Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Nyie kila siku kulia lia wakati wa JK mlisema nchi imenshinda leo tena mnasema imekaa kilofa daah!
Bado unaota JK ni rais, hizi ni enzi za utumbuaji kamuulize DAU atakujuza.
 
najiuliza kwa sauti tu, maana hawa nao kazi yao ni kusema

nahimiza kila gazeti,kila siku,liandike suala la maxence mello,magazeti yasipofanya hivyo,they are next
 
Yupo yule dada anaitwa kimambi mbona wamemshidwa au kwakuwa yuko kwa obama
 
Sawa.ila chanzo sio hicho.siku zote haya yalifanyika mbona walikaa kimya?tatizo tumembana mwigulu.kwenye miili 7.na log out.
Hawakukaa kimya au hujui kusoma ? Hujaona hapo juu kuwa kwa muda mrefu walikuwa
Wanamtaka awape hizo information bila mafanikio?
 
Asilimia 95 ya watumiaji wa JF wana ID fake. Serikali imeshatangaza kuwa kumiliki ID fake kwenye mitandao ya kijamii ni kosa la jinai. Sasa nyie wenye ID fake kiama kinakuja jiandaeni.

Mimi nipo clean.
 
Nakupata sana mkuu.

Mimi mwenyewe nimekuwa nachechemea miaka ya hivi karibuni na hiyo ni kutokana na wingi wa mada za muonekano wa FB na Instm kukatisha tamaa.

Ila bado nijivunia kuwepo hapa kwa miaka 10 ilopita na nimeona mengi, ila kwa sasa JF imefikishwa mahali si pazuri na wa kulaumiwa ni hawa baadhi ya wanachama wenzetu ambao pengine walikuwa na lengo zuri la kukosoa lakini wakavuka mipaka.

Kwa sasa maji yamemwagika na ni vigumu kuyazoa.

Ni matumani yangu kwamba Maxence Melo ataachiwa bila masharti na pia kushirikiana na polisi kwa kadri ya uwezo alo nao.

Kosa lake ni kuzuia uchunguzi wa polisi yaani "preventing the course of justice" kwa maana kwamba mlalamikaji ni dola na mlalamikiwa ni Max kwa niaba ya JF.

Cha msingi ni kwa wakili wa Max kuhakikisha Maxcence Melo anapata dhamana kesho.

Akipata dhamana itamwezesha kujipanga upya na kuunda mkakati mpya wa kuisuka JF upya kulingana na sharia ya mtandaop inavyotaka maana ilikwishasainiwa.
Hata mimi napenda sana Maxence Melo apate dhamana haraka.

Ninatumaini polisi na uongozi wa Jamiiforums watafikia muafaka nje ya mahakama.

Changamoto iliyopo kwa uongozi wa jamiiforums ni namna ya kufuatilia mijadala hapa JF hasa ikichukuliwa kuwa kwa sasa wanachama wamekuwa wengi lakini michango yao niya udaku, kifacebook au instagram.
 
2017 nitakuja hivi hapa Jf

1. new fake id

2. fake mac adress ya device nayotumia

3. use vpn service kila nikilog in

hali ni mbaya sana..
 
Kwanza kabisa napenda kukufahamisheni kuwa hakuna kuaminana tena msimwamnini mtu. si Admin, members, owners wala Moderators. Lakini kea sasa Usalama wa members na maisha yao ni muhim zaidi kuliko kupost na kuendelea kubishana.

Nashauri yafuatayo :

1. Admin/Mods wekeni option inayoruhusu members kufuta, ku edit vichwa via habari (hii inawezekana

2. Admin/Mods weaken kite au option ya IGNORE. hii inarahisisha kwa members ku block contents toka kwa trolls

3. Members wote watumie VPN kuingia Jamiiforums hivyo itakuwa ngumu kukamatwa na kupewa kesi zisizowahusu.

4. Kwa usalama zaidi tumieni WiFi ambazo ziko public kama kwenye Malls, Mahoteli au Majumbani au maofisi makubwa hivyo ni vigumu ku pin point who is who.

