Mkurugenzi Udhibiti Uchumi LATRA: Madereva watakaogoma Aprili 12, kufutiwa Leseni

Mkurugenzi Udhibiti Uchumi LATRA: Madereva watakaogoma Aprili 12, kufutiwa Leseni

Latra wapuuzi na wamiliki nao ni wapuuzi tu,kuna kipindi mafuta yalipanda nauli nazo zikapanda baada mafuta yaliposhuka wamiliki wakagoma kushusha nauli.
Nauli zikipanda mafuta yakashuka watataka nauli zibaki hivyo hivyo.
Corona mafuta yalifika mpaka 1500 kwanini hawakushusha bei za nauli??
LATRA hawahusiki na mafuta. Umechanganya mambo.
 
Mafuta yaliposhuka mbona bei hawakushusha?

Si mafuta yalipandaga hadi 3,300 kipindi kile toka 2,700 wakapandisha nauli. Yaliporudi kuwa 2,800 wakajikausha wala hatukusikia ngonjera za kushusha nauli.

LATRA wakazie humo humo. Hawa wafanyabiashara ni wabinafsi na wapuuzi wasiwaendeshe. Nauli zisipande kama ambavyo wao hawakushusha.
kwamba wakishusha ndo vituo unadhani vinashusha mafuta hapohapo?
 
Back
Top Bottom