Mkurugenzi wa fedha na utawala NIDA yupo ndani kwa makosa ya uchochezi

Imeandikwa wapi kisheria? Maana hata kama ni utamaduni lazima uwe utamaduni Mtakatifu. Kanisa katoliki linaongozwa kwa mujibu wa biblia na mapokeo lakini hivi vyote havipingani! Desturi zinazotaka kufuatwa hata kwenye jambo au uhalifu kama ule wa 29th October hapo tunaharibu Taifa wenyewe.

Nafikiri hili la 29th October huko mbele litatoa somo litalosaidia Taifa vizazi vingi.
 
Tunajadili mambo ya Msingi unaleta Nguruwe, uTEC na Ukatoliki? Pathetic
 
Tunazungumzia Serikali siyo nchi mkuu. Viongozi wa Serikali ndio waliopewa mandate na wananchi kwa kufuata sheria na kanuni zake.
Taasisi ya umma why inakua kama inamilikiwa na Rais? Mbona nchi za wenzetu unaona mpaka mwanasheria mkuu anapinga baadhi ya maamuzi ya Rais. Kama katoa maoni kwenye group mazingira ya kirafiki kwanini yageuzwe kuwa ni kumpinga boss? Kwani wapi alimtaja samia hapo? Yeye kapinga mauaji ya vijana wasio na silaha kwani ni kosa kisheria au maadili ya utumishi wa umma?
 
Hata kama ni mimi nimemwajiri kwenye Kampuni yangu akiandika ujinga huo against Kampuni lazima nimfukuze kazi ili aende akaandike vizuri akiwa nje ya Kampuni yangu.
Non sense,
Ndo kusema mnaamini hii nchi mnaimiliki kama vile Azam anavyomiliki kampuni yake ya ice cream na vitafunwa? Mjitathimini bro, u are completely wrong and u are messing!
 
Aisee hii ni hatari sana...nisamehe wewe jamaa unaekuja inbox kuniomba namba ya simu eti nikutafutie shamba la mikorosho chakushangaza kila nikikueleza mahala ambako yapo mashamba hauendi unataka tu namba yangu....mimi nina familia inanitegemea
Yupi tena kama ni liccm lianike humu
 
Wakina Lissu wakijenga hoja kwamba wasimamizi wa uchaguzi wanaoteuliwa na tume ambao ni watumishi wa umma hawafai kwa sababu mwajiri wao ni mgombea kwa hiyo hawatakuwa huru kusimamia uchaguzi, mnaruka kimanga kwamba hakutakuwa na athari kwa sababu wanalindwa Sheria za utumishi. Hapa mnajenga hoja kwamba amemkosea mwajiri kwa hiyo aadhibiwe, kwa hiyo huyo mwajiri hana athari wakati wa uchaguzi ila anaathari siku nyingine. Tanzania imejawa na uchawa ambo umeondia kabisa critical thinking kwa sababu ya maslahi binafsi ya madaraka.
 
Na kujipendekeza kote hujawahi kuteuliwa hata kuwa mfagia uwanja wa ofisi ya Bunge

Acha kujipendekeza mzee

Unaona fahari kwa watz waliopigwa risasi tarehe 29?
 
Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…