Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maharage wanaweza kumtoa muda si mrefu.Nilishangazwa Sana na kauli aliyoitoa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande, eti pamoja na mradi wa Umeme wa Bwawa la Nyerere, kukaribia kukamilika, watanzania tutegemee mgao zaidi wa Umeme, Kwa kuwa mahitaji ya Umeme wa nchi hii ni Megawatt 60,000[emoji41]
Maneno hayo aliyatoa katika mjadala maalum, ulioandaliwa na Mwananchi Twitter Space.
Hivi Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, anatufanya watanzania wote hatuna akili, tusiokumbuka maneno yaliyotolewa na viongozi wetu wakuu wa nchi, kabla ya kukamilika Kwa mradi huo mkubwa kabisa wa nchi, ambao watanzania tumekamuliwa zaidi ya shilingi trillion 7 kuwa mradi huo ndiyo utakaokuwa mkombozi Kwa nchi yetu, Kwa kuwa mradi huo unategemea kuzalisha Umeme wa Megawatt 2,115 na tutazalisha Umeme wa "surplus" ambao kama nchi tunategemea kuwauzia Umeme nchi za jirani, na hivyo kutengeneza pesa nyingi za kigeni.
Hivi Hawa viongozi wetu wanatuonaje watanzania, kiasi cha kupenda kutuongopea watakavyo?
Inavyoelekea huyo Maharage Chande, anatuandaa watanzania kisaikolojia, Ili tutakapoona mgao unaendelea, basi tujue kuwa KAZI INAENDELEA, ya kuuza majenereta yao[emoji20]
Mimi naona muarobaini wa tatizo hili sugu la kuongopewa watanzania wakati wote na viongozi waandamizi wa serikali hii ya CCM, ni kuwapiga chini watawala Hawa wa CCM na kukiingoza chama kingine Ili kiingoze nchi.
Bila hivyo matatizo ya watanzania hayatakuja kutatuliwa na watawala hawa wa CCM Hadi mwisho wa Dunia hii[emoji41]
====
Chande: Bado kuna safari ndefu kufikia umeme wa viwanda
Muktasari:
Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Maharage Chande amesema mradi wa Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere (JNHPP) ni sehemu ya juhudi za Serikali kuhakikisha kunakuwa na umeme wa kuendesha uchumi wa viwanda.
Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Maharage Chande amesema, licha ya juhudi za Serikali kuongeza vyanzo vya umeme likiwemo Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere (JNHPP), bado kuna safari ndefu kufikia umeme wa uchumi wa viwanda.
Ameyasema hayo leo Desemba 21 katika mjadala wa Mwananchi- Twitter Space unaoendeshwa na Kampuni ya Mwananchi Communications Limited.
Amesema Mradi wa Bwawa wa Kufua Umeme la Mwalimu Julius Nyerere (JNHPP) unaotarajiwa kukamilika mwaka 2024 ni sehemu ya hatua za kupunguza changamoto hizo.
“Mradi huu utaleta umeme mwingi kwenye gridi, lakini mradi huu ni moja kati ya hatua ya safari ndegu ambayo tunayo kama nchi ya kuzalishaji kusafirisha na kusambaza umeme,” amesema Chadema leo Desemba 21, 2022 wakati wa mjadala.
Katika ufafanuzi wake, Chande amesema utafiti uliofanyika katika majarida mbalimbali unaonyesha ili uwewe na umeme wa kutosha kwa ajili ya viwanda na kukuza uchumi kila watu milioni moja wanahutaji megawati 1,000.
“Kwa idadi ya watu milioni 60, utaona tunahitaji umeme megawati 60,000 lakini kwa sasa tuna megawati 1500, tukileta hii 2115 tutakua na takribani megawati 3,800. Tunakazi kubwa ya kuongeza uzalishaji wa umeme,” amesema Chande.
Katika hatua nyingine, Chande amesema kama hakutakuwa na changamoto, ratiba ya kukamilisha mradi huo inabaki kuwa mwaka 2024.
