Hii sii kweli!, Tanzania tuna waandishi wengi tuu, ambao wako bold, na pia tuna media ziko very bold, ikiwemo Jambo TV.Nchi hii mwandishi mwenye maswali ni mmoja tu... Pascal Mayalla
Wengineo ni empty vichwani
unauhakika gani kama hakuna waandishi walio hoji?Mafuta yanapanda almost 25% nauli unataka ibaki vilevile??
Tatizo lingine sekta ya waandishi wa habari nayo ishaingiliwa imejaa upumbavu kiasi chake, kwanini mtu anavyotoa taarifa kama hio asitokee mwandishi amhoji maswali kua hilo linawezana vipi?
Naunga Mkono hojaHii sii kweli!, Tanzania tuna waandishi wengi tuu, ambao wako bold, na pia tuna media ziko very bold, ikiwemo Jambo TV.
P
In times like this, governments that care about their people suspend sales tax on petroleum products to keep the prices a little lower!Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imewataka wadau wote wa sekta ya usafirishaji nchini, kutopandisha nauli kwa kigezo cha kupanda kwa bei za mafuta na badala yake wafuate utaratibu rasmi utakaowekwa na watakaopandisha hawatasita kuwachukulia hatua kali za kisheria.
Akitoa kauli hiyo Kibaha mkoani Pwani wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari, Mkurugenzi Mkuu wa Latra CPA. Dkt. Habibu Suluo, amesema Aprili 8 ndio kitafanyika kikao cha wadau kujadili jambo hilo jijini Dar es Salaam.
Akaongeza kuwa wasafirishaji wanapaswa kujua kuwa hata wananchi bei hizo mpya zinawaumiza na hivyo nao wawe na huruma nao siyo kukimbilia tu kupandisha bei ya nauli.
Mkurugenzi huyo akaongeza kuwa wasafirishaji wote wanaotaka nauli zipande waje na maelezo ya kina namna wanavyotaka ipande na iwe kwa kiasi gani kwa mujibu wa sheria zinavyowataka.
😆😅😄🤣😢😁Akiba ya mafut ipo hadi July,
Hii kauli tuiache kama hii ilivyotuacha
Ungekuwa mfanyabiashara ungekubali toa 50,000 extra kulipia lita 50 unazotumia kila siku?Bei lazima iwe regulated sio kuamua tu vile mtu anataka ,katika jambo hili nipo pamoja na LATRA