Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Daktari Profesa Janabi ana hofu na nini hadi awe na ulinzi mkubwa namna ile?

Nakumbuka Dr wa Mwl Nyerere na viongozi wengine alikuwa anapuyanga mitaani mwenyewe tu...mara nyingi nilikuwa namwona mitaa ya posta Dar posta akiwa peke yake kabisa!

Kila jambo lina maana yake.
 
Mkitetea kwa nguvu namna hii, mashaka ndio yanazidi!
 
Kwa hiyo akistaafu au kufa ndiyo unakuwa mwisho wa Taasisi ya Moyo???
 
Viongozi wa siri au wawazi wanapaswa kulindwa sana
Ni kitu cha kawaida
 
Aisee kumbe,kila kitu kina mwanzo na mwisho wake.
 
Nimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao...
Heading yako inasema mkurugenzi mtendaji halafu content inauliza iweje alindwe na sio kiongozi, ukurugenzi utendaji sio uongozi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…