TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Tuweke mpango na kupanua trunk roads zote. Barabara zetu kuu nyingi bado ni nyembamba sana
 
Dunia nzima inajua kubwa ukiwa bosss na ukiwa unaendeshwa jnakaa siri ya nyuma. Imefika mbali zaidi mpaka ikiita über unakaa siri ya nyuma. Sasa sisi tunataka kukaa na dereva mbele. Ni hayo tu
Huenda nyuma walikaa wajasiriamwili wa kumkanda boss lodge
 
Another scrap metal, LC300 hilo wanangu wa Tandale, ilala na shaurimoyo.

Kila siku tunawaambia mboreshe miundo mbingu iwe rafiki Kwa watanzania hamuelewi, angalia sasa miundombinu inawaua wenyewe.
Mjue pia Watanzania wanakufa Kila siku pia huku barabarani kwa sababu ya miundombinu mibovu.
 
Tushawahi kusafiri kwa siku 3 kilomita 1200.
Ingawa usafiri ulikuwa wa bure na nilikuwa nalala kwenye basi kunavyokaribia kupambazuka lakini nilitumia zaidi ya laki 2 kwa kujibana maana kila mkoa tukawa tunalala inatulazimu tunywe bia tu.
 
Inna Lilah Wainna Ilaih rajiuun,Sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake yeye tutarejea.Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi
 
Mkuu kutembea na gari kuna raha yake, Mbona Mabalozi wa nchi za Ulaya na Marekani utakuta wana safari kwa Gari kuto Dar mpaka Iringana wengine mpaka Kigoma, kusafiri kwa Gari binafsi kuna raha yake.
Kama dereva akiwa na nidhamu ya barabara siyo hawa wa serikali kiburi mpaka kwenye nywele
 
Haya ma V8 LC yameua Vigogo wengi sana
 
Mkuu kutembea na gari kuna raha yake, Mbona Mabalozi wa nchi za Ulaya na Marekani utakuta wana safari kwa Gari kuto Dar mpaka Iringana wengine mpaka Kigoma, kusafiri kwa Gari binafsi kuna raha yake.
Hawa wa kwetu Huwa wako speed na kiburi Cha gari ya serikali
 
Mkuu kwa gari ya Aina hiyo, umbali wa safari na majukumu ya anayeendeshwa ni hasara Sana kutembea mwendo mdogo.

Gari inamruhusu kukanyaga Moto, na Sheria za barabarani nazo haziwabani Sana watu wenye nyadhifa kubwa.
Ajali zitawabana
 
Looh, ajali mbaya sana hii Mungu azilaze mahali pema roho za marehemu! Gissima alikuwa anajua kuchapa kazi, nilifanya naye kazi kwa ukaribu kabisa kipindi akiwa mkurugenzi wa ufundi pale REA kabla hajawa DG wa REA!
 
Mchina akiongea kiswahil kikimpiga chenga mnaona poa ila mswahili akipigwa chenga nakizingu mnaona dhambi nan anawaroga nyie
Mchina akiongea kiswahili na kukosea ni sawa kwa sababu hana option pale anapokuwa Tz. Sasa huyu ndugu yetu ana ulazima gani wa kutumia lugha inayompiga chenga wakati kuna kiswahili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…