“Hakuna aliyetegema Covid19, utaona pia kama bwawa hilo ikitokea changamoto tutatoa taarifa lakini mambo yakienda vizuri Juni mwaka 2023 tutakuwa tumemaliza,” amesema
Kesho Desemba 22, 2022 Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua hatua ya kuanza kujaza maji katika bwawa hilo lililokamilika asilimia 79 ikiwa ni matokeo ya uwekezaji wa Sh6.5trilioni zitakazokata kero kabla ya 2025.
Bwawa hilo lenye uwezo wa kuhifadhi lita bilioni 33.2 za maji eneo la Mto Rufiji mkoani Pwani, lilianza kujengwa 2019.
Chanzo: Gazeti la Mwananchi
Hivi unajua awamu ya nne imeongeza umeme kiasi gani!?..unajua kabla ya project za awamu ya nne umeme ulikua ukizalishwa kiasi gani!?..unajua mgao ulianza lini!?..unaijua net group solutions na Hali ya umeme ilikuaje kipindi hicho!?..au umepata smart phone kipindi Cha magu ndo unafuatilia mambo kijuujuu!?...una umri gani!?Kwa hiyo ukame huandama Awamu ya 4 na hii tu? Kwa maana mgao wa sasa hivi ni copy&paste ya awamu ya 4, kubalini tu kwamba mko incompetent!
Hivi unajua awamu ya nne imeongeza umeme kiasi gani!?..unajua kabla ya project za awamu ya nne umeme ulikua ukizalishwa kiasi gani!?..unajua mgao ulianza lini!?..unaijua net group solutions na Hali ya umeme ilikuaje kipindi hicho!?..au umepata smart phone kipindi Cha magu ndo unafuatilia mambo kijuujuu!?...una umri gani!?
Ubungo 1&2,kinyerezi 1&2 zinatoa megawatts ngapi!?..maana ni kazi ya awamu ya nneSema kiasi gani Awamu ya 4 iliongeza?
Well said chief, projection by 2045 population ya TZ tutakuwa close to 100M. Power Consumption per capita at current capacity itakuwa imezidiwa vibaya mno. Tunahitaji vyanzo vya umeme zaidi kila mwaka.Mkuu Ulimuelewa Vibaya Ndugu Maharage Chande, Ukipitia Power Master Plan ya Nchi ndio utajua kuna Short term, Medium term na Long term ya mahitaji ya Nishati ya umeme iyo 60K ni Long term na nadhani ni miaka 25 ijayo ila katika short term MW 3000MW zinatosha nchi hii
Kwa sasa Total Installed Capacity ni 1605MW
Idadinm ya watu inaongezeka pia lazima uzingatie.Hivi wadau tujiulize kidogo...
Sasa hivi hata 5,000MW hatuna yaani tukimaliza Bwawa tutakuwa na mara mbili ya uzalishaji wa sasa...
Alafu unatwambia kwamba tunahitaji 60,000, yaani zaidi ya mara kumi ya capacity itakayo-double ?!!!!!
Ili zifanye nini kwa sasa na huo mgao kwanini uendelee wakati tulikuwa hatuna mgao kama huu wakati tuna less MW ?!!!!!
Au hizi ndio justification za kuendelea kununua mafuta na watu kuuzia umeme Tanesco ?!!!!
Mkuu kama kwa sasa tuko waTZ 60Million, ukichukua hiyo 6000MW ukagawanya kwa population unapata 60KW per head. Kwa shughuli combined za kiuchumi tena viwanda, 60KW consumption per capita mbona ni umeme wa kawaida sana. Haituchuki hata 10 years kma uchumi wa nchi inakua kwa kasi.nafikiri atakiwa amekosea labda alimaanisha 6,000Megawatt na Sio 60,000
Sisi hata baada ya Miaka 100. bado hatujafikia mahitaji hayo kaka
Naam sikatai ila tupo on the verge ya ku-double capacity ya uzalishaji (na hapo nyuma hata kabla ya hio doubling mgao haukuwa mkali kama wa hivi sasa) na wala sioni influx ya viwanda vyovyote taa na electrical appliances they are more energy efficient kuliko before....Idadinm ya watu inaongezeka pia lazima uzingatie.
