Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Hii nchi inachezewa sana kmmk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm Hata Ukiweka Moto Hawaogopi KabisaHii nchi inachezewa sana kmmk
timiza wajibu wako sehemu yako ya kazi, ukifanya ivo itasaidia kuliko hizi kelele za majizi majiziMajizi Tutalala Nayo Mbele
timizeni wajibu wenu sehemu za kazi hizi kelele za kitoto hazisaidiiWewe ndiye DED mwenyewe au DED wa Geita ni ndugu yako!
Hivi Muhdin Michuzi ni ile kazi yake tu ya uandishi ndio inampaisha hivyo au ana kazi nyingine hatuijui?Hako kabinti ni miongoni mwa vidada vilivyo kula shavu vikiwa havijui lolote kiutendaji,yaani kalimaliza tu Degree UDOM kakapewa Ukurugenzi Wilaya ya Chemba kisha kakahamishiwa huko Geita,ni katoto ka Muhidin Issa Michuzi
Kapata kazi kwa connection ya baba yake ambaye alikuwa mpiga picha IkuluHako kabinti ni miongoni mwa vidada vilivyo kula shavu vikiwa havijui lolote kiutendaji,yaani kalimaliza tu Degree UDOM kakapewa Ukurugenzi Wilaya ya Chemba kisha kakahamishiwa huko Geita,ni katoto ka Muhidin Issa Michuzi
Tuongee tu ukweli, China utajifunza nini ili ufanye Geita usukumani ambapo bado ulozi ni ushujaa?habari imeandikwa kiushabiki, wanao changia wanachangia kiushabiki ukweli ukija kuwekwa watu watakataa kwa kuwa tayari wana imani na uwongo ulio tangulia
Hako kabinti ni miongoni mwa vidada vilivyo kula shavu vikiwa havijui lolote kiutendaji,yaani kalimaliza tu Degree UDOM kakapewa Ukurugenzi Wilaya ya Chemba kisha kakahamishiwa huko Geita,ni katoto ka Muhidin Issa Michuzi
Brother Jassan Jattin mambo vipi Bepari wa Ukerewe...Hako kabinti ni miongoni mwa vidada vilivyo kula shavu vikiwa havijui lolote kiutendaji,yaani kalimaliza tu Degree UDOM kakapewa Ukurugenzi Wilaya ya Chemba kisha kakahamishiwa huko Geita,ni katoto ka Muhidin Issa Michuzi
Kweli MILANGO, SAFARI, MZUNGUKO WA PESA UMEFUNGUKA!Mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Geita amefunga Safari kwenda China kujifunza namna ya kuendesha mji huo, jambo ambalo limeleta maswali mengi kwa wananchi kwa matumizi mabaya ya Pesa za walipa kodi ambao kimsingi ndio wananchi.
Hata hivyo Mkuu wa wilaya ya Geita Mh. Cornell Magembe ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani humo kuchunguza Fedha zilizotolewa na halmashauri hiyo ya mji wa Geita, kumpeleka Mkurugenzi wa halmashauri hiyo Bi. Zuhura Michuzi kwenda China kwa ziara ya kujifunza namna ya kuendesha halmshauri hiyo ya mji wa Geita.
Ilala sio pa kujifunza ni Moja kati ya wilaya careless ajabu Bora ajifunze hata korogwe au huko nyanda za juu kusiniTuongee tu ukweli, China utajifunza nini ili ufanye Geita usukumani ambapo bado ulozi ni ushujaa?
Mbona kuna mengi ya kushughulikia kabla hajarukia China?
Ingefaa akajifunze Moshi au wilaya ya Ilala tu.
Huko China hakuna level ya mafunzo utaifanyia kazi Geita
Wew itakuw Chawa WA uyo Bi zuhurhabari imeandikwa kiushabiki, wanao changia wanachangia kiushabiki ukweli ukija kuwekwa watu watakataa kwa kuwa tayari wana imani na uwongo ulio tangulia
nenda kasome majibu ya tuhuma hizi na vielelezo wameweka ndo mtajua huwa mnaongea kimuhemkoWew itakuw Chawa WA uyo Bi zuhur
Tuletee hapa hayo majibnenda kasome majibu ya tuhuma hizi na vielelezo wameweka ndo mtajua huwa mnaongea kimuhemko
mbona yapo humu tafuta huo uziTuletee hapa hayo majib