Kabisa! Yaani viongozi wakuu watumie migharama kibao kwa misafara ya ma v8 na allowances kibao kwenda kuzindua miradi,na huo mwenge nao itumie gharama. Kama huo Mwenge ni mali ya Rais,augharamikie kwa mshahara wake.Huyo DED ni big brain.
Mtu na akili yako huwezi kuendeshwa na makalagabao waendesha mwenge.
Yule mtu wa mwenge ukimuona tu unajua sio mzima kichwani.
Respect over everything.