Na hivyo viwanda vingi anavyovizungumzia yeye vitamwagika tu mara moja kama uyoga, kiasi kwamba hizo MW 2,000 zote zitakuwa hazitoshi katika muda wa miaka hata miwili wakati njia nyingine za ufuaji zikiongezwa?Kama kausema ukweli, kulikuwa na haja gani Kwa viongozi wetu wakuu wa Taifa, akiwemo aliyekuwa Rais wa awamu ya 5, Hayati Magufuli, kutuongopea kuwa mradi huo ndiyo utakaoweza kumaliza matatizo ya mgao wa Umeme nchini?
ccm ingepumzika kwanza tuNilishangazwa Sana na kauli aliyoitoa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande, eti pamoja na mradi wa Umeme wa Bwawa la Nyerere, kukaribia kukamilika, watanzania tutegemee mgao zaidi wa Umeme, Kwa kuwa mahitaji ya Umeme wa nchi hii ni Megawatt 60,000😎
Maneno hayo aliyatoa katika mjadala maalum, ulioandaliwa na Mwananchi Twitter Space.
Hivi Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, anatufanya watanzania wote hatuna akili, tusiokumbuka maneno yaliyotolewa na viongozi wetu wakuu wa nchi, kabla ya kukamilika Kwa mradi huo mkubwa kabisa wa nchi, ambao watanzania tumekamuliwa zaidi ya shilingi trillion 7 kuwa mradi huo ndiyo utakaokuwa mkombozi Kwa nchi yetu, Kwa kuwa mradi huo unategemea kuzalisha Umeme wa Megawatt 2,115 na tutazalisha Umeme wa "surplus" ambao kama nchi tunategemea kuwauzia Umeme nchi za jirani, na hivyo kutengeneza pesa nyingi za kigeni.
Hivi Hawa viongozi wetu wanatuonaje watanzania, kiasi cha kupenda kutuongopea watakavyo?
Inavyoelekea huyo Maharage Chande, anatuandaa watanzania kisaikolojia, Ili tutakapoona mgao unaendelea, basi tujue kuwa KAZI INAENDELEA, ya kuuza majenereta yao😞
Mimi naona muarobaini wa tatizo hili sugu la kuongopewa watanzania wakati wote na viongozi waandamizi wa serikali hii ya CCM, ni kuwapiga chini watawala Hawa wa CCM na kukiingoza chama kingine Ili kiingoze nchi.
Bila hivyo matatizo ya watanzania hayatakuja kutatuliwa na watawala hawa wa CCM Hadi mwisho wa Dunia hii😎
====
Chande: Bado kuna safari ndefu kufikia umeme wa viwanda
Muktasari:
Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Maharage Chande amesema mradi wa Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere (JNHPP) ni sehemu ya juhudi za Serikali kuhakikisha kunakuwa na umeme wa kuendesha uchumi wa viwanda.
Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Maharage Chande amesema, licha ya juhudi za Serikali kuongeza vyanzo vya umeme likiwemo Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere (JNHPP), bado kuna safari ndefu kufikia umeme wa uchumi wa viwanda.
Ameyasema hayo leo Desemba 21 katika mjadala wa Mwananchi- Twitter Space unaoendeshwa na Kampuni ya Mwananchi Communications Limited.
Amesema Mradi wa Bwawa wa Kufua Umeme la Mwalimu Julius Nyerere (JNHPP) unaotarajiwa kukamilika mwaka 2024 ni sehemu ya hatua za kupunguza changamoto hizo.
“Mradi huu utaleta umeme mwingi kwenye gridi, lakini mradi huu ni moja kati ya hatua ya safari ndegu ambayo tunayo kama nchi ya kuzalishaji kusafirisha na kusambaza umeme,” amesema Chadema leo Desemba 21, 2022 wakati wa mjadala.
Katika ufafanuzi wake, Chande amesema utafiti uliofanyika katika majarida mbalimbali unaonyesha ili uwewe na umeme wa kutosha kwa ajili ya viwanda na kukuza uchumi kila watu milioni moja wanahutaji megawati 1,000.
