Mkurugenzi Geita afunga safari china kujifunza kuendesha wilaya hiyo kwa pesa kwa pesa za halmashauri

Mkurugenzi Geita afunga safari china kujifunza kuendesha wilaya hiyo kwa pesa kwa pesa za halmashauri

Hako kabinti ni miongoni mwa vidada vilivyo kula shavu vikiwa havijui lolote kiutendaji,yaani kalimaliza tu Degree UDOM kakapewa Ukurugenzi Wilaya ya Chemba kisha kakahamishiwa huko Geita,ni katoto ka Muhidin Issa Michuzi
Hivi Muhdin Michuzi ni ile kazi yake tu ya uandishi ndio inampaisha hivyo au ana kazi nyingine hatuijui?
 
habari imeandikwa kiushabiki, wanao changia wanachangia kiushabiki ukweli ukija kuwekwa watu watakataa kwa kuwa tayari wana imani na uwongo ulio tangulia
Tuongee tu ukweli, China utajifunza nini ili ufanye Geita usukumani ambapo bado ulozi ni ushujaa?

Mbona kuna mengi ya kushughulikia kabla hajarukia China?

Ingefaa akajifunze Moshi au wilaya ya Ilala tu.

Huko China hakuna level ya mafunzo utaifanyia kazi Geita
 
Hakuna cha kushangaza hapa. Hiyo ndiyo kamba yake hivyo ni wazi anakula kwa urefu huo hata kama ni kwenda China kujifunza jinsi ya kuendesha mambo katika Wilaya yake.
 
Hako kabinti ni miongoni mwa vidada vilivyo kula shavu vikiwa havijui lolote kiutendaji,yaani kalimaliza tu Degree UDOM kakapewa Ukurugenzi Wilaya ya Chemba kisha kakahamishiwa huko Geita,ni katoto ka Muhidin Issa Michuzi
Nilisema humu kuhusu hivi vyeo vya kupeana peana kwa connection, ukichunguza kwa asilimia kubwa hii nchi ipo hapa ilipo kwasababu ya vyeo vya kupeana peana kwa kujuana na sio kwa kuangalia uwezo wa mtu.
Na hatuwezi kutoka hapa mpaka huo ujinga uishe.
 
.
20231018_121545.jpg
 
Mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Geita amefunga Safari kwenda China kujifunza namna ya kuendesha mji huo, jambo ambalo limeleta maswali mengi kwa wananchi kwa matumizi mabaya ya Pesa za walipa kodi ambao kimsingi ndio wananchi.

Hata hivyo Mkuu wa wilaya ya Geita Mh. Cornell Magembe ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani humo kuchunguza Fedha zilizotolewa na halmashauri hiyo ya mji wa Geita, kumpeleka Mkurugenzi wa halmashauri hiyo Bi. Zuhura Michuzi kwenda China kwa ziara ya kujifunza namna ya kuendesha halmshauri hiyo ya mji wa Geita.
Kweli MILANGO, SAFARI, MZUNGUKO WA PESA UMEFUNGUKA!
MAMA SAMIA OYEEEE....
 
Tuongee tu ukweli, China utajifunza nini ili ufanye Geita usukumani ambapo bado ulozi ni ushujaa?

Mbona kuna mengi ya kushughulikia kabla hajarukia China?

Ingefaa akajifunze Moshi au wilaya ya Ilala tu.

Huko China hakuna level ya mafunzo utaifanyia kazi Geita
Ilala sio pa kujifunza ni Moja kati ya wilaya careless ajabu Bora ajifunze hata korogwe au huko nyanda za juu kusini
Ilala hovyo sana labda aje kujifunza dhulma na matumizi mabovu ya pesa
 
Mtu anakuwaje mkurugenzi mara mbili hyo si ndio mkurugenzi wa geita gold inakuwaje tena anakuwa na vyeo viwili kwa pamoja wataalam mnasemaje hapo bora hata angesema anaenda kujifunza kuendesha geita gold kidogo inge make sense.
 
nchi hii kwa kusaigiana kunguni watu hamjambo yaani mnataka ankali mithupu mwanae amwage mboga au? aisee tanzania ngumu sana ila ndio hivyo uone kwamba wasio na ajira walivyo wengi na wanahangaika kila uchao kuhakiklisha kila mtu anatumbuliwa utadhani watateuliwa wao, kila siku nawasanueni humu utumishi wa umma wa kibongo ni utumwa believe me.
 
Back
Top Bottom