Mkurugenzi Mkuu (TPA): Mkataba hauna miaka 100, muda bado haujaamuliwa. Tumemchagua DP World kwakuwa tuna uhakika tutakwenda kutatua changamoto zetu

Mkurugenzi Mkuu (TPA): Mkataba hauna miaka 100, muda bado haujaamuliwa. Tumemchagua DP World kwakuwa tuna uhakika tutakwenda kutatua changamoto zetu

Mliopata kazi kimchongo hapo TPA mjue mwarabu analeta mashine za kutosha hana muda wa kujaza watu wasio na tija kwenye payroll. Karibuni Handenina Mvomero Kuna mapori ya kutosha tuendeleze SEKTA ya Kilimo
Kwa hiyo umeshajipanga kiwango gani kuwaingiza mkenge😂😂. Mabaharia mnaitwa na mdau huko😀😀
 
Hahahaha,...yaani Tanzania hii niyakukabidhi kampuni za kigeni kuongoza sehemu nyeti za taifa kweli?
 
Bandari inahitaji taaluma na ubobevu mkubwa wa biashara za usafirishaji baharini na kimataifa. Mkurugenzi wa sasa wa TPA ni msomi wa sheria, Mwenyekiti wa sasa wa bodi ya bandari ni aliyewahi kuwa IGP mstaafu, Ernest Mangu. Kuna wakati hadi wanasiasa kama Renatus Mkinga waliwahi kuwa wajumbe wa bodi ya TPA!

Pamoja na mahitaji mengine yote eneo la bandari linahitaji vipanga waadalifu, watu wenye ubobevu mkubwa katika maritime logistics, shipping and ports management , internationala global supply chain management na nyingine zinazofanana na hizo. Hawa ndio watu wanaoweza kuelewa kwa upana mahitaji ya biashara ya bandari katika ufanisi wa muda na kupunguza gharama.

Uongozi wa bandari haujawahi kuwa wa ubora huo stahiki na kwa sababu hiyo hakuna maajabu yoyote yangetegemewa au kutokea kutokana na pengo hilo.
 
Huwa wanatanguliza maslahi yao mbele kwa kuweka wateuzi wao na sio kuangalia professionalism ya mtu, alafu wanakuja nyonyonyonyunyunyu mamaku zao, hata kama waliopo wanaiba hao bora wezi wa ndani wakitoka wanaenda kununua vifaa vya ujenzi kwenye maduka yetu na mashamba yetu kuliko hao waarabu wanaoenda kujenga huko buji alifa

Viongozi wa tanzania hawawezi kutumia akili hata siku moja
 
Na kazi zitakazohitaji watu 'human beings' atapendelea ndugu zake wazanzibari...watanganyika watazidi kuisoma namba

Angalieni ilivyo sasa kwenye ajira waarabu na wazanzibari hupeana wao kwa wao kwanza
Sio watanganyika sema wachaga bro....hapo bandarini ushaonaga kuna watanganyika,wewe huoni mpaka mjomba mkubwa kaeka maridhiano pembeni kwanza kupambania kizazi chake.
 
Back
Top Bottom