Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
bibi faiza,mohammed saidi,the boss wanafurahi kurudi ukoloni wa imani zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sanaSawa tumekusikia
Kwa hiyo umeshajipanga kiwango gani kuwaingiza mkenge😂😂. Mabaharia mnaitwa na mdau huko😀😀Mliopata kazi kimchongo hapo TPA mjue mwarabu analeta mashine za kutosha hana muda wa kujaza watu wasio na tija kwenye payroll. Karibuni Handenina Mvomero Kuna mapori ya kutosha tuendeleze SEKTA ya Kilimo
Jambo letuWaheshimiwa wanaenda kupitisha azimio mapema tu
Sio watanganyika sema wachaga bro....hapo bandarini ushaonaga kuna watanganyika,wewe huoni mpaka mjomba mkubwa kaeka maridhiano pembeni kwanza kupambania kizazi chake.Na kazi zitakazohitaji watu 'human beings' atapendelea ndugu zake wazanzibari...watanganyika watazidi kuisoma namba
Angalieni ilivyo sasa kwenye ajira waarabu na wazanzibari hupeana wao kwa wao kwanza
amna kitu zaidi ya kujenga majumba wana nini....tunawasubili mtaani tununue majumba yao toangoma kwa bei mfu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Walishatajirika wana miradi
Ni mdini sn huyu mazaNa kazi zitakazohitaji watu 'human beings' atapendelea ndugu zake wazanzibari...watanganyika watazidi kuisoma namba
Angalieni ilivyo sasa kwenye ajira waarabu na wazanzibari hupeana wao kwa wao kwanza