TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Bora hata upande usafiri wa umma, ni hatari sana.
 
Duuh inasikitisha!
 
Business as usual !
Ya ngoswe tuwaachie ngoswe !
Supidi mingi halafu likitokea la kutokea watasema mkono wa mtu au Mungu alishapanga !
Biashara imeishia hapo 🙌
 
Mwendokasi barabara zetu ni ndogo na zenye mashimonkila kona.
 
Hapo kuna mtu anatafutiwa nafasi hiyo na bi kidude. Kumbuka mbunge wa kigamboni na anayetafutiwa nafasi who
 
Kupitia hizo picha inaonekana ni collision kwa nyuma..Lori limepaki barabarani pengine bila kuwasha indicators au kuweka alama kuashiria limesimama..utii wa sheria za barabarani kwa watanzania ni mdogo sana..hali ya kutokujali ni ya kiwango cha juu sana!
RIP Dereva na Eng. Gissing.
 
Tumia akili Kufikiria mkuu, Ivo Level ya Mtendaji Mkuu wa Shirika Kama Tanesco kweli Afukuzane na Perdiem?? Hiyo hapana kabisa MD hawezi kuwa Low kiasi icho hio ni ajali na sio watu wote wana Prefer ndege mwingine hupenda Roads ili afanye ukaguzi pia wa Miundombinu yake
 
Kuna gari zimefungwa smart car alarm za kudisable engine kulingana na schedule iliyowekwa (sina hakika kama zinadisable engine, mi sio mtaalamu) Mtanisaidia kufafanua vizuri.

Niliona mahali fulani nilikokuwa nafanya kazi, strictly no safari giza likianza. Sijui kama madereva walikuwa wanaweza kumaneuver systimu. Ila sikumbuki kuona safari after 6Pm

Hii inasaidia kuwabana wavunja protokali.

Tisa kumi, Ajali ni nightmare kwa Tz. Aisee watu wanaondoka tuache masihara.
 
Wenye kujali maisha yao na ya wengine huwa hawasafiri Usiku !
Usiku huwa ni majira ya utawala mwingine spiritually ! Huenda ndio maana hata Bendera hushushwa saa 12 mpaka kesho saa 12 asubuhi 😅 !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…