Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,464
- 12,564
Ishu kwamba iyo kwenda kwao iko kwenye ratiba ya kikazi au aliamua tu ..This is not true cheif
Level ya nyamohanga siyo ya kutegemea tena per diem
I feel bad jinsi mnavyochukulia watu poa
Huyu BWANA kamaliza meeting, kaanza safari usiku ilo awahi jumapili kwao na Jumatatu awe amerudi…. Hakuna muda wa kupumzika
Tuwaonee huruma hawa watu
Nishaenda road trip nyingi za kikazi zninachojua watu wana mambo mengi sana .