TANZIA Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano ya Ikulu ya Zanzibar, Charles Hillary afariki dunia

Huwezi kuwa kwenye nafasi fulani wakati tayari umekufa labla kama hy nafasi unahudumia marehemu
 
Huwezi kuwa kwenye nafasi fulani wakati tayari umekufa labla kama hy nafasi unahudumia marehemu
Una maana Baraza la Kiswahili hawajui kuwa kwenye Taarifa za habari, Bungeni wamekuwa Wakifanya makosa? Kwenye Kiingereza sahihi ukitafsili kwa kiswahili inakuja Rais wa, Mkuu wa mkoa wa nk nk amefariki.
 
Sema vyovyote lakini abadani hawezi kuwa shinda Ahmed Jongo, Mshindo Mkeyenge na Omar Masoud Jawewa. Trust me, you may ask anybody, anywhere.
Hahaha 😂, kwa upande wangu yeye ndiye nambari wani aise hao uliowataja wanajua lakini nimemweka yeye namba moja.
 
Sijawahi kumsikia akitangaza
Basi ulikosa mengi.
Kwa jinsi alivyojua kutangaza nilikuwa natoka kwenye kibanda umiza na kwenda kusikiliza mpira kwenye redio maana ukisikiliza utangazaji wake unakuwa umemzidi mtu aliyeenda kuushuhudia aise!
 
Hii nimeiona sehemu ,nikafikili ni mambo ya mtandao , pole kwa wafiwa ,aisee
 
Kinachoniuma ni palepale mloganzila aisee pale ninkama lango la kifo familia ilipowaza kumpeleka Mloganzila ndio baas tena Rip.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…