5. Point number 3 ni muhimu sana hivyo nasisitiza sana hilo

6. Kwa ambao mko kwenye ma Group ya Whatsapp wajulisheni wenzenu kuwa wawe makini na wanayoyasema kwa sababu ya hii sheria mpya

7. Mods na Admin wapatieni members options za kufuta threads zao na pia kujiondoa membership kwa sasa mpaka hapo hali itakapokuwa imetengemaa. Kwa sababu usalama ni muhimu zaidi katiza zama hizi tulizo nano

8. Wajulisheni watu wengine kuwa huu si muda muafaka kujiunga na hii forum mpaka hapo Max atakapotoka nje na kuelezea Umma hatua zipi zimechukuliwa kulinda privacy za members

9. Uongozi wa Jamiiforums Uelezee umma wa watanzania wanafanya jitihada zipi za kisheria ili kumsaidia Max atoke. Je kama ni wanasheria ni kiasi gani kinahitajika etc.

10. Kwa sasa Twitter/facebook/Instagram ni salama zaidi (kama mnatumia majina feki) kujieleza kuliko mtandao wowte ule ambao una uhusiano na Tanzania

WITO KWA SERIKALI

Sisi wengine tulikuwepo toka mwaka 2002 enzi za TZATL, YoungAfricans,Darhotwire,Jambo forums mpaka tumefika Jamiiforums

Ina Uslama na hususana USALAMA WA TAIFA wanatufahamu na tunawafaham na wao wanaamini kuwa tunafanya kazi nzuri ya kukosoa serikali na kusaidia vyombo vya ulinzi na usalama maovu na mengineyo. Sisi kama members wa Jamiiforums tunaamini uhuru wa kujieleza na ndio maana hata kama hatukubaliani na watu lakini bado hutetea uhuru wao wa kujieleza. Sisi ni vijana wazalendo na hatulipwi. Na kwenye dunia hii ya leo serikali na vyombo via ulinzi na usalama walitakiwa kuwa ni partners wetu na sikutupiga vita na siku mbiu ya mambo itakapo lia tutajitokeza kufanya wajibu wetu kupigana na maadui wa nje (hususana nchi jirani ambao wana jeshi kubwa la ma cyber volunteer) wa kwa ku flood DNS za serikali na strategic installations zao.

Tunaomba Max aachiwe na sisi kama members na owners wa Jamiiforums pia itabidi tufanye soul searching kuwa at what point tulipoteza mwelekeo na tufanyeje turudi kwenye kukata issues na sio haya mambo ya ubishi kati ya vijana wa Lumumba na Bavicha

Niko radhi tukawa off line lakini tukirudi turgid fresh na sio kwa hii style tuliyonayo sasa hivi
 
JF ina rensponsibility kubwa sana, kama vivlivyo vyombo vingine vya Habari, kuna mambo mengi ya uongo na uzushi huletwa humu na kuachwa, ikumbukwe kwamba nchi nyingi kama Kenya, Rwanda, Burundi n.k Vita ililetwa na Vyombo vya Habari kama redio na TV, hivyo JF ina jukumu la kulinda amani ya nchi, kama ni kweli amekamatwa, na kama siyo kweli basi wajifunze na wabadilike, watambue jukumu lao kwenye Jamii!

CEO wa JF asipumbazwe na watu wanaosapoti kwenda kinyume na Serikali hapa, wengi wao wana maisha yao na wala hawaishi TZ, na JF ikifa kesho, au ofisi ya JF kunyimwa kibali cha kufanya kazi TZ hawana cha kupoteza, zaidi ya kuhamia kwenye mtandao mwingine na kuendeleza wanayoyafanya, hivyo angalia maisha yako na familia yako, fanya lililo sahihi na jinsi Serikali inavyokutaka kwani mwisho wa siku Serikali ndiyo yenye nchi, watakushauri wanachama wa JF wanavyotaka lkn Serikali ndiyo wasimamizi wa hii nchi!
Hii hoja imekaa ki-transgender sana. Inabidi ku-handle with care
 
Hilo tukio unalolisema mimi binafsi nililijua humu JF baada ya mtoa mada kupost. Hivyo kila mtu anaamini na anahisi nani aliyefoji ile documents. Thays y polisi wanamtaka huyo aliyepost aseme kalitoa wapi na ili waweze kumpata muhusika na speculation kama hizo zako za kudhania ziwe confirmed.

Kwa hili serikali ina nia njema sana. JF inabidi irudi kipindi kile cha Na sio sasa imekuwa Political Forums. Kwa CCM na Chadema kuleta habari zao za kichochezi huku hawatoi hata 30,000 za kuwa Gold members
hilo tukio lilikanushwa na mahakama,liliandikwa kwenye magazeti sana tu ila wewe una insist eti walioleta habari jamii forums ndio watoe ushahidi. So insane
 
Back
Top Bottom