Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Huyu ni mzalendo kwasoon ataliwa kichwa
Huyu ni mzalendo kwa kuupuuzia mwenge. Hauna Maana yoyote kwa taifa.Huyu ni mzalendo kwa
Yule wa mwaka Jana alichukua sururu eti anapima ubora wa lami.DED wa Rorya yuko sahihi viongozi wa mwenge ni wapuuzi sana
Afukuzwe mara moja na afanyiwe uchunguzi hasa uraia wake huyo siyo mwenzetu.Kiburi cha shibe ya madaraka ni kibaya mno.
DED wa Halmashauri fulani mkoani Mara amemjibu hovyohovyo kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa Abdalah Shaibu.
Hakutaka kutoa taarifa sahihi za miradi na alimjibu hovyo hadi watu waliona aibu.
Bwana Shaibu amesema Mwenge ni wa Rais wa JMT na amefikisha taarifa za DED huyo kwa Rais.
DED mwenyewe ni wa Halmashauri ya wilaya ya Rorya
we ndiyo huna akili hata za kuazima, kwa hiyo ana akili kuliko alimweka madarakani. Subir majuto yake huyo mbwa siyo mshabikie tuHuyo DED ni big brain.
Mtu na akili yako huwezi kuendeshwa na makalagabao waendesha mwenge.
Yule mtu wa mwenge ukimuona tu unajua sio mzima kichwani.
Respect over everything.
Uko sahihi kabisa,Viongozi wa Mwenge wanapenda sana ujiko,wana kiherehere mno.
Mwenge faida kubwa ni uzinzi tu hakuna kingine