliwahi kufanya arusha,, walichukua tenda hapo International school of moshi (ISM) ya kuwafungia electric fence na camera za ulinzi,, Aloooo jamaa kwenye malipo ni wababaishaji sana
 
Majungu tu. Ukiwaendekeza Wabongo makazini wataharibia haraka sana.
we jamaa kiazi sana na sina shaka kama huko nyuma uko salama 🌈 huwezi Kila kitu ukaingiza maneno majungu nyie ndio mnaoteka raia mitaani we ungekuja hapa Kwa fact na najua ww ni member wa Garda world badilikeni hata hao walinzi sio kama wa zaman asaiv walinzi wengi 60% ni graduate walio kosa kazi Kwa Sheria wanajua sio kama zaman umsukume tu kama mtt badilika mkuu
 
Say No to GARDAWADA.
Jeshi la Polisi ambao mnasajili kampuni za Ulinzi take this note kama redflag ya uhalifu ujao.
Wadau/wateja epukeni hii kampuni soon Walinzi/wafanyakazi wataanza kufanya hujuma kulipa kisasi.
Tia kwenye dustbin hii kampuni wakose wateja
serikali yetu huwa hawatilii mkazo vitu kama hivi sijui kwann pale gada tumeungana na kk lkn upande wa kk mh mwinyi ni share holder wa kampuni lkn hawana say yoyote ni kama hawaijui.
 
Kmmke Tatz walinzi wengu shule ndogo sa jamaa anawachukulia poaa.
nimeheshimu hiyo profile sura ya mwamba ningekujibu ovyo....binafsi Nina diproma hiyo ni elimu ndogo lkn Kuna Wana kibao graduate wanapiga part time kusikilizia michongo lkn tukikutana malindoni na watu dizaini yako mnatuleteaga dharau sana..
 
.......umetuwekea spika ndani ya ukumbi Yani wewe na team yako ya upigaji munaongea bila kuonekana sisi tunasikia tu kwenye spika mtu hatumuoni it's ok hata kama mmeamua kutufanya wajinga lakini sio Kwa level hiyo kikao.....

Hivi hata akikaa pekeyake anajisikiaje
🤣🤣🤣akina mafwele wako wengi mi nadhani ni kuto kuwa na hofu ya mungu unajua Kuna watu wamekaa wanajua huyu ndio mkombozi wetu kumbe vise versa😭😭
 
Miungu watu kwenye maofisi ni wengi Sanaa
Kuna NGO moja iko Moshi jamani Yule boss ni kizunguzungu anapenda kuabudiwaaa anapelekesha watu kama kawazaa ye ye. Hataki mfanyakazi aambaye yuko na akili huru

Mwanamke wake ambaye hata elimu yake haieleweki ndo anampandisha cheo daily wakati kwenye ukaguzi wa wafanyakazi yule demu ndo anafanya vibaya Sana.

Mwenyekiti wa body amemuweka mahali ambapo anammudu.

We baba Kiama yako inakuja mda si mrefu
 
Back
Top Bottom