Mkurugenzi mstaafu wa ujasusi Uingereza: Iran amemzidi Marekani kwenye hii vita

Ila kuna mfuasi wa gwajima kutoka vingunguti atakwambia huyu mzee hajui lolote
 
hahaha nice try, evil islamic communist regime iliwekwa hapo na hao hao waingerza na cia, mullah walimpundua shah wakisaidiwa na cia halafu ulitegemea watake islamic republic ianguke? kuna sababu kwa nini cia walimpundua civilized shah na kumuweka evil ayatolla, isitoshe kila raisi wa USA tangia Reagan including messiah obama ametaka kuiangasha evil islamic communist islamic republic na ndiyo maana islamic republic imekuwa under sanctions for decades na sasa D.Trump amejitolea kumaliza hizi drama once and for all kuikoa dunia ikiwemo tanzagiza, mullahs wakianguka mawimbi yatafika mpaka tanzagiza ...
 
Nadhani mjadala huu unahitaji utulivu kidogo na kuondoa hisia au propaganda.

Kusema Iran imeizidi Marekani moja kwa moja kijeshi si sahihi, kwa sababu Marekani bado ina ubora mkubwa sana wa teknolojia ya kivita, hasa kwenye air power, intelligence na precision strikes.

Lakini pia si sahihi kubeza Iran kana kwamba haina uwezo. Hii vita si ya conventional pekee, ni ya asymmetric. Iran inapigana kwa kutumia mtandao wa washirika wake (proxies), mbinu za kuvuruga usafirishaji wa mafuta, na mashambulizi yasiyo ya moja kwa moja.

Ndiyo maana hadi sasa, licha ya mashambulizi makubwa, bado Iran ipo na inaendelea kupambana. Hata ripoti mbalimbali zinaonyesha si rahisi kuiondoa au kuimaliza kijeshi kwa haraka.

Kwa hiyo hoja sahihi si nani “anamzidi” moja kwa moja, bali ni kwamba:
  • Marekani ina advantage ya teknolojia na nguvu ya moja kwa moja
  • Iran ina advantage ya uvumilivu, mbinu mbadala na mtandao wa kikanda

Hii ndiyo inafanya vita isiwe ya haraka kumalizika, bali kuwa ya muda mrefu yenye gharama kubwa kwa pande zote.
 
Kwa
kwa maandishi yako tayari unaonyesha either huna elimu au una uwezo mdogo sana wa kufikiria
Na hujui hata historia ya iran , sasa wewe una sababu gani za kuita iran evil islamic regime? Ebu tuanzie hapo kwanza ,au sababu netanyahu kaita hivyo? Watu kama nyie ndio mnatajirishaga wachungaji africa, mkiambiwa chochote mnafuata mkumbo,uwezo wa kufikiria inaonyesha ni mdogo mnooo
 
Every War is waged on Objectives, not carnage alone.

American + Israel Objectives in Iran were:

1. Total annihilation of Iran's Nuclear Capabilities (Failed Miserably)

2. Regime Change (Failed Miserably)

3. Destruction of Ballistic Missile Programme (Failed Miserably)

So far nothing has materialized, and the War has shifted to keeping the Strait of Hormuz open. It's very laughable, and I'm trolling these lunatics because I have been writing about these topics for many years. They hate and fall into the abyss of cognitive dissonance, but deep down they know i've been right all along. This is 2019, Read Post #24

​
 
good analysis
 

sababu mbona ziko nyingi tu na wazi, kwanza walimpindua shah na maelfu ya wairani waliuliwa hilo peke yake linatosha kuitwa evil regime, pili ni islam na tatu ni communist, need i say more? ...
 
Kwenye vita anayemvamia mwenzake au anaye anzisha vita huwa mwanzo anapata hasara kubwa au uwezo wake kivita unaweza kuonekana kama mdogo au wakawaida sana.
Kwa sasa Israel na USA wanaonekana kama ni kawaida sana kwa Iran, lakini muda si mrefu Iran inakwenda kuanguka, nasema hivi kwa sababu vita ni lazima kupata msaada kutoka kwa washirika wako, kwa sasa Irani kazingirwa kote na hawezi kupata msaada kutoka nje.
Jirani zake kawatibua, anga limetekwa, baharini meli zimezamishwa. Washirika wake wakitaka kutoa msaada utapitia wapi? Hata wakifanikiwa kupitisha watamudu vikwazo na tarrif za USA?
 

Mkuu Malcom Lumumba, unaandika kwa confidence na unaweka mifano ya kihistoria, lakini kuna sehemu muhimu unachanganya.

Kwanza, kutumia mfano wa Vietnam kuelezea hali ya sasa ya Marekani dhidi ya Iran si sahihi moja kwa moja. Vietnam ilikuwa vita ya ground occupation kwa muda mrefu, wakati hii ya sasa ni combination ya air power, intelligence na indirect engagements. Context ni tofauti kabisa.

