Mkurugenzi LATRA: Asipandishe mtu nauli kwa kusingizia mafuta kupanda

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imewataka wadau wote wa sekta ya usafirishaji nchini, kutopandisha nauli kwa kigezo cha kupanda kwa bei za mafuta na badala yake wafuate utaratibu rasmi utakaowekwa na watakaopandisha hawatasita kuwachukulia hatua kali za kisheria.

Akitoa kauli hiyo Kibaha mkoani Pwani wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari, Mkurugenzi Mkuu wa Latra CPA. Dkt. Habibu Suluo, amesema Aprili 8 ndio kitafanyika kikao cha wadau kujadili jambo hilo jijini Dar es Salaam.

Akaongeza kuwa wasafirishaji wanapaswa kujua kuwa hata wananchi bei hizo mpya zinawaumiza na hivyo nao wawe na huruma nao siyo kukimbilia tu kupandisha bei ya nauli.

Mkurugenzi huyo akaongeza kuwa wasafirishaji wote wanaotaka nauli zipande waje na maelezo ya kina namna wanavyotaka ipande na iwe kwa kiasi gani kwa mujibu wa sheria zinavyowataka.

Mbona EWURA wamepandisha

Ova
 
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), Habibu Suluo, ametoa rai kwa wasafirishaji nchini kutokuchukua maamuzi ya kupandisha nauli bila kufuata utaratibu uliowekwa kisheria, akisisitiza umuhimu wa utulivu huku mamlaka ikiendelea kufuatilia mwenendo wa gharama za uendeshaji, ikiwemo kupanda kwa bei ya mafuta.

Akizungumza katika kikao na waandishi wa habari, hapo mapema Leo Kibaha Mkoa wa Pwani , Suluo amesema LATRA imepokea taarifa za baadhi ya wasafirishaji kupandisha nauli kiholela, hali inayowaathiri watumiaji wa huduma, na kusisitiza kuwa hatua za haraka zimechukuliwa kwa kuitisha kikao cha wadau kitakachofanyika Aprili 8, 2026, ambapo kitajadili na kutoa mwongozo rasmi kuhusu suala hilo.

Alisema kikao hicho kitakuwa wazi (live) ili kuwapa fursa wadau wote, wakiwemo wasafirishaji na watumiaji, kushiriki moja kwa moja au kwa njia ya mtandao na kutoa maoni yao kabla ya maamuzi kufikiwa.

kuwa na uvumilivu katika kipindi hiki cha mpito na kuzingatia sheria, huku akiwahakikishia kuwa serikali iko tayari kusikiliza changamoto zao na kutafuta suluhisho la pamoja.

“Tunaomba tuendelee na utamaduni wa kukaa pamoja na kujadiliana. Hili ni changamoto ya dunia nzima, hivyo ni muhimu tukashirikiana ili kupata njia sahihi ya kuvuka kipindi hiki,” alisema
Waarabu wenye asili ya omani waliopo Tanzania (wale waliochangia kampeni za ccm) pale mlimani city ndiyo waagizaji wa mafuta na wasambazaji pia.
Hawa ndiyo wenye vituo vingi vya mafuta nchini.
Makonda ana depo ya mafuta kigamboni ni wazir na mbunge Tena akiwa mwandani wa bibi muuwa watu hapo magogoni.
Waziri mkuu anamiliki mabus ya ester luxury
Shabiby yumo bungeni na ni msafirishaji pia.
Abood yumo bungeni na ni msafirishaji
Kwann nauli isipande Sasa?
 
Wanataka vyombo viendeshwe kwa majichumvi labda 😛😛
 
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imewataka wadau wote wa sekta ya usafirishaji nchini, kutopandisha nauli kwa kigezo cha kupanda kwa bei za mafuta na badala yake wafuate utaratibu rasmi utakaowekwa na watakaopandisha hawatasita kuwachukulia hatua kali za kisheria.

Akitoa kauli hiyo Kibaha mkoani Pwani wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari, Mkurugenzi Mkuu wa Latra CPA. Dkt. Habibu Suluo, amesema Aprili 8 ndio kitafanyika kikao cha wadau kujadili jambo hilo jijini Dar es Salaam.

Akaongeza kuwa wasafirishaji wanapaswa kujua kuwa hata wananchi bei hizo mpya zinawaumiza na hivyo nao wawe na huruma nao siyo kukimbilia tu kupandisha bei ya nauli.

Mkurugenzi huyo akaongeza kuwa wasafirishaji wote wanaotaka nauli zipande waje na maelezo ya kina namna wanavyotaka ipande na iwe kwa kiasi gani kwa mujibu wa sheria zinavyowataka.

Mungu amsaidie mtu huyu,
 
Vipi kuhusu vituo ambavyo vilificha mafuta ile Jumanne tarehe 31 March 2026?? Amesema neno?
 
Mafuta yanapanda almost 25% nauli unataka ibaki vilevile??

Tatizo lingine sekta ya waandishi wa habari nayo ishaingiliwa imejaa upumbavu kiasi chake, kwanini mtu anavyotoa taarifa kama hio asitokee mwandishi amhoji maswali kua hilo linawezana vipi?
Ithibati..
 
Mafuta yakipanda automatically gharama za maisha zitapanda kila kitu kitapanda bei.

Serikali zenye akili zina futa kodi na ushuru kwenye mafuta ili kuzuia bei ya mafuta kupanda na kudhibiti mfumuko wa bei ,na hiyo ndiyo maana ya serikali kwa ajili ya manufaa maslahi na faida ya wananchi wake.
 
Exactly 💯

Ova
 
Hata angesema wanaangalia uwezekano kuwas
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imewataka wadau wote wa sekta ya usafirishaji nchini, kutopandisha nauli kwa kigezo cha kupanda kwa bei za mafuta na badala yake wafuate utaratibu rasmi utakaowekwa na watakaopandisha hawatasita kuwachukulia hatua kali za kisheria.

Akitoa kauli hiyo Kibaha mkoani Pwani wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari, Mkurugenzi Mkuu wa Latra CPA. Dkt. Habibu Suluo, amesema Aprili 8 ndio kitafanyika kikao cha wadau kujadili jambo hilo jijini Dar es Salaam.

Akaongeza kuwa wasafirishaji wanapaswa kujua kuwa hata wananchi bei hizo mpya zinawaumiza na hivyo nao wawe na huruma nao siyo kukimbilia tu kupandisha bei ya nauli.

Mkurugenzi huyo akaongeza kuwa wasafirishaji wote wanaotaka nauli zipande waje na maelezo ya kina namna wanavyotaka ipande na iwe kwa kiasi gani kwa mujibu wa sheria zinavyowataka.

Walau angeonekana wa maana hata aseme tu kuwa wanawasiliana na Mamlaka zingine kuona namna ya kumtua mzigo mwananchi kutokana na hili kwa kuzishauri Mamlaka nini cha kufanya based kwenye eneo lao. Ila hicho alichokisema haki reflect uhalisia ni kujipambanua kusiko na mantiki na ni non sense na useless content and context!
 
Watu wanapandisha nauli kiholela, hao wanabaki kutoa matamko hewa bila utekelezaji
 
Mafuta yanapanda almost 25% nauli unataka ibaki vilevile??

Tatizo lingine sekta ya waandishi wa habari nayo ishaingiliwa imejaa upumbavu kiasi chake, kwanini mtu anavyotoa taarifa kama hio asitokee mwandishi amhoji maswali kua hilo linawezana vipi?
Mbona mafuta yakishuka bei hamshushi nauli
 
Back
Top Bottom