TANZIA Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano ya Ikulu ya Zanzibar, Charles Hillary afariki dunia

Vipi hauzingatii na suala la umri
Hata kama umri si alikuwa Azam huyo kabla yakwenda mwaka jana Zanzibar! Sema siku hizi watu wengi hawapendi kuangalia taarifa za habari Zaidi ya muziki
 

unatia aibu kabisa
 

mkuu vijana wingi wa hii nchi ni Takataka, wachukulie tu
 
Hata kama umri si alikuwa Azam huyo kabla yakwenda mwaka jana Zanzibar! Sema siku hizi watu wengi hawapendi kuangalia taarifa za habari Zaidi ya muziki
Nazungumzia kutangaza mpira sio taarifa ya habari
 
Dah!

Peter Drury
Charles Hillary
Baraka Mpenja

Hao wadau hata kama game mbovu wakitangaza nasikiliza/naangalia mpaka mwisho. Kama Lufufu Mkandala tu akitafsiri movie.

RIP Charles
 
Ni wale wale Ile issue ya Zanzibar kumiliki eneo upande wa bagamoyo aliishupalia Sana kuandika matangazo na kuyapost na kwenda kwenye media ngoja afe
Duu nilisikia hili ila sikuwa nafahamu kama alitokea huko, ila alifanyakazi yakenya uandishi wa habari! Apumzike kwa Amani.
 
Haya maneno utayakataa siku ukifiwa na mtu wa karibu sana
Haya niliyoandika, yana uhusiano gani ni huu UCHURO wako? Nimeandika kuwa kumbukumbu yake inayokuja kwangu, ni ya lile tangazo. Nina ile clip. Kwa hiyo unanishauri niifute?
 
Ni wale wale Ile issue ya Zanzibar kumiliki eneo upande wa bagamoyo aliishupalia Sana kuandika matangazo na kuyapost na kwenda kwenye media ngoja afe

we jamaa ni hopeless kabisa, Kwani hao Zanzibar hilo eneo hawalimiliki kweli? au walidanganya? wabongo bana kwa mihemko
 
sawa sawa.. ni mpogoro na mama yakw ni maukuma!
mengine hayasemwi yatabaki huko huko mwenyewe aliko yahifadhi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…