adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,727
- 8,093
ni ongezeko la 35% ya bei ya awaliMafuta yanapanda almost 25% nauli unataka ibaki vilevile??
Tatizo lingine sekta ya waandishi wa habari nayo ishaingiliwa imejaa upumbavu kiasi chake, kwanini mtu anavyotoa taarifa kama hio asitokee mwandishi amhoji maswali kua hilo linawezana vipi?
Pascal Mayalla uwe basi una-read betwen the lines!Hii sii kweli!, Tanzania tuna waandishi wengi tuu, ambao wako bold, na pia tuna media ziko very bold, ikiwemo Jambo TV.
P
Inabidi iwe hivyo bossKuna shipper ashanitumia ujumbe mzigo wangu unaokuja malipo yatakuwa tofauti sio yale niliyozoea. Na mimi wateja wangu kuanzia 01/04/2026 bei ya bidhaa nimeongeza hakuna namna.
duh, TCRA imekula kichwa jambo tv siku 90Hii sii kweli!, Tanzania tuna waandishi wengi tuu, ambao wako bold, na pia tuna media ziko very bold, ikiwemo Jambo TV.
P
To read in between the lines,ni uwezo ambao sio kila mtu anao,hivyo kama umejaaliwa uwezo huo wa to read in between the lines,wasaidie na wengine.Pascal Mayalla uwe basi una-read betwen the lines!