Mkurugenzi mmoja mkoani Mara awapuuuza viongozi wa Mwenge na itifaki yake

Mkurugenzi mmoja mkoani Mara awapuuuza viongozi wa Mwenge na itifaki yake

Kiongozi wa mwenge anauliza document za mradi kama nani? Kazi ya CAG ni nini? Internal Auditors wana kazi gani?

Haya mambo ndio yanafanya wajinga waone mwenge una thamani kumbe ni takataka kimsingi wakimbiza mwenge na mwenge wenyewe hawana kazi za kufanya ndio maana wanafanya majukumu yasiyo kuwa ya kwao kisheria.

CCM futeni mwenge kama mnaupenda wekeni pale Lumumba wajukuu zenu waje kuuangia
 
Miradi ya serikali huwa inakaguliwa na wakaguzi wa ndani na wa nje pia, kama kuna tatizo, Mkurugezi anatakiwa kujibu au hata kuwajibishwa kisheria inapozidi!
Huu ukaguzi wa Mwenge wa miradi ni kwa sheria gani? Utakuta mkimbizi Mwenge, hana taaluma yoyote ya ujenzi, analopoka tu mradi imekataliwa na Mwenge! Lkn walipokelewa vizuri, wakapewa na hela, basi taarifa inakuwa nzuri!
Kipengele cha kuruhusu wakimbizi Mwenge kukikomiwa na halmashauri wakati wameshakipwa posho za safari kisheria hiyo ni rushwa! Wanao kataa kuwafanyia hivyo ndoa hao wanaripotiwa hivyo ili wafukuzwe kazi.
 
Kiburi cha shibe ya madaraka ni kibaya mno.

DED wa Halmashauri fulani mkoani Mara amemjibu hovyohovyo kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa Abdalah Shaibu.

Hakutaka kutoa taarifa sahihi za miradi na alimjibu hovyo hadi watu waliona aibu.
Bwana Shaibu amesema Mwenge ni wa Rais wa JMT na amefikisha taarifa za DED huyo kwa Rais.
DED mwenyewe ni wa Halmashauri ya wilaya ya Rorya
kwa uropokaji wa huyo kijana wa mwenge wa mwaka huu. NIngekuwa mimi ningemtukana kabisa na nimzabue vibao ili rais achukue uDED wake kwa roho safi.
 
DED yupo sahihi na hili niseme tu toka moyoni kuwa wakimbiza mwenge ni corrupt sana nilichoshuhudia mwaka 2017 nikiwa moja ya wadau niliokuwa na msafara kwa Mkoa wa Mwanza nilishangaa kuona kila Halmashauri ikitoa bahasha kwa wakimbiza mwenge sasa tulifika Wilaya ya M..GU pale wakimbiza mwenge waligombana hadharani wakilalamika kwaniini mkimbiza mwenge kitaifa apewe TZS.500,000/- alafu wengine wapewe TZS.300,000/- shughuli zilisimama ikawa fedheha kubwa sana hadi pale DED alipoongeza kwa wengine na kufanya flaterate. Hii ipoje? wanapobaini kuwa miradi mingi ipo ndivyo sivyo hupewa taarifa za intel kwa lengo zuri lakini wao ndo fimbo yao ya kuvuna hela. Hata hili la mwaka jana kutoboa barabara ya lami ni intel wamepewa alafu wakakosa hela wanaamu kuharibia TARURA ila wangepewa bahasha kazi ingekuwa kimya.
My concern: Mwenge wa Uhuru ni jambo jema kumulika wala rushwa na mijizi na ndiyo lengo lake kuu kitendo cha kufanya ni chanzo cha kuvuna fedha kwa DEDS walio na miradi mibovu hii ni kutia Nchi kwenye umaskini mkubwa. Vyombo vya ulinzi PCCB,TISSna POLISI washirikishwe kwenye usimamizi kila mmoja awe na taarifa yake na kuiwasilisha kwa DC hapo mchawi atajulikana tu.
 
Kiburi cha shibe ya madaraka ni kibaya mno.

DED wa Halmashauri fulani mkoani Mara amemjibu hovyohovyo kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa Abdalah Shaibu.

Hakutaka kutoa taarifa sahihi za miradi na alimjibu hovyo hadi watu waliona aibu.
Bwana Shaibu amesema Mwenge ni wa Rais wa JMT na amefikisha taarifa za DED huyo kwa Rais.
DED mwenyewe ni wa Halmashauri ya wilaya ya Rorya
Kamjibu sawasawa na maswali yake! Garbage in garbage out..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiburi cha shibe ya madaraka ni kibaya mno.

DED wa Halmashauri fulani mkoani Mara amemjibu hovyohovyo kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa Abdalah Shaibu.

Hakutaka kutoa taarifa sahihi za miradi na alimjibu hovyo hadi watu waliona aibu.
Bwana Shaibu amesema Mwenge ni wa Rais wa JMT na amefikisha taarifa za DED huyo kwa Rais.
DED mwenyewe ni wa Halmashauri ya wilaya ya Rorya

Huyo Abdallah Shaibu ni Senene ya CCM.
 
Karne hii bado kuna Nchi inakimbiza moto eti kuchochea maendeleo,upuuzi wa kiwango cha lami
 
Huyo DED ni big brain.

Mtu na akili yako huwezi kuendeshwa na makalagabao waendesha mwenge.

Yule mtu wa mwenge ukimuona tu unajua sio mzima kichwani.

Respect over everything.
Huyo mwamba hata wakimla kichwa atajiunga na mamilioni ya watanzania kutafanya shughuli zingine za kiuchumi ambazo ziko kibao lakini atakuwa amefikisha ujumbe kwamba ni Ded ambaye yuko vizuri upstairs na hawezi kupelekeshwa
 
Kiburi cha shibe ya madaraka ni kibaya mno.

DED wa Halmashauri fulani mkoani Mara amemjibu hovyohovyo kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa Abdalah Shaibu.

Hakutaka kutoa taarifa sahihi za miradi na alimjibu hovyo hadi watu waliona aibu.
Bwana Shaibu amesema Mwenge ni wa Rais wa JMT na amefikisha taarifa za DED huyo kwa Rais.
DED mwenyewe ni wa Halmashauri ya wilaya ya Rorya
Nasimama na DED
 
Back
Top Bottom