Mkurugenzi mmoja mkoani Mara awapuuuza viongozi wa Mwenge na itifaki yake

Huyo DED ni big brain.

Mtu na akili yako huwezi kuendeshwa na makalagabao waendesha mwenge.

Yule mtu wa mwenge ukimuona tu unajua sio mzima kichwani.

Respect over everything.
Kabisa! Yaani viongozi wakuu watumie migharama kibao kwa misafara ya ma v8 na allowances kibao kwenda kuzindua miradi,na huo mwenge nao itumie gharama. Kama huo Mwenge ni mali ya Rais,augharamikie kwa mshahara wake.
 
Huyo kiongoz wa mwenge ana qualifications za mamb ya projects? Au ni ilimradi tu, tuanzie hapo!! Yawezekana aliuliza swali lisilo la kitaalam kuhusu projects!!
 
NATAMANI LITOKEE KUNDI KA MAJAMBAZI WAUIIBE MWENGE.


MIMI NA FAMILIA YANGU TUTASHEREHEKEA SIKU 7 BILA MAPUMZIKO
Huu mwenge hauna tofauti na sanamu ya shetani wabrazil waliyoiabudu Kisha Mungu wa mbinguni kuwapiga. Hata huku kwetu Tz huo mwenge ni miungu na ni chukizo kwa Mungu aliye hai,na ndio laana kwa nchi yetu. Viongozi wa dini amkeni kuzuia hiki kinachofanyika ni kinyume na Mungu wa mbinguni muumba wa mbingu na nchi.
 
 
Mwenge ni uchawi unaoambatana na uzinzi
 
Sharia za utumishi wa uma kwa nafasi yake anapaswa kutoa taarifa za kazi yake kwa mkuu wa mbio za mwenge? au tunaishi kwa mazoea
 
Wakimbiza mwenge wote ni wala rushwa wakubwa tuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, na mikwara yote hiyo lazima aliondoka na bahasha nzito kidogo hiyo ni wilaya moja, mpaka mikoa yote iishe jamaa anatoka ni bilionea,DED kaamua kama mbwai mbwai tuu
 
Ded apewe maua yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…