Mkurugenzi LATRA: Asipandishe mtu nauli kwa kusingizia mafuta kupanda

Aliskika msemaji mmoja anasema hili swala la mafuta haliwahusu wao maana ukiwa na kadi ya chama unaonyesha tu unapewa punguzo
 
Hilo ongezeko la bei italipa LATRA? Anaumwa mavi huyu.
 
Kesho mgomo hautakuwepo ila magari mengi hayataenda popote pale.
 
Mafuta yanapanda almost 25% nauli unataka ibaki vilevile??

Tatizo lingine sekta ya waandishi wa habari nayo ishaingiliwa imejaa upumbavu kiasi chake, kwanini mtu anavyotoa taarifa kama hio asitokee mwandishi amhoji maswali kua hilo linawezana vipi?
unauhakika gani kama hakuna waandishi walio hoji?
 
Tunaongozwa na mijitu mijinga,
Kuna sehemu tulikoseq na hii itatugharimu maisha yetu yoote..
Kupenyeza machawa,
1.Wapenda sifa
2.Walafi wa mali
3.Washamba wa madaraka
4.wajinga
Kwenye nafasi za uongozi ni kosa kubwa sana
 
In times like this, governments that care about their people suspend sales tax on petroleum products to keep the prices a little lower!
 
Hahaha, siasa hizi.
 
Huko mbona watu washapandisha wese

Ova
 
Mbeya tayari mambo yashaanza kujibu kwenye bajaji🤣🤣,TUTAKOMA.
 
Bei lazima iwe regulated sio kuamua tu vile mtu anataka ,katika jambo hili nipo pamoja na LATRA
 
Kama umechoka kuona faida ya biashara yako ikiteketea kwenye vituo vya mafuta kila bei ya EWURA ikipanda, sasa ni wakati wa kuachana na mazoea na kuhamia OASIS Electric ambapo kwa Unit 3 tu za umeme (Tsh 1,100) unapata uwezo wa kutembea kilomita 130 bila hitaji la oil wala service za injini; karibu tukufanyie uchanganuzi wa bure wa jinsi unavyoweza kuokoa zaidi ya Tsh milioni 3.5 kwa mwaka kwa kila pikipiki moja na kuanza kumiliki faida yako halisi leo.

0685665582
 
Ila wauza mafuta ruksaa😂 Ama kweli kila mtu na mnyonge wake
 
Bei lazima iwe regulated sio kuamua tu vile mtu anataka ,katika jambo hili nipo pamoja na LATRA
Ungekuwa mfanyabiashara ungekubali toa 50,000 extra kulipia lita 50 unazotumia kila siku?
Je hiyo 50,000 nani anakufidia?
Je konda wa daladala yeye atapata wapi pesa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…