Pili, unaonekana kuchukua fact moja — kwamba Iran bado ipo na inaendelea kujibu — halafu unatoa hitimisho kuwa Marekani imeshindwa au imezidiwa. Hapa ndipo kuna tatizo la logic.

Kuendelea kuwepo kwa Iran kwenye vita haimaanishi moja kwa moja kuwa Marekani imeshindwa. Inaweza pia kumaanisha:
  • vita ni ya muda mrefu (protracted conflict)
  • au upande wa pili unatumia mbinu tofauti (asymmetric warfare)

Tatu, hoja yako ya economic warfare ni valid, lakini nayo haiwezi kutumika peke yake kuthibitisha nani anashinda. Historia inaonyesha kuna nchi zinaweza kuhimili vita kiuchumi kwa muda, lakini bado zisishinde kijeshi au kisiasa.

Kwa hiyo hoja sahihi hapa si kusema Marekani imeshindwa au Iran imezidi, bali ni kwamba:
hii vita ina tabia ya pande zote kupata faida na hasara kwa nyanja tofauti — kijeshi, kiuchumi na kisiasa.

Ndiyo maana hadi sasa hakuna upande unaoweza kusemwa umeshinda moja kwa moja.
 
Wacha kuongea UTUMBO.
Hiyo unayoiita evil islamic regime.
-Imeipandisha Iran kuwa na higher literacy rate kuliko hat USA.
-Imerudisha umiliki wa rasilimali za taifa kwa raia badala ya USA mnyonyaji.
-Imepambana kuweka huduma za kijamii bei rahisi karibuni bure.
-Imeifanya Iran kuwa miongoni mwa mataifa yenye wanasayansi wengi bora wa kike.

VITU AMBAVYO KIPINDI CHA SHAH HAVIKUWEPO na kipindi cha Shah ufisadi ulikua mkubwa kupitiliza.
Na Shah alipinduliwa na raia wenyewe kwa kutaka utawala mzuri wa 1953 urejeshwe ambao USA aliupindua kisa kunyimwa mafuta na kumuweka Shah kibaraka wake.
Hivyo usitake kudanganya eti Uingereza na France wanahusika.
Ilhali raia NCHI NZIMA waliandamana kuipindua serikali ya Shah.

-Ongea ukiwa unajua.
 
sababu mbona ziko nyingi tu na wazi, kwanza walimpindua shah na maelfu ya wairani waliuliwa hilo peke yake linatosha kuitwa evil regime, pili ni islam na tatu ni communist, need i say more? ...
-Shah alipinduliwa na raia 90% wa Iran ambao hawakumtaka.
Usisahau kuwa Shah aliingia madarakani 1953 kwa kumpindua kiongozi pendwa wa Iran.
Shah hakupinduliwa kijeshi bali na raia wake kwa maandamano.
-Point hiyo tu inajulisha huna unachokijua kichwani.
 

kama ni hivyo iweje baada ya mapinduzi ya kiislamu ayatolla Khomeini allingia irani akitokea paris kwa ndege ya kukodi air france akisindikizwa na french intelligence? ...
 

its good against evil, ''to the famillies who say finish this, we will'' - Pete H ...


View: https://x.com/i/status/2034610815282647500
 
Unajalipu kuonesha unachotaka kitokeee, yaani kupoza moyo
 
Sio kweli aliombe Sio kweli, na walimwambia akajifiche alikataaa huna unachojua
 
Hiyo evil regime nini umetoa wapi Israel itaitwaje?
 
Hhaha,hii vita kila mtu anajifanya mchambuzi! Kwa taarifa yako Washirika wa Iran ni China,Korea kaskazini,Urusi na Pakistan ambazo zote zimeshatoa msaada wa kijesh na kijamii,mfano China mwezi huu imeshatoa msaada wa $200,000 na pia yeye ndio mnunuzi mkuu wa mafuta ya Iran kwa asilimia 91 mafuta ya Iran yanayoenda China yanaweza kuzidi mafuta yote kutoka sehemu mbalimbali yanayoingia bara la Africa

Urusi tayari amesaidia kwenye masuala ya critical intelligence, satellite imagery na hakuna mtu aliyeizingira Iran na ndio maana bado anacontrol Stait of Hormuz,manowari mbili za marekani zilizokuwepo zilishambuliwa na Iran,moja imerudi USA kwa matengenezo ya Miezi 14 na moja imeretreat kilomita 1000 kutoka ilipo Iran..

Na kikubwa zaidi washirika wake wote wana uwezo wa kufika Iran bila kenge yoyote kusumbua hapa kati,Russia na Iran wanafanya logistics kupitia Caspian Sea ambapo yenyewe ipo kama ziwa victoria yani ji sawa na useme marekani azuie Logistics ya Uganda na Tanzania kupitia lake victoria anapata wapi huo uwezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…