TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Mchina alipewa tenda kinyemela June 2023 na wale akina naniii, Gissima aliteuliwa September 2023. Gari la mchina ni maokoto tu,wale vijana 2 wa mjini ndio walibeba mzigo wa maana

Kama Nyamuhanga kaingia TANESCO baada ya zabuni ya Mchina, kwa nini amepewa gari na Mchina ?

Huoni obvious and stinking conflict of interest ?

Unasimamiaje kazi ya mkandarasi kama unatumia mali zake binafsi ?

Tunajiuza kwa vihongo vya kujidhalilisha. Kadi ya gari hajapewa.

Hata kimada wa nyumba ndogo hakubali umhonge gari halafu humpi kadi kwa jina lake. Huyo ni ten dollar hoe. Unampitia huku umevaa shati na kinga halafu unamtema barabarani....

Mkurugenzi wa TANESCO, largest public company in the eastern seaboard of Africa, unafanywaje a 10 dollar hoe ?????
 
Hoja zako ni sahihi kabisa mkuu, ndio maana nimesema yeye aliambulia maokoto ya gari.
 
Huo ni ukweli mchungu.....Mama alisha wapa ruksa kila MTU KULA KWA UREFU WA KAMBA YAKE...!! That's it!!!
 
Nyie mnaoendesha magari mijini mnatusababishia ajali za kipumbavu mnapoendesha magari lwenda mikoani!
 
Watumishi wa umma wana kitu kinaitwa ''road trip'' wanapenda sana ..Chukulia hilo gari litatumia mafuta kiasi gani ,muda wa kukaa njiani si bora kupata ndege fasta.
Alafu posho wapateje wanavyoziendekeza?
 
Mkuu projects kubwa huwa zina kipengele cha kununua gari na kulihudumia kwa muda wote wa mkataba na kisha kulikabidhi serikalimi. Aina ya gari/magari uelezewa ndani ya mkataba pamoja na masharti mengine.
Kwenye miradi ambayo ni VAT gari usajiliwa kwa T.... na ile VAT exempted huwa ni DFP. So kwenye issue hii hakuna rushwa ya gari.
 
Usipotoshe umma mkuu. Magari ya miradi husajiliwa kwa DFP(Donor Funded Project) kwa plate No. Nyekundu.
 
Hakuna Mungu anayehusika na ajali.

Uzembe wa kibinadamu ndio husababisha ajali na vifo.

Usilete habari za Mungu kwenye uzembe wa kibinadamu.
Mungu amewapa watu wake akili ili wazitumie na watafute maarifa ili wasiangamie.
Ujinga na mafundisho ya manabii wa uongo unasababisha watu wa Mungu kutotafuta maarifa (elimu sahihi) na hivyo kuangamia.
 
Basi Taasisi za umma ambayo naijua mimi ,meneja anakula per diem ya 400k ,yaani najua kabisa na dokezo nimeona ...Tanesco kuna pesa ndefu na huyo ni mkurugenzi mtendaji.

Hiyo gari ni kama yake wakati akiwa kwenye cheo hicho ..
Duh, kweli hela ipo huko
 
Siyo kweli kwa miradi ambayo serikali inatoa hela zote. Kwa miradi inayofadhiliwa na wahisani ndiyo kuna kipengele cha kununua magari na hukabidhiwa serikalini au kuuzwa mradi ukiisha. Yes ,DFP ( Donor Funded Project) plate number.
 
Siyo kweli kwa miradi ambayo serikali inatoa hela zote. Kwa miradi inayofadhiliwa na wahisani ndiyo kuna kipengele cha kununua magari na hukabidhiwa serikalini au kuuzwa mradi ukiisha. Yes ,DFP ( Donor Funded Project) plate number.
Huu tunao jadili je ni pesa ya ndani ama ya development partners?
 
Kama ilivyokua msibani kwa Masaburi na watoto wa nje, Mheshimiwa Dr Magi angehudhuria mazishinya Ex MD wa TANESCO Eng Gissima angerusha utani wa wajane watano na watoto 15. RIP MAGU
 
We ZUZU, kwanini plate number imenyofolewa sasa? Acheni utapeli, Watanzania sio wajinga tena.
 
Kama ilivyokua msibani kwa Masaburi na watoto wa nje, Mheshimiwa Dr Magi angehudhuria mazishinya Ex MD wa TANESCO Eng Gissima angerusha utani wa wajane watano na watoto 15. RIP MAGU
Once mama Samia's hater, always mama Samia's hater!! Poleni sana
 
Umenena vyema
 
Hv mkurugenzi ukipanda ndege dar-Mwanza ukachukua gari pale tanesco mkoa ikakupeleka Musoma nayo ni shida au Magari mazuri yapo dar tu. Tunapo zungumzia mkurugenzi wa tanesco nchini ata mkuu wa mkoa ni mtoto mdogo kwake kwa kila kitu kuanzia mshahara mpaka posho na exposure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…