“Kwa idadi ya watu milioni 60, utaona tunahitaji umeme megawati 60,000 lakini kwa sasa tuna megawati 1500, tukileta hii 2115 tutakua na takribani megawati 3,800. Tunakazi kubwa ya kuongeza uzalishaji wa umeme,” amesema Chande.
Katika hatua nyingine, Chande amesema kama hakutakuwa na changamoto, ratiba ya kukamilisha mradi huo inabaki kuwa mwaka 2024.
“Hakuna aliyetegema Covid19, utaona pia kama bwawa hilo ikitokea changamoto tutatoa taarifa lakini mambo yakienda vizuri Juni mwaka 2023 tutakuwa tumemaliza,” amesema
Kesho Desemba 22, 2022 Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua hatua ya kuanza kujaza maji katika bwawa hilo lililokamilika asilimia 79 ikiwa ni matokeo ya uwekezaji wa Sh6.5trilioni zitakazokata kero kabla ya 2025.
Bwawa hilo lenye uwezo wa kuhifadhi lita bilioni 33.2 za maji eneo la Mto Rufiji mkoani Pwani, lilianza kujengwa 2019.
Chanzo: Gazeti la Mwananchi
Umetoboa penye ukweli wa asilimia 💯Hivi wadau tujiulize kidogo...
Sasa hivi hata 5,000MW hatuna yaani tukimaliza Bwawa tutakuwa na mara mbili ya uzalishaji wa sasa...
Alafu unatwambia kwamba tunahitaji 60,000, yaani zaidi ya mara kumi ya capacity itakayo-double ?!!!!!
Ili zifanye nini kwa sasa na huo mgao kwanini uendelee wakati tulikuwa hatuna mgao kama huu wakati tuna less MW ?!!!!!
Au hizi ndio justification za kuendelea kununua mafuta na watu kuuzia umeme Tanesco ?!!!!
Wakati watanzania wanasubiri umeme, hawa wao wanawaza uchaguzi wa 2025? Nchi hii haitakaa ipate maendeleo ikiwa tutaendelea kuongozwa na chama hiki hiki kilichoshindwa kuleta afueni kwa watanzania kwa zaidi ya miaka 60 😱 😱 😳 😳 🙄 🙄Kesho Desemba 22, 2022 Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua hatua ya kuanza kujaza maji katika bwawa hilo lililokamilika asilimia 79 ikiwa ni matokeo ya uwekezaji wa Sh6.5trilioni zitakazokata kero kabla ya 2025.
Akili za kuambiwa changanya na za kwakoNdivyo alivyotamka huyo Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, kama kukosea basi ni yeye
Kama ni ukilaza, basi utakuwa kwake[emoji1]
Hata megawatts 6000 bado ni nyingi snLabda alikuwa akimaanisha 6,000
Ndiyo ujue tunaongozwa na utawala wa aina gani 😎Hivi wadau tujiulize kidogo...
Sasa hivi hata 2,000MW hatuna yaani tukimaliza Bwawa tutakuwa na mara mbili ya uzalishaji wa sasa...
Alafu unatwambia kwamba tunahitaji 60,000, yaani zaidi ya mara kumi ya capacity itakayo-double ?!!!!!
Ili zifanye nini kwa sasa na huo mgao kwanini uendelee wakati tulikuwa hatuna mgao kama huu wakati tuna less MW ?!!!!!
Au hizi ndio justification za kuendelea kununua mafuta na watu kuuzia umeme Tanesco ?!!!!
Akili zimeanza kukurudia😃Kweli kabisa. Ila kwa nini nchi kama za waarabu wa jangwani wanaendelea sisi wenye kila kitu including mafuta na almasi dhahabu na vito vyote tunabaki masikini tena wa kuomba omba na tunaona sifa ya kupiga makofi tukipata mikopo???
Huyu maharage sijui kala maharagwe ya wapi. Namshauri arudi dstv akaendelee kuuza ving'amuziNilishangazwa Sana na kauli aliyoitoa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande, eti pamoja na mradi wa Umeme wa Bwawa la Nyerere, kukaribia kukamilika, watanzania tutegemee mgao zaidi wa Umeme, Kwa kuwa mahitaji ya Umeme wa nchi hii ni Megawatt 